X awa msaada kurekebisha ndoa ya X wake.

April26

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
1,403
2,117
Wadau mpoo! Kila la kheri kwa kila jambo na pole sana kwa wenye changamoto.

Moja kwa moja kwenye mada, kuna jamaa ana mke na wana mtoto mmoja, mke wake amekuwa mwiba kwa kuongea sana na kumzodoa mshikaji kutokana na upole na busara zake na hata kufikia kumpangia tendo la ndoa.

Nimesikitika sana baada ya jamaa kuniambia hayo nikiwa kama ndugu yake wa karibu na jamaa hanaga mambo mengi sana sana ni kumpotezea.

Sasa tukiwa sehemu kishikaji tunapiga story kama 4 hivi wawili wakiwa wako kwenye ndoa story za hapa na pale zikaanza.

Mshikaji mmoja akauliza hivi dawa ya mwanamke jeuri na unampenda hutaki kumpoteza ni ipi?

Story ikanoga sana mwishoni jamaa mmoja akauliza.......Una X wako mnaeshibana yaani mmebaki kama watani? Jamaa akasema ndiyo, basi akampa mbinu za kudeal na mke wake kupitia sms na simu za X.

X amepangwa kapangika na hadi sasa naandika huu uzi mke kaanza kubadilika ghafla kurudia tabia yake hadi jamaa anashangaa.

X jeuri kweli anamwambia live mwenzie kuwa unanyanyasa mwanaume wakati sisi tunamtaka fanya fyoko mchezo uone utaachwa ,mpe penzi mpikie chakula kizuri na huduma zote konyo wewe.

Aisee kiufupi huyu shemeji yangu sasa hivi jeuri imeisha kabisa kawa mpole.

Maisha ya mapenzi na ndoa kuna ka ujinga fulani ka hovyo sana.
 
Hii njia ya kifala maana inaonekana kabisa Mume kaenda kutoa Siri za ndoa kwa mchepuko/Ex wake. Ufala ndo unaanzia hapo.
 
Hapo alipofika kupangiwa tendo ni too far. Hata kama ni mkimya alipitiliza mipaka.

Hawa viumbe wa kike ukiwapa nafasi wanakuvuruga.
Huitaji x, angeamua kuwa bandidu katili, asaume command take over your house. Halaf no kumbelezana. Huyo mwanamke angenyooka
 
Mwanamke jeuri dawa yake muibie mumewe🎵
Nimesoma huu uzi hiko kitaarab kikiimba kichwani
 
Wadau mpoo! Kila la kheri kwa kila jambo na pole sana kwa wenye changamoto.

Moja kwa moja kwenye mada, kuna jamaa ana mke na wana mtoto mmoja, mke wake amekuwa mwiba kwa kuongea sana na kumzodoa mshikaji kutokana na upole na busara zake na hata kufikia kumpangia tendo la ndoa.

Nimesikitika sana baada ya jamaa kuniambia hayo nikiwa kama ndugu yake wa karibu na jamaa hanaga mambo mengi sana sana ni kumpotezea.

Sasa tukiwa sehemu kishikaji tunapiga story kama 4 hivi wawili wakiwa wako kwenye ndoa story za hapa na pale zikaanza.

Mshikaji mmoja akauliza hivi dawa ya mwanamke jeuri na unampenda hutaki kumpoteza ni ipi?

Story ikanoga sana mwishoni jamaa mmoja akauliza.......Una X wako mnaeshibana yaani mmebaki kama watani? Jamaa akasema ndiyo, basi akampa mbinu za kudeal na mke wake kupitia sms na simu za X.

X amepangwa kapangika na hadi sasa naandika huu uzi mke kaanza kubadilika ghafla kurudia tabia yake hadi jamaa anashangaa.

X jeuri kweli anamwambia live mwenzie kuwa unanyanyasa mwanaume wakati sisi tunamtaka fanya fyoko mchezo uone utaachwa ,mpe penzi mpikie chakula kizuri na huduma zote konyo wewe.

Aisee kiufupi huyu shemeji yangu sasa hivi jeuri imeisha kabisa kawa mpole.

Maisha ya mapenzi na ndoa kuna ka ujinga fulani ka hovyo sana.
Dawa ya Mwanamke ni kuoa wawili kaka Hiyo ndo dawa Ila kwa sisi Waislam Hapa Tumehusiwa kutenda uadilifu na Kutekeleza majukumu yote bila Kubagua

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom