Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, Nimekua na mahusiano na huyu binti kwa muda wa miaka mitatu sasa ila jana ameniambia maneno ambayoa yamenifikirisha sana na kunifanya nisipate usingizi jana. Jana jmos asubuh tuliongea...
7 Reactions
193 Replies
16K Views
Chanzo cha kuandika haya ni utafiti wangu binafsi why nilikuwa naishia kamoja tu? Katika kuzunguka zunguka kwangu nikakutana kabinti fulani tukawa marafiki tukajihusisha katika mapenzi motomoto...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje, wanakeraaaa. Unakuta dada mzuri ajabu, shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh, kuja mbele sasa, chevuuuu, tumbo hilo! Uzuri wote chalii! Tatizo...
12 Reactions
664 Replies
70K Views
Hili halina ubishi tabu inayopatikana ni ya nguo kuchanika, hawa wanaojulikana mawifi inakuwa mtihani katika ndoa japo na wao huwa ni mawifi, yaani inakuwa hapaeleweki, embu wadada tupeni elimu...
7 Reactions
114 Replies
9K Views
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puli au punyeto sounds manly) siyo kwa wanaume tu bali hata wanawake tunafanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable”...
16 Reactions
1K Replies
240K Views
Kuna aliyekupa warning uachane na mke/mume wake, na wewe ulipandisha mabega. Sasa baada ya kuwa short listed kwenye interview unakutana nae tena yeye ndiye final say. Yamesha kukuta?
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia. Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu...
17 Reactions
96 Replies
9K Views
Habari wakuu. Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa...
18 Reactions
180 Replies
15K Views
Kwanza niwatakie mwaka mpya wenye baraka tele. Ninajua kuna vijana wengi ambao wamejiwekea malengo ya kupata jiko mwaka huu, ninawashauri mimi niliye pata jiko kwa mdada wa kazi kama miaka mitano...
29 Reactions
119 Replies
9K Views
Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Za jumapili? Mfano unaenda sehemu na mtu ya kunywa, hajui hata anataka nini anasema nipe tu soda yoyote. Yaani yeye hajui hata anataka nini. Kwenye chakula hivo hivo, hawezi kuagiza anachotaka...
11 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari ni gan bandugu, Ni kwanini vijana wengi tuliopata malezi mijini tunachelewa sana kuhama nyumbani? Unakuta kijana mpaka anafika umri wa miaka 30 lakin bado anakaa nyumban kwao. Ni kweli...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari wana jamii, Nimekuwa nikiona humu ama katika maisha halisi wanaume tumekuwa tukilalamika zaidi kuhusu wanawake katika mapenzi. Iwe kwenye ndoa ama mapenzi tu yakawaida, wengi utakuta...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa ufupi sana Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu, ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha. Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, asilimia kubwa ya wanaume tukikutana kwenye vile vikao vyetu ikiletwa mada ya kwanini unachepuka asilimia kubwa husema kuwa wapenzi waliokuwa nao sio watundu...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Habari! Ni hulka ya kila mwanaume kutamanitamani vibinti vizuri vyenye sura au umbo zuri. Na ikitokea una kakipato kidogo cha kubadilisha mboga ghafla unaweza kujikuta una wapenzi 3-5 au zaidi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe. Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo...
5 Reactions
81 Replies
7K Views
Naandika kwa uchungu sana.. Yapata muda mrefu sana nilikua na mpenzi wangu na nilitarajia kumuoa hivi karibuni, ila kabla ya kuoana tulikua tunatafuta mtoto na nilitoa unabii mtoto wa kwanza...
9 Reactions
91 Replies
10K Views
Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao. Uhakisia ni kuwa unene...
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Wapendwa leo nimekutana na changamoto wife kanionyesha sms zote jinsi tulivyokuwa tunachati na mchepuko. Kilichonishangaza ndo hicho make sms zote tulizochat nilidelete kwahiyo nimeenda home...
10 Reactions
130 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…