Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WaKuU hamjambo Aisee....mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni. Moja Kwa moja kwenye lengo, kuna Duka Fulani huwa napenda KWENDA kununua vitu vya home mida ya jioni na mara nyingi huwa namkuta...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
First of all poleni kwa wote mlio pitia tabu hii ya kufamania wenzi wenu. Maisha itabidi yaendelee, natumani mnaendelea vizuri. Mara nyingi haachwi mtu salama, Mwanaume/Mwanamke lazima afanye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba wale wenye uzoefu wa kuwa kwenye mahusiano na wanawake wenye ugonjwa wa kunuka kikwapa wanisaidie mbinu walizotumia kumsaidia mwanamke wa namna hii. Nina demu wangu kiukweli nampenda na...
6 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari!, natafuta mke nipo Tanga. taarifa zangu kwa ufupi umri: 26yrs Dini: muislamu elimu: Degree Education(science) mrefu kidogo, maji ya kunde sifa za mke muislamu asizidi miaka 26 elimu...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu poleni kwa kichapo cha timu yetu ya Taifa Moja kwa moja niende kwenye mada Binafsi naamini kwamba kwenye maisha ya mahusiano hasa ya kimapenzi kuna baadhi ya watu ukiwa nao tu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mwenye nia ya dhati ya kuolewa sina vigezo ving ila kwa aliyetayarit uwasiliane inbox au atumie namb +255755772556
1 Reactions
0 Replies
641 Views
Jamaa ana mchumba wake mkoani, mchumba akam-connect jamaa na boda boda wake kwa maelezo kwamba ni kijana mstaarabu sana,na muaminifu mno! Basi jamaa akawa akisafiri kwenda kwa mkewe mtarajiwa...
7 Reactions
184 Replies
14K Views
hii imekaaje? MASWALI MENGINE KUTOKA KWA WADAU: Hi nimeleta huu uzi ,wapendwa tujadili sababu kubwa ya kuleta huu uzi je nisawa kwa mwanaume kupiga magoti mbele za watu haswa ndugu zako na...
0 Reactions
341 Replies
107K Views
Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani. E bhana niwe muwazi nishakutana na pisi...
18 Reactions
73 Replies
9K Views
Kwa ukweli mke wangu kaaamua kuniacha na kuondoka kwenda kwao . Ni mkasa mrefu sana ila tatizo sio kuenda kwao tatizo ameindika na watoto wangu 2 mmoja miaka 7 na mwengine 3 nimemuambia anipe...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Moja ya dalili za mwanaume aliekomaa kiakili ni yule ambae mtakosana kwa jambo dogo lakini baadae atakupigia simu na mtaongea hatakasirika siku nzima .. Kwa sababu anajua yeye ni mwanaume ...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa...
2 Reactions
53 Replies
3K Views
Sio mnawazoesha ujinga halafu wanakuja kutusumbua wengine.🤣🤣🤣🤣
1 Reactions
5 Replies
736 Views
Salaam Kutokana na sababu mbalimbali zilizo nje ya uwezo wangu, kuna haja ya kuwa na wake wengine hata wawili au zaidi. Najua kila mtu ana kasoro zake akiwemo huyu niliye nae. Kasoro za aina...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, me kijana wa hovyo niko na swali Hivi inawezekana kweli kwa kijana wa kiume kujipatia mademu zaidi ya mmoja ndani ya wiki moja?.. Yaani kutengeneza uhusiano na...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
I hope mko poa humu,jana katika harakati zangu huwa napenda kuongea sana na watu wapya.Basi, kuna sehemu nikawa nimekaaa na kijana mwenzangu tukawa tunapiga stori mbili tatu. Katika mazungumzo...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Wanawake wa siku hizi wamekuwa maji moto saana Kuna demu tulikuwa naye kwenye mausiiano 2017 mpaka 2019 demu aka niacha solemba kabisa niliumia sana nilibembeleza mtoto wa kike mtoto wa kike aka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za muda. Wasifu wangu. Miaka 27 Mfanyabiashara mdogo. Elimu ni Diploma Dini Mkristo. Makazi yangu ni Kanda ya Ziwa. Nahitaji mwanamke ambaye nitamfanya awe mke wangu. Sifa nazohitaji...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wandugu, Hii taasisi ya ndoa naona inahitaji maboresho makubwa kuendana na wakati kwani kwa sasa mitazamo na tabia za watu zimebadirika sana. Hivyo kubaki na taasisi yenye misingi ile ile...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Una umri wa kutosha wa kuwa na rafiki wa karibu wa jinsia tofauti. Ungependa kumpata mtu anayevutia na aliye na imani kama zako za kidini. Hata hivyo kila mara unapojaribu kuanzisha uhusiano...
0 Reactions
1 Replies
567 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…