Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wengi nadhani sio wageni na mimi Per Diem maana kwenye jukwaa la Hoja na Habari mchanganyiko nimekua nikiweka post nyingi za mimi nilivyokuja Norway, maisha ya huku na mambo mengine mbalimbali...
17 Reactions
73 Replies
6K Views
Hii si kauli ambayo anaweza kuitoa mgeni wa mapenzi au aliedumu kwenye ndoa yake au na mpenzi wake. Maneno haya yanasemwa na wazoefu waliopitia kila kona za mapenzi pengine wameoa au kuolewa...
13 Reactions
46 Replies
5K Views
Huu ni muda mfupi katika ndoa, lakini bado ni muda mrefu pyschologically, physically na emotionwise katika harakati ya kuishi wawili na mtu mlio kutana nae ukubwani. Bado nina mengi ya kukutana...
42 Reactions
92 Replies
7K Views
Kwema ndugu zangu? Jamani haya maisha yaacheni tu yaitwe maisha. Kuna sehemu nina kabiashara kangu ka kuzugia ili siku ziende hapa mjini. Sasa kikawaida asubuhi huwa namuacha kijana wangu...
34 Reactions
65 Replies
6K Views
Salaam!! Ee bana eeh haya maisha bana mambo hubadilika anytime Nakumbuka enzi hizo nikiwa chuo kikuu nilikuwa na rafiki ambae urafiki wetu naweza kusema ulifikia level za undugu kabisa, ni rafiki...
10 Reactions
18 Replies
3K Views
Sijui kama niwe na hasira au kawaida tu maana pengine mimi naweza kuwa nime mind lakini kwa wengine ni jambo la kawaida sana. huyu dada tupo naye ofisini.. ni dada mzuri kwa sura ,rangi na umbo...
21 Reactions
128 Replies
15K Views
Wanajamvi uzima upo? Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu...
10 Reactions
132 Replies
8K Views
Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.
8 Reactions
144 Replies
14K Views
Mwanamke elewa kuwa asili ya mwanaume ni udume ambao anahitaji atawale dunia kwa kila kitu. Wanyama na ndege pia viumbe vya kiume hutawala species zao. Kwa hiyo basi fanya ufanyalo mwanaume...
18 Reactions
73 Replies
9K Views
Leo hii nani asiyejua kuwa wanapenda tamthilia mno hawa dada zenu wa kibongo? Wanajua majina yote ya wasanii wa kikorea, kifilipino na hata wa kizungu. Hali hii wanaihamishia mpaka kwenye maisha...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
🔏 Urafiki unawezekana bila ngono? Naomba kuyaweka mezani Maswali Haya: Je, rafiki ni nani? Ili mtu awe rafiki yako mambo gani ni ya msingi kutimia? Je, rafiki wa jinsia iliyop tofauti na yako...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wazee wapenzi wa majambozi, Wengi wenu lazima ni mashabiki wa picha za video za kikubwa. Nami nyakati fulanifulani nimekuwa nikisafisha macho. Sasa kinachonistaajabisha ni staili na aina ya...
3 Reactions
140 Replies
83K Views
Habari wanaJF Leo nakuja na swali. Imekuwa jambo la kawaida na kushangaza pale unapoona vijana mabachelor wakati wa kuoa uoa wanawake wa kawaida sana ilihali imezoeleka enzi za ujana wake hasa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
1. Huwenda wanaume wengi huingia ndoani bila kumjua kikamilifu mwanamke ni nani. 2. Wanawake pamoja na mafunzo mbali mbali wanayopitia bado hayajawafanya watambue mwanaume ni nani zaidi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
ninaposema wanaume wa shoka namaanisha wanaume wale magiant,wanaojua kupiga kazi hasa,sio wale wanaoshindia kwenye dressing table na kula chipsi mayai. list yenyewe ndio kama ifuatavyo 1.Mara...
20 Reactions
234 Replies
28K Views
Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA. Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina. Mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Habarini wakuu. Naomba niwa shirikishe kisa kimoja cha kuchekesha na ajabu sana.Kuna wanawake wengine wako desperate na ndoa hakuna mfano in such a way wako mawindoni 24/7.About 3 years ago one...
11 Reactions
176 Replies
17K Views
Stress ni kitu kibaya sana na siku zote hushusha CD4 pindi unapo kuwa na mawazo Mimi nahitaji friends wa kupoteza mawazo mabaya kuchat, kucheka nao na kubadilishana mawazo, but nili zaliwa nayo...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Hii ni kwa mujibu ya uoni wangu hafifu,kuoa Mke mmoja ilikuwa ni aina Fulani ya "uzazi wa mpango duniani"
14 Reactions
95 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…