Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Wanaume Wa JF Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu...
13 Reactions
174 Replies
19K Views
Huyu binti kweli ni mzuri, sura na umbo la kuzugia analo siwezi sema sana ila ila cha kupagawisha wanaume wakwale kama sisi kajaaliwa tena lile teke teke aswaaa, Ni binti tu wa kiswahili swahili...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo nikiwa natokea Dodoma naelekea Tabora, nilipofika maeneo ya Four ways nikasimama ili nipate vichwa vya kupiga navyo story njiani Mara katokea mpiga Debe na kuanza kumzuia kijana mmoja...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Zawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume Age 50plus Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
14 Reactions
105 Replies
7K Views
Habari wapenzi. Japo ni mgeni kiasi humu Jamiiforums, nimeomba nipate ushauri wenu japo kiasi nipate mwelekeo. Nina binti yangu 3yrs now, ambaye baba yake, yaani mzazi mwenzangu alikuwa...
14 Reactions
614 Replies
50K Views
MASIKIO YA KENGE Kenge huwa hasikii kabisa mpaka pale masikio yake yatakapotoka damu. Na ukiona masikio ya kenge yanatoa damu basi ujue yameanza kusikia. Kama hujui ni kwamba kusikia kwa kenge...
16 Reactions
72 Replies
59K Views
WanaJamiiForums ambao bado hamjaoa nawashauri kama unataka ndoa ya mwanamke kukuheshimu oa mwanamke aliyelelewa na baba na mama kwani ambaye hajalelewa na wazazi wote either single parent au...
20 Reactions
94 Replies
9K Views
Usafi ni moja ya nyenzo bora za mtu kuwa na afya njema. Ili mtu awe na afya bora, hana budi kuzingatia usafi wa mwili, mazingira anayoishi na anavyokula. Usafi wa Ngozi: Pamoja na kazi nyingi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzee Mkali ( 67) ana kijana wake wa kiume aitwae Mashoto ( 27 ) Siku moja Mashoto alimuuliza baba ake " BABA HIVI ULIMPATAJE MAMA?" Mzee Mkali aliposikia swali hili kutoka Kwa kijana wake WA...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimewahi kuweka tangazo humu miaka minne iliyopitaa la kutafuta mke ila kabla ya kufanya maamuzi nilipata mtu ambae tulikuwa na mahusiano zamani kidogo. Malengo yalikua ndoa Ila tabia zake...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema...
17 Reactions
40 Replies
6K Views
Za asubuhi, Jumapili njema. Kuna kasumba ya wanaume wengi wa bongo kutangulia kufa na kuwaacha wake zao wakitanua. Najua kuna kitu unawaza ila nikuhakikishie tu kuwa hicho unachokiwaza ndio...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Familia ya Champasingh Lama, kutoka Humla eneo la Fang Tungar huko Tibet, imezingatia ndoa ya mitala kwa vizazi 17. Lakini, kulingana na mwanawe wa kiume na mjukuu, utamaduni huo sasa umepitwa na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
SHIKAMOONI KWA WALIO WAKUBWA ZANGU NA HABARINI ZA ASUBUHI KWA WA RIKA LANGU NA MARAHABA KWA WADOGO ZANGU. Ni siku nyingine tena ambayo kama ilivyo ada ya jukwaa letu pendwa ambamo tunajadili na...
0 Reactions
194 Replies
17K Views
Kuanzia jana nahisi mimi ndo mtu mwenye furaha sana dunia nzima lol! Baada ya kua kwa relationship miaka 2 na miezi 5 sasa tunaoana tarehe 30 mwezi wa 7. Huyu kaka angekua mswahili ningesema...
12 Reactions
71 Replies
4K Views
Za saa hizi Wana MMU? Natumai mpo salama kbsa na tumshukuru Mola kwa kutuwezesha kuiona siku nyingine mpya. Duniani Mambo Ni mengi muda mchache, Kuna mwanamke mmoja alikuwa anafanya kazi katika...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna jamaa anaomba ushauri kwani kwa sasa yupo na dailema kuna manzi wawili anafikiria kuoa. Manzi wa kwanza alikua nae miaka kadhaa nyuma kwa miaka kadhaa then manzi huyo akapata jamaa mwingine...
9 Reactions
129 Replies
12K Views
Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke...
5 Reactions
75 Replies
5K Views
Kesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu Kusini na kisha nitakwenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini. Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo...
17 Reactions
94 Replies
12K Views
Achana kitu kinaitwa utu aiseeeeh Pamoja na mateso yoote ya mapenzi niliyopitia lakini ngoma ya "utu" ya Ali kiba unanipeleka mbali saana kihisia Asikwambie mtu kupenda raha saaana hasa ukimpata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…