Mpiga debe ahatarisha ndoa yangu

Mpiga debe ahatarisha ndoa yangu

Mpandisha mishahara

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
1,742
Reaction score
1,562
Leo nikiwa natokea Dodoma naelekea Tabora, nilipofika maeneo ya Four ways nikasimama ili nipate vichwa vya kupiga navyo story njiani

Mara katokea mpiga Debe na kuanza kumzuia kijana mmoja asipande gari yangu licha ya anapokwenda ndio njia ninayopita.

"Wewe kwanini upite shortcut kuja Kwa dereva, sasa hupandi hii gari napakia hawa wawili" alisikika mpiga Debe huyo.

Kuepuka mkosi safarini imenibidi niwabebe hawa wawili nimuache yule kijana lakini mke wangu ananilaumu Sana kuwapa umiliki wa gari wapiga debe.

Mke wangu ananilaumu njia nzima mpaka sina Amani ya moyo.

Nimenuniwa na ndoa yangu ipo hatarini
 
Mpandishie mshahara huyo mpiga debe..

Bila kusahau mpandishe cheo wife ataacha kuwa mlalamishi..
Pia inaonesha humwagi/humpelekei moto kwahiyo kaza buti..
 
Leo nikiwa natokea Dodoma naelekea Tabora, nilipofika maeneo ya Four ways nikasimama ili nipate vichwa vya kupiga navyo story njiani

Mara katokea mpiga Debe na kuanza kumzuia kijana mmoja asipande gari yangu licha ya anapokwenda ndio njia ninayopita.

"Wewe kwanini upite shortcut kuja Kwa dereva, sasa hupandi hii gari napakia hawa wawili" alisikika mpiga Debe huyo.

Kuepuka mkosi safarini imenibidi niwabebe hawa wawili nimuache yule kijana lakini mke wangu ananilaumu Sana kuwapa umiliki wa gari wapiga debe.

Mke wangu ananilaumu njia nzima mpaka sina Amani ya moyo.

Nimenuniwa na ndoa yangu ipo hatarini
Unatumia tafsida hapa kutupiga fiksi? Si useme tu jamaa huyo mpiga debe anamgonga
 
Leo nikiwa natokea Dodoma naelekea Tabora, nilipofika maeneo ya Four ways nikasimama ili nipate vichwa vya kupiga navyo story njiani

Mara katokea mpiga Debe na kuanza kumzuia kijana mmoja asipande gari yangu licha ya anapokwenda ndio njia ninayopita.

"Wewe kwanini upite shortcut kuja Kwa dereva, sasa hupandi hii gari napakia hawa wawili" alisikika mpiga Debe huyo.

Kuepuka mkosi safarini imenibidi niwabebe hawa wawili nimuache yule kijana lakini mke wangu ananilaumu Sana kuwapa umiliki wa gari wapiga debe.

Mke wangu ananilaumu njia nzima mpaka sina Amani ya moyo.

Nimenuniwa na ndoa yangu ipo hatarini
Sasa hii ndiyo nini au ulitaka tujue kuwa una gari?
 
Huyo mkeo kampime akili
 
Back
Top Bottom