Hii tabia ya kupiga watu picha uwanjan au kurekodi video mtu akiwa ameena na mwanamke wake sio nzur kwa sababu 90% uwanjani watu wanaenda na michepuko yao na sio wake zao
Ilinikuta aisee nimekaa...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na...
Habarini za siku wana JF
Nilikuwa na mchumba wangu kwa miaka 3, Tuliachana kwa kuwa nilimpa hela ya mkopo akafanyie biashara yeye akachukua hela kwenda kufanyia matumizi yake binafsi kama...
Gazeti la the sun nchini uingereza limechapisha utafiti kwamba ukubwa na urefu wa pua ya mwanaume vinamahusiano ya Moja kwa moja na urefu wa maumbile ya mwanaume husika.
Utafiti huo umeonyesha...
Wadau habari, poleni na majukumu.
Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili,
Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo...
2019 tulikorofishana na mke wangu akawa ameenda kwao nikamfata akagoma
Tukatuma ndg mpk wazee akakataa hataki ndoa hii tena(wife ana gubu na me ni mkurya mkorofi so ilitupa shida sana kwenye...
Habari za weekend wadau?
Nilikuwa naomba ushauri ,miezi kadhaa iliyopita nilikutana na binti ambaye nilitokea kuzoeana nae kidogo,baada ya muda kidogo kupita nilianza kutamani awe mtu wangu...
Ni kweli kazi za ndani kama vile; kudeki, kuosha vyombo, kufua,kupika, na kufagia ndani, ni jukumu la mwanaume kwa mujibu wa sheria za ndoa?
"Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kifungu cha...
Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti.
Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona...
Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona...
Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi.
Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
Haikuwa kazi rahisi kufika hii miaka,
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu maisha ya ndoa ni mazuri kama mnajitambua kuna vipindi vingi nimepitia.
Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji...
Habari Wakuu!
Moja Kwa moja kwenye Uzi!
Kuna kajamaa kana fanya kazi pale Hazina, ninakaa mtaa mmoja nako, kalianza mazoea na mke wangu, kana mchekeachekea, kana mshobokea na kujifanya...
Mke anae pinga sana hoja zako mara kwa mara au maelekezo unayotoa katika family kama baba kichwa cha family anakuwa mtu wa kukupingapinga bila sababu zozote za msingi hizo ni dalili za kuanza...
Huenda wengi wanakumbana na hii changamoto na niseme ukweli huwa inanikwaza sana. Mdogo wake wife wa kike huwa ana tabia ya kuja mlangoni na pia dirishani kusikiliza tukiwa tunafanya sex...
Hayawi hayawi huwa! Katika harakati zangu za maisha ya kila siku mkeka bhana juzi kati si ukatiki!kwa buku 10 nikampiga muhindi 2,500,000(baada ya makato ya kodi). Maisha mafupi nikasema wacha...
Wakuu habari.
Naombeni ushauri ndugu zangu, mimi na familia fulani tuko marafiki wa muda mrefu, kuanzia baba wafamilia husika na vijana wa familia Hiyo tunaishi kama ndugu.
Kijana mmoja wa...
Habari wa JF natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa .
Miaka fulani nilikuwa naishi ktk mji fulani, sasa siku moja nilikwenda kumtembelea rafiki yangu ambae alikuwa anamiliki duka la kuuza...