Asalaam aleykum..
Kristu..
Bwana yesu asifiwe
Kutokana na maendeleo ya utandawazi karne hii imekuwa ni kawaida watu kutafuta wenza au marafiki kupitia hasa mitandao ya kijamii,kwa zaman kidogo...
Wakuu Kuna church girl Mmoja alinikazia kabisa ati lazima niokoke nimuoe ndio nimnyanjue.
Kumbe chini ya maji alikuwa anapigwa miti na wadosi at her place of employment.
Na vile alikuwanga soft...
[emoji28][emoji28] kuna mabinti wengine akili zao sijui zipoje.
Mwaka 2017 nlikua nadate na binti flani enzi hizo alikua bado mbichi kabisa miaka 18, siku namwambia tukutane kaniambia niandae...
Habari za mchana ndugu zangu,
Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha.
Mume akadai chumba...
Kama inavyosomeka hapo juu,
Nimekuwa na mahusiano na kaka mmoja kwa miezi mitatu, lakini cha kushangaza alikuwa haniombi mchezo, nikawa najiuliza huyu kaka miezi mitatu sijawahi kusikia hata...
Salaam binafsi sijawahi kupigwa na msichana achilia mbali demu wangu, je, katika maisha yako imewahi kukutokea ukapigwa na msichana katika ugomvi? Ilikuwaje?
Funguka japokuwa ni aibu!
Hali nchini Tanzania imekuwa mbaya mno Wasimbe wanaongezeka kila kukicha kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa huko Africa Kusini katika kila wanawake 10 wasimbe ni 7.
Bado haijajulikana shida hasa...
Mko fresh watu wa Mungu?
Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi, lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia...
Kitu ushawahi Fanya Maishani mwako na wala Haijawahi kujuta hata kidogo.
1. Sijawahi kujuta kuacha Advance japo watu walionizunguka waliona kama nimepoteza direction ya Maisha ila leo Hii Niko na...
Nimekutana na mwanamke huyu msomi ana tabia njema , anajua mapenzi, anajua kupika, ana sura nzuri, ana umbo zuri akivaa nguo,
Ila chibonge, tumbo ni kubwa nyama uzembe , nishaurini mana hakuna...
Ni fikra tu za kijinga za kukulemaza uache kufanya mambo yako ya msingi uwaze hayo tu
sex sio tamu kiivyo na mademu wasituone tunafaidi sana wakatugeuza mitaji
Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila...
Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo.
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lakini hamna suluhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa...
Hi,
Kuna memba fulani amenitia moyo, kwamba inawezekana, ngoja nijaribu tena kwa mara ya mwisho.
Mimi ni mwanamke nina miaka 29
Naishi DSM
Elimu certificate
Mwanafunzi wa mwaka wa 2 chuo...
Kwanza poleni kwa msiba uliotukumbu sisi site wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais JPM Mungu atutie nguvu kipindi hiki kigumu.Leo naomba niletr mrejesho wa uzi wangu nilioandika hapa takribani miezi...
Wakuu habari zenu.
Kichwa cha habari kinatosha, naomba mcomment mniitie huyu dada nampenda sana na anajuwa nimemfata DM Mara nyingi lakini sipati majibu ya kuridhisha yawezekana kwa sababu ya...
Habari za wakati huu wakuu. Rejea hapa kwanza[emoji116][emoji116][emoji116]
Wakuu picha zima liko hapa Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana
Ikumbukwe bado nampenda kama hiki...
Nnatabia ambayo sio ya kawaida huwa napenda harufu ya chupi ya mwanamke na nikilala usiku naivaa kichwani halafu naishusha hadi puani inaziba pua kale kaharufu najihisi niko peponi.
Je, nina...