Unaweza ku-share Mswaki na Mpenzi wako?

Unaweza ku-share Mswaki na Mpenzi wako?

Nasikia inanogesha mapenzi

images (71).jpeg
 
Ukifanya imagination ya jinsi Mdomo ulivyo mchafu,Yale Mabaki ya chakula,jinsi mswaki unavyokuna fizi Hadi unatoka damu samtaimz..Haya yote yanakufanya ufikirie mara mbilimbili kutumia mswaki mmoja na mwenza wako

Ila tofauti ni kwamba Kwa watu walio wengi,mapenzi hayaongozwi na logic,Bali emotions ndy zinatake place,mwishowe unajikuta siyo Jambo gumu kufanya hivyo....binafsi sijawahi na sitakuja kufanya

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ukifikiria hivi hata chakula cha mwanamke unaweza usile siku anapokuwa period zile damu na unakuja Kula chakula chake...
 
Ukifikiria hivi hata chakula cha mwanamke unaweza usile siku anapokuwa period zile damu na unakuja Kula chakula chake...
Nilishasema ukiweka logic kwenye mapenzi lazima yakushinde..kuna wanaonyonya kinyeo,k na mengine makubwa zaidi ya hayo

Siku ukianza kudeal na mantiki ktk mambo ya mapenzi ndy siku anguko lako ktk mahusiano lipo karibu

Ukitaka kuona ni kiasi gani ilivyo vigumu kutumia mswaki wa mwenzio,changanya mswaki wako na wa mtu mwingine ambao umefanana rangi na wako...I swear lazima uende Kwa mangi kununua mswaki mpya😅..Kwa nini?? Umeingiza logic,ukawaza magonjwa na uchafu..Ktk mapenzi Hilo la kushare mswaki mantiki inapotea,kisha emotions zinatawala

Mfano wako wa damu ya hedhi hauendani na hii mada..wapo ambao wakiona damu ya kuku Tu anachinjwa hawawiezi Kula nyama yake,so hilo lipo kisaikolojia zaidi
 
Aaah hapana acha tukutane kwenye kiss tu ila kushare mswaki unaosugua mafizi yenye wali maharage, supu ya utumbo , makachumbari , hata mimi sitopenda atumie mswaki wangu.

Ila sababu hasa ya kufikia kushare mswaki ni nini? Hamna mwingine? Ni bei sana kwamba hatuwezi kuafford kununua kila mtu wa kwake? 🤔
 
Dah!..huna uwezo wa kununua mswaki wako au ?....uchafu huo.
 
Watu wananyonya vitu hatar sembuse miswaki.
Kuwa utajua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom