Kazalishwa watoto wawili baba tofauti, then anasema hataki kuchezewa

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
kuna mabinti wengine akili zao sijui zipoje.

Mwaka 2017 nlikua nadate na binti flani enzi hizo alikua bado mbichi kabisa miaka 18, siku namwambia tukutane kaniambia niandae mafuta nikamle nanilii.

Basi bhana mapenzi yakaendelea lakini kuna kipindi kikafika tukaachana kimya kimya.

Baada ya Muda kupita siku moja ananitafuta kunisalimia nami nikamjibu fresh na mawasiliano yakaanza tena tulipokutana akaniambia ana mtoto na baba yake kamtelekeza so anaishi tu kwao nikamwambia pole sana.

Nikaanza tena kula mzigo na ule mchezo wake alikua hajaacha ila alipunguza baada ya kukutana na mdau aliemzalisha, hivyo game likawa linaendelea.

Baada ya Muda tukaachana tena kimya kimya ,ikapita mwaka mmoja ,nakuja kukutana nae tena kazalishwa mtoto mwingine na jamaa katokomea.

Sasa awamu hii demu akaanza kulalamika nimsaidie masuala ya kazi, na vizinga vikawa non-stop nikampiga chini maana naona alitaka nimsaidie malezi ya watoto wasionihusu.

Juzi kati kanicheck na kulalamika nimempotezea na nimeacha kumsaidia, nikamwambia njoo unipe mzigo then mengine yaendelee, akaanza kusema oooh, wewe unataka KUNICHEZEA TU hamna ulichonifanyia.

Nikacheka sana yani anaacha kuwalaumu wanaume zake waliomzalisha na kumtekeleza na watoto ananilaumu mimi ambaye sina kosa.

Wanawake mliozalishwa kwa sababu ya tamaa zenu then mkakimbiwa msilete makasiriko kwa wanaume tusiohusika na hayo maisha yenu magumu mliyoyatafuta kwa tamaa zenu na kutanua miguu ovyo ovyo.


255626743783_status_3a10471fcf984542af8ce6fa8cbdc574.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who knows... Labda mara zote alijitoa ila kwa watu wasiokuwa sahihi.
Yule binti nlivyomsoma ana hulka flani ya kupenda maisha classic so wale jamaa walimwingia kwa gia kwamba wana maisha flani bora akawaachia wakamtia mimba. Mimi nlishamsoma so nikawa nacheza nae kwa akili nlijua nikimpa mimba tutasumbuana sana na Hawa jamaa analalamika wamemkimbia kutokana na tabia zake za kupenda maisha ya kifahari wakati kwao njaa tupu. Now analeta makasiriko kwa watu tusio na hatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba unaandika kabisa jamvini kwamba ulikua unafukua mitaro ya sewage duh hatari sana , na hata baada ya kuzalishwa bado unaendelea na difu ila hata kutoa hela ya soap hutaki, aisee we noma shikamoo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom