Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jina: Aruun Mwanamilongo Kabila: Mnyamwezi Dini: Mkristo Shughuli zangu: Mwalimu na Mfanyabiashara Makazi: Dar es Salaam Umri wangu: 35 Martial status: Single Sifa za mwanamke: Umri wowote ule...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Huyu Mwanamke Kama anailewi nimemwambia aniache nifocus na Maisha yangu lakini yeye kutwa kulazimisha yaani hata sielewi anatafta Nini kwangu. Mimi sasahv nataka kukaa single nimemwambia lakin...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuna mtu anashida kapata mtoto na mdada ambaye hawajaafikiana kuoana sasa huyo dada anapewa matumizi na huyo kaka na nikwa kila kitu. Sasa huyo kaka ni dhehebu jingine na yeye ni Mkatoliki...
1 Reactions
14 Replies
732 Views
Ndoa za siku hizi zinakuwa na mambo mengi pengine hata wakati mwingine zinaanguka Kabisa Sasa wakati zinapoanguka inaathiri uchumi hasa wa wanaume kupeleka hata kupata magonjwa ya moyo Sasa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanaume wenzangu naomba tuwaambie wadogo zetu kuwa si kila mwenye jinsia ya kike ni wa kuoa, wanawake wa leo wengi ni vivurunge, wanayo pesa ila wanataka kuwatawala wanaume hivyo kuwa makini ni...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Imefika mahali wanaume wanaume tumekua Kama hatuna akili hivi.tumebaki tunashinda tunalalamika tu bila kuchukua hatua. Yaani wanaume tunamalalamiko Kama wajane vile. Serikali za kimataifa na...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu tumeelewana au Tuongeze nyama?
2 Reactions
11 Replies
731 Views
Ni siku fulani nzuri na tulivu, ikichagizwa na weekend kuingia Moja kwa moja kwenye mada, Ni hivi, ukiwa kama mwanaume halafu ukaletewa malalamiko na Dada yako wa damu yaani tumbo moja. Kuwa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari? Natafuta mdada wa kazi za nyumbani nipo Dodoma, Familia yangu ni ya watu watatu baba, mama, na mtoto mmoja naomba aliyetayari au anayemfahamu mtu anayehitaji kazi aje pm kwa maongezi zaidi
1 Reactions
4 Replies
638 Views
Mwanzo naanza nae mahusiano alikuwa anajikakamua kidogo kuendana na kasi ya mchezo mpaka ikafikia wakati nikawa nasema huyu binti nisipokula vizuri ipo siku atanipiga K.O Lakini mara tu baada ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Naamini muwazima wanajamvi Niende kwenye mada yangu juu ya huyu demu wangu na hili neno lake. Mi nademu Wang mmoja hv mrembo mashallah[emoji1488][emoji1488], ananikubali namkubari lkn ni muda...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Ndugu zangu, katika maisha kuna wakati tunapitia changamoto mbalimbali za kimaisha ikiwa pamoja na mapenzi.Nilimpenda dada mmoja kwa dhati kabisa, lakini upendo toka kwake ulikuwa kama...
37 Reactions
78 Replies
6K Views
Nimeweka mikakati yangu ya kutaka kuoa mwaka huu mwezi wa 11 ila tangu nimeweka wazi hili suala wadada wazuri wazuri ndo kama wamefunguliwa machoni mwangu haipiti siku sijakutana na mdada mzuri na...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Episode 1. Nikiwa bado binti mdogo ambae hata bado sikua nimewahi kushare kitanda na mwanaume, nilikua nipo form five nikiwa likizo nilikua napenda kwenda library ya mkoa pale dodoma kujisomea na...
13 Reactions
297 Replies
28K Views
Hope mko poa, Aisee kuna jambo nimekaa nalo moyoni mda mrefu sana kuhusu mtoto wangu wa kwanza wa kiume, nilimpata nikiwa na umri wa miaka 16 tuu. Ipo hivi mwaka 2008 nilikua form two sasa...
12 Reactions
28 Replies
5K Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwaajili ya siku ya Akina mama wote, pili niwashukuru wanawake wote kwa mioyo yenu ya upendo, uvumilivu, kujali na kila kitu. Ninyi ni mama, dada,wadogo pamoja na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hili swala nimelifanyia uchunguzi, Yani hata kama mdada hajavutiwa na wewe na hakutaki, ukimtongoza hlf akakukataa tena ile ya kikatili na ya kiroho mbaya bila sababu maalumu, rohoni huwa...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Maisha ya mapenzi siku zote huandamwa na vikwazo vya hapa na pale kutoka kwa mpenzi, mme au mke husika ama kutokana na uchonganishi wa watu wake au wako wa karibu! Naomba tuzungumzie, ni kosa...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ninapenda kujua tu Kwa upende niliokulia mimi sio sawa kwa mtu ninayemzidi umri kuniambia UJAMBO bali hii salamu ni kwa ajili ya mtu mzima akimwambia mtu mdogo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…