Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Mwanzo naanza nae mahusiano alikuwa anajikakamua kidogo kuendana na kasi ya mchezo mpaka ikafikia wakati nikawa nasema huyu binti nisipokula vizuri ipo siku atanipiga K.O
Lakini mara tu baada ya kumuweka ndani nimegundua kitu kwamba zile zilikuwa ni mbwembwe tu,
Nilianza kujisemea mimi zero Michepuko tena basi kama mbunye ipo ndani nitajipimia nitakavyo,kumbe nilikuwa nakosea,
Miezi kadhaa mbele Wife amekuwa hawezi tena kuhimili mapigo yangu,
Yeye ni wa kunipa mi kimoja Wakati yeye ameshafika kileleni zaidi ya mara moja kiasi cha kushindwa kabisa kuendelea na tendo kwa round nyingine,
"Wife siyo mvivu kwenye game, ni wale sex lover, ata ukitaka kila siku usex nae ni sawa ila shida ni hapo kwenye kuchoka mapema"
Nimempimia kwa miezi kadhaa na kuona kabisa hii ngoma sasa haiwezi,
Imenibidi ili niinjoi kwenye sex nianze kupiga huko nje kama vibao kadhaa then nikija home namalizia na kimoko basi chali apo angalau,
Au nipige ndani hicho kimoko nikimaliza nizuge zuge nikamalizie kwa michepuko huko nje ili nafsi iridhike sasa bila hivyo ngoma inakuwa bila bila kama sijafanya chochote,
Kuna muda natamani sana kutulia lakini nashindwa kwa kuwa ninavyoitaji ni vikubwa kuliko ninavyovipata,.
Cc Zero IQ