Nasimama na mwanetu wa mwanza
Mwanamke anapaswa kuheshimu mumewe
Mwisho onyo kwa wanawake...Kitu wanajitaji wanaume ni heshima tu hata bibilia imesema.
Kwema Wakuu!
Tunakumbushana tuu!
MWANAMKE pekee mwenye mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume ni Mama yake mzazi na Mke wake tuu, wengine ifanyike biashara.
Kama ni kuuziana muuziane...
enaseketeshaaaaaaaaaa[emoji26][emoji26][emoji26]
Mwaka 2005 nilimaliza elimu yangu ya msingi na mwaka 2006 nilifanikiwa kujiunga na sekondari kidato cha kwanza katika shule ya Kibasila iliyopo...
Nawasalimu kwa jina la JF.
Mimi ni kijana undergraduate chuo x
Kama Title inavyo jieleza. Nimejikuta ni mtu ambae NAPENDA sana kuwatongoza mabinti asa wanachuuo wenzangu na kitu cha kushangaza...
Habari bandugu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada! Mimi ni kijana niliezaliwa miaka ya 90s. Kiukweli tangu nimeingia katika michezo hii ya kugegedana na mahusiano kwa ujumla nimekuwa...
Habari wakuu.
Naimani wote wazima God anaendela kutupigania achana niende kwenye point.
Nina ndugu yangu kabsa ambae kimiaka tupo sawa sasa kunachangamoto ambayo imempata nduguyangu baada ya wote...
Nakumbuka baada ya kubaleghe na kuanza kuchakata mbususu hua kila nikipiga bao napata kausingizi flani kazito sana, yaani utamu wa kale kausingizi hua ni zaidi ya ule utamu wa usingizi wa kawaida...
Habari zenu, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye, najihisi mpweke...
I hope wote wazima wana JF,
Twende moja kwa moja kwenya mada yetu ya leo. Kama hujawah kuumizwa kwenye mapenzi ndugu yangu yaskie tu kwa mwenzako usije kuomba yakukute. Kuachwa na mtu uliempenda...
Naanza kwa masikitiko kuelezea kisa nilichikumbana nacho wakati nasoma pale chuo kikuu cha Dodoma (Udom).
Kuna mwanamke(msichana) tokea Tanga wilaya fulani hivi naihifadhi alitokea kunipenda...
Habari wana JF,
Mimi ni mvulana miaka 27 ni mfanyakazi katika taasisi fulani hapa Dar.
Mimi naingia kazini kuanzia saa 1.30 asubuhi na kutoka saa 12 jioni hivyo mda mwingi nakua kazini. Naishi...
Habari wanaJF wote humu ndani.
Nitajitaidi kusumarize topic ili nisiwachoshe,but main point zote nitawapatia. Hii ni mada yangu ya kwanza kuandika tokea nijiunge na JF so mtanisamehe kwa mistakes...
Nimetembelewa na mdada mrembo (pisi kali kweli), kwa sasa anakaribia wiki kukaa hapa kwangu. Anategemea by jumapili ijayo aweze kuondoka.
Tangu amefika kwangu, hela imekuwa haitulii. Kila siku...
Kumbe Jogging club zinazoanzishwa wa wingi hasa maeneo ya mjini zimekuwa platform ya kutongoza wanawakeee aiseee!!!.
Nimepita mahali nikakuta Kuna vijana wanamshawishi kijana mwenzao ajiunge...
Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa
Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
Ndugu zangu eid mbaraka in advance
Poleni na mfungo double double (kwa Wakristo na Waislamu).
Kama mnavyojua kuachana kwenye mahusiano kupo tu (isipokuwa kwa wachache walioamua kuvumiliana) maana...
Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake.
Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.
Licha ya hawa viumbe kupenda kupigwa pipe za maana, ila siku hizi wamekuwa hawana ubunifu kabisa
Nyie wanawake mnatusakama sana kuwa sisi hatuwaridhishi...
Ni aibu kubwa sana kukuta kijana wa kiume au wakike mwenye umri wa miaka 35+ bado anaishi kwao au kwa wazazi.
Hii ni aibu kubwa sana, na ni ishara ya kutokujitambua. Inakuwaje kwa umri huo...