Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni kisa Cha ukweli kilicho mkuta jamaa yangu. Yalikua ni malalamiko tu kila siku akisema mkewe hana heshima yaani hamuheshimu kabisa. Pamoja na kuto kuwa na heshima alikua na kauli chafu Sana...
63 Reactions
62 Replies
11K Views
KWA WANAWAKE WOTE MNAOVUNJA NDOA ZA WANAWAKE WENZENU. Sio Wachungaji wote wanaweza kuhubiri hili...soma hadi Mwisho. [emoji625] Ladies, ni hatari sana kuchumbiana na mwanaume ambaye unajua...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Unapomsaidia mtu pasipo kutarijia feedback yoyote kutoka kwake ni uncondioned love/agape love, mfano unapomsomesha mchumba wako bila kutarajia kuwa baadae utamuoa, Endapo ataleta pingamizi...
2 Reactions
5 Replies
974 Views
Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye? Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka...
53 Reactions
128 Replies
14K Views
Habari wakuu hii ni thread ambayo itakuwa inazungumzia mambo yanayohusu watu wote wenye jinsia ya kiume, hasahasa kipindi cha balehe mpaka utu uzima kuna changamoto mbalimbali vijana huzipitia...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Leo nimekumbuka mkasa huu nikawa nacheka sana. Ingawa imepita miaka karibia mitano hivi lakini ntajitahidi kusimulia tukio jinsi lilivokua pale KGB ilikupokumbana na ujasusi wa CIA. Moto uliwaka...
12 Reactions
89 Replies
55K Views
Mume wangu ashanipiga matukio lakini ile kufikishwwa kileleni jamani ni adimu sijawahi pata popote. Kwa hiyo najikuta mwaka wa 5 huu. Usiwaone watu wapo kwenye mahusihano mabaya mbele ya macho...
61 Reactions
304 Replies
33K Views
Kwenye wimbo wa Celine Dion ๐ข๐ญ'๐ฌ ๐š๐ฅ๐ฅ ๐œ๐จ๐ฆ๐ข๐ง๐  ๐›๐š๐œ๐ค ๐ญ๐จ ๐ฆ๐ž ๐ง๐จ๐ฐ Celine anaanza kukumbuka moments walizo share na Ex wake, anakumbuka hisia alizokuwa nazo juu ya mtu wake[emoji7] Celine tena...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nataka kuhuliza broโ€™s Kuna mwanamke ambaye nilikuwa naye kwenye relationship huyo mwanamke tulipendana saana mimi na yeye mpaka tukatambulishana kwa wazazi Kwao mimi walinikubali ila kwetu...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Awe na miaka 28...36 Mkaz wa Dar Christian Urefu asifike fut 6 Mengine tutawasiliana pm. Mimi nna miaka 28 ni diploma holder. Nimejiajiri ni mbena wa Iringa. Naishi Dar Mbezi.
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Why Should I feel Bad? [Story12]Once, there was this guy, who was in love with a girl. She wasnโ€™t the most beautiful and gorgeous but for him, she was everything. He used to dream about her...
2 Reactions
1 Replies
969 Views
Habar Wana Jf. Dada zangu wanaume hatupendi mtufanye kama mama zetu, hatupendi kuongozwa/ kusimamiwa, haya ndio makosa ambayo wanawake wengi wanayafanya katika ndoa zao. Mwanamke ukiwa na Tabia...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
[emoji23][emoji23][emoji23] Maake kuna jibaba huwa linafaulishwa mida ya saa 2 asubuhi kwenye chumba cha mwanamke ambaye mume huondoka kwenda kazini saa 12 asubuhi! Leo mume karudi nyumbani saa 4...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Swala la kuwa mama wa kambo kwa wale wanawake tunaopenda wahenga kwa kweli huwa haliepukiki Kusema kweli watoto wa kiume wana raha sana labda mwanamke uwe na shida zako binafsi changamoto ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa. Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe...
0 Reactions
66 Replies
110K Views
S๐ก๐š๐ค๐ข๐ซ๐š ๐ข๐ฌ ๐›๐ž๐š๐ฎ๐ญ๐ข๐Ÿ๐ฎ๐ฅ, ๐š๐ง๐š๐ก๐ž๐ฅ๐š, ๐ง๐ข ๐ฆ๐š๐š๐ซ๐ฎ๐Ÿ๐ฎ, ๐š๐ง๐š๐ข๐ฆ๐›๐š, ๐ค๐š๐ฆ๐ณ๐š๐ฅ๐ข๐š ๐๐ข๐ ๐ฎ๐ž ๐ฐ๐š๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐š2, ๐ฐ๐š๐ง๐š ๐ฆ๐ข๐š๐ค๐š 11 ๐ฉ๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š, walikutana southAfrica 2010 baada ya Shakira kutumbuiza wimbo maarufu wa mpira ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ฐ๐š๐ค๐š, katika...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Nilijaribugi kuoa mwanamke wa kizungu hakika wanajua mapenzi hawa viumbe [emoji39] SIFA ZA WANAWAKE WA KIZUNGU[emoji39] Wapo real sana sio watu wa drama Wakikupenda wamependa kweli yani, hawana...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
Rangi ya ngozi yake ni nyeusi, urefu wa kimo tunaendana japo nimemzidi kidogo. Napenda sauti yake anaponiita mpenzi wangu Errick. Ananishauri sana kuhusu maisha na pale ninapo mshauri kuhusu...
10 Reactions
102 Replies
9K Views
Uzi maalumu kwa ambao washawahi salitiwa na mke/mume au mpenzi Watoe shuhuda ilikuaje? Walijuaje kama ka cheat? Waliona viashiria gani? Je baada ya kuhoji je mke/mume/ mpenzi alikubali...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ