Utafanya nini pale utakapomkuta mkeo yuko ndani kwako na jibaba anachakatwa mbususu?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,778

Maake kuna jibaba huwa linafaulishwa mida ya saa 2 asubuhi kwenye chumba cha mwanamke ambaye mume huondoka kwenda kazini saa 12 asubuhi!

Leo mume karudi nyumbani saa 4 kasalimu majirani na kusema kuwa tumbo linamsokota, kufika kabisha hodi, mlango umefunguliwa baada ya dk 10 kupita, mume kuingia ndani ikasikika sauti yake, "umefuata nini ndani kwangu!?" Kimya kikatawala, hakuna mtu alotoka ndani, sio mke, sio mume, sio jibaba!

Muda huu(saa 10) ndo namwona jibaba anatoka ndani ya chumba cha watu anapita katikati yetu anaenda zake

N.B: Kibarua kiliota nyasi, msije niuliza kuwa sasa hivi nyumbani natafuta nini!

Ila hii dunia bhana!
 
Mkuu kuna mambo unaweza uka wish ila sio hili jambo
Ni a point of no return
Huwez kuandika leo itakuaje sababu haupo kwenye hiyo hari
Ni wakati mbaya sana kwa maisha ya mtu

By the way ntamuacha jamaa aamshe tu....
Then kama ni nyumba yangu na wife...basi itakua ya watoto
Then nasepa na njia yangu...
 
Hizi sio story. Haya mambo yapo, Kuna jamaa yangu yalimkuta mwaka mmoja uliopita.Jamaa kibarua chake ni safari mara nyingi.

Mara paap dharula, jamaa karudi nyumbani kamamkuta msen*e mmoja red handed anakula mbususu ya mamsapu wake kwenye chumba chake ,Kitanda chake, nyumba yake, mchana kweupee . Huyu mwamba alizaa nae watoto wawili ingawa hawajafunga ndoa hizi za kidini but wanlmeishi pamoja zaidi ya miaka 9 .

The guy was calm and tolerant. Akaita jamaa yake wa karibu, maamuzi yakafanyika, mpaka Sasa jamaa analipia Ada watoto na matibabu, yule mwanamke ameendelea kuwa cha wote na chuo Cha mafunzo Kwa vijana wanaojifunza ngono. .

Kamwe hatutaweza kutimiza kiu na tamaa za mwili. Mwisho huwa ni majuto makuu.
 
Hizi sio story. Haya mambo yapo, Kuna jamaa yangu yalimkuta mwaka mmoja uliopita.Jamaa kibarua chake ni safari mara nyingi. Mara paap dharula, jamaa karudi nyumbani kamamkuta msen*e mmoja red handed anakula mbususu ya mamsapu wake kwenye chumba chake ,Kitanda chake, nyumba yake, mchana kweupee . Huyu mwamba alizaa nae watoto wawili ingawa hawajafunga ndoa hizi za kidini but wanlmeishi pamoja zaidi ya miaka 9 .
The guy was calm and tolerant. Akaita jamaa yake wa karibu, maamuzi yakafanyika, mpaka Sasa jamaa analipia Ada watoto na matibabu, yule mwanamke ameendelea kuwa cha wote na chuo Cha mafunzo Kwa vijana wanaojifunza ngono. .
Kamwe hatutaweza kutimiza kiu na tamaa za mwili. Mwisho huwa ni majuto makuu.
amekuwa chuo na sanaa ya ufundi stadi kwa wananzengo wanaojifunza malavidavi jf raha sana
 
Mkuu kuna mambo unaweza uka wish ila sio hili jambo
Ni a point of no return
Huwez kuandika leo itakuaje sababu haupo kwenye hiyo hari
Ni wakati mbaya sana kwa maisha ya mtu

By the way ntamuacha jamaa aamshe tu....
Then kama ni nyumba yangu na wife...basi itakua ya watoto
Then nasepa na njia yangu...
Kuna kitu inatwa mateso ya kisaikolojia.. Ni makali kuliko physical..!! Yaa ukiamua kuact kama vile hakijatokea kitu mtu ataondoka mwenye na kuitisha vikao mwenyewe..!!

Kuna jamaa yalimkuta kama haya aliyoyasema muanzisha uzi, akaamua kuondoka home for two days bila kujulika alikoenda. Aliporudi aliendelea na maisha kama vile hakijatokea kitu. SHughuri ikawa kwa bidada..!!

Alitegemea ataulizwa kitu lakini wapii..!! Jamaa alikaa kimyaaa..!! Bidada akaamua kwenda kwa wazazi wa mwanaume kujieleza ili wamuite jamaa..!! Hakueleza uhalisia wa tukio.. Wazazi wakampigia jamaa, lakini jamaa alikna kwa kusema yeye hana tatizo na mkewe...!!

Wazazi wakamshangaa sana mwanamke. Bidada alipoona hivyo akaamua kwenda kwa wazazi wake yeye.. Jamaa bado aligoma kuwa yeye hana tatizo na mkewe. Mke akagoma kurudi. Lakini mwisho wa siku walikutanishwa wazazi wa pande zote mbili nyumbani kwa jamaa lakini jamaa akabaki na msimamo wake kuwa yeye hana tatizo na mkewe... !!

Mke aliamua kutorokea kusikojulikana.. Baada ya kama miezi mitatu hivi jamaa akamtafuta na kumpa mkwala mzito na wakarudiana huku wakiwa wamepeana masherti ya namna ya kuishi
 
Mkuu kuna mambo unaweza uka wish ila sio hili jambo
Ni a point of no return
Huwez kuandika leo itakuaje sababu haupo kwenye hiyo hari
Ni wakati mbaya sana kwa maisha ya mtu

By the way ntamuacha jamaa aamshe tu....
Then kama ni nyumba yangu na wife...basi itakua ya watoto
Then nasepa na njia yangu...
Aisee
 
Kuna kitu inatwa mateso ya kisaikolojia.. Ni makali kuliko physical..!! Yaa ukiamua kuact kama vile hakijatokea kitu mtu ataondoka mwenye na kuitisha vikao mwenyewe..!!

Kuna jamaa yalimkuta kama haya aliyoyasema muanzisha uzi, akaamua kuondoka home for two days bila kujulika alikoenda. Aliporudi aliendelea na maisha kama vile hakijatokea kitu. SHughuri ikawa kwa bidada..!! Alitegemea ataulizwa kitu lakini wapii..!! Jamaa alikaa kimyaaa..!! Bidada akaamua kwenda kwa wazazi wa mwanaume kujieleza ili wamuite jamaa..!! Hakueleza uhalisia wa tukio.. Wazazi wakampigia jamaa, lakini jamaa alikna kwa kusema yeye hana tatizo na mkewe...!! Wazazi wakamshangaa sana mwanamke. Bidada alipoona hivyo akaamua kwenda kwa wazazi wake yeye.. Jamaa bado aligoma kuwa yeye hana tatizo na mkewe. Mke akagoma kurudi. Lakini mwisho wa siku walikutanishwa wazazi wa pande zote mbili nyumbani kwa jamaa lakini jamaa akabaki na msimamo wake kuwa yeye hana tatizo na mkewe... !! mke aliamua kutorokea kusikojulikana.. Baada ya kama miezi mitatu hivi jamaa akamtafuta na kumpa mkwala mzito na wakarudiana huku wakiwa wamepeana masherti ya namna ya kuishi
Duh...
 
Kuna Bwana mkubwa nae alikuwa mkufunzi wa Tisa mbili aliwahi patwa na situation Kama hiyo kwa hali isiyoyakawaida mfumaniwa alitegemea atafanyiwa jambo ambalo asingesahau, ila jamaa alirudi zake kikosini hakusema chochote.

Kimsingi mama wa watu alijirudia kwao mwenyewe bila hata kuambiwa ondoka.
 
Kwamba huzijui bastola zilipo au unatutega tu? Mama watoto Hannah hanaga shida akinifuma na mchepuko yeye ndio anaomba msamaha
 
Kuna kitu inatwa mateso ya kisaikolojia.. Ni makali kuliko physical..!! Yaa ukiamua kuact kama vile hakijatokea kitu mtu ataondoka mwenye na kuitisha vikao mwenyewe..!!

Kuna jamaa yalimkuta kama haya aliyoyasema muanzisha uzi, akaamua kuondoka home for two days bila kujulika alikoenda. Aliporudi aliendelea na maisha kama vile hakijatokea kitu. SHughuri ikawa kwa bidada..!! Alitegemea ataulizwa kitu lakini wapii..!! Jamaa alikaa kimyaaa..!! Bidada akaamua kwenda kwa wazazi wa mwanaume kujieleza ili wamuite jamaa..!! Hakueleza uhalisia wa tukio.. Wazazi wakampigia jamaa, lakini jamaa alikna kwa kusema yeye hana tatizo na mkewe...!! Wazazi wakamshangaa sana mwanamke. Bidada alipoona hivyo akaamua kwenda kwa wazazi wake yeye.. Jamaa bado aligoma kuwa yeye hana tatizo na mkewe. Mke akagoma kurudi. Lakini mwisho wa siku walikutanishwa wazazi wa pande zote mbili nyumbani kwa jamaa lakini jamaa akabaki na msimamo wake kuwa yeye hana tatizo na mkewe... !! mke aliamua kutorokea kusikojulikana.. Baada ya kama miezi mitatu hivi jamaa akamtafuta na kumpa mkwala mzito na wakarudiana huku wakiwa wamepeana masherti ya namna ya kuishi

Thats good.....
Kuliko kuuwa!! Wanao wataishi maisha gani? Itakuaje after hapo
Maisha ni mafupi mkuu
Ikiwa mtu AMEAMUA JAMBO basi litafanyika kwa namna yoyote ile
Haikwepeshwi na chochote
Sasa kwanini ukinzane na maamuzi ya mtu? Acha afanye then take time...chukua njia yako sepa
Ishi furahi ,utateseka kwa mda ila itakaa sawa after mda kidogo
Me nasepa zangu...labda niwe sina mikono na macho
Ila nna nguv zangu!? Nainuka naenda na hutaamini
 
Huwa naamini mtu anapoamua kuchepuka anakuwa na akili timamu na anajua anachokifanya.

Pia ni mwanamke au mwanaume ambaye akili zake ni za wanyama wa porini tu ndiye atachukua maamuzi ya kuingizi mchepuko wake ndani ya nyumba yake na mke/mumewe.

Kuchepuka kwa mwanaume sio issue issue kuingiza mwanamke ndani, hiki ni kiwango cha juu cha dharau kwa mkewe.

Mwanamke kuchepuka ukiwa ndoani kuchepuka ni uchafu, ni kumdhalilisha mumeo kwa kiasi Cha juu kabisa, lakini kuingiza mwanaume mwingine ndani ni umalaya uliokubuhu. Hapo mwanaume afanye maamuzi anayoona yatampa Amani ila sio kumuua Wala kumuacha na ukilema.
 
Hivi vitu kwa tuliooa na hatujawahi kukutana navyo, tunahisi kwambba haviwezi kutokea kwetu. Ila kama hayo yametokea kwa binadamu, vilevile yanaweza yakatokea kwa binadamu haohao ambao ni sisi sasa.
Tukeshe tukisali, hatujui siku wala saa
Unaweza kuta huwa yanatokea kwa mkeo sema hujabahatika kufumania
 
Dah sijui naelezea vipi hiki nitakachokifanya. Mungu niepushe na hili tukio lisije tokea nyumbani kwangu.
 
Aisee!
Nahisi huyo mwanaume atakuwa halali yako!

Na mie niache mazoea na wake za watu! Ngoja nimuite mzabzab mzee wa totoz na wake za watu kutokana na kazi yake ya bodaboda aje aseme neno, cocastic njoo umsikilize mzabzab, usisahau kutuambia kama ungelikuwa wewe umefumaniwa uko na Smart911 ungemsaidia vipi! to yeye na we njoo uone mateso tunayopitia wanaume!
 
Wake za watu watamu bwana yaani unatelrza vizuriii...ukitaka usifumaniwe njoo nikupeleke kwa babu
 
Mkuu, nina bahati ya kupendwa na wake za watu huku mtaani, ila process za kuwachakata kidogo zinaniwia ugumu, maana naweza pigwa bonge la plan nikakamatika!

Halafu huku watu wanapigwa tego, unanasa na mke wa mtu! Sasa huyu wa leo kafumwa saa 4 asubuhi, katoka gheto saa 10 Sijui humo ndani kulikuwa na vita gani, nahisi mafuta ya kupikia yalitumika!

Kwa babu ni muhimu sana! itabidi unipeleke!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom