Last week Kuna harusi moja, niliitafuta clip yake nikaipata.
Bwana harusi amewatambulisha ex wake ukumbini, lakini aliwaomba wasisimame, hi inaonesha aliwaharika kwenye sherehe.
Bwana harusi...
Modern marriages. Zimejaa must knows nyiingi lakini migogoro ndio inazidi tu kila siku. Jibu la ndoa ni moja tu, nalo ni chungu kama mchunga: mpango wa Mungu ulikuwa mke asiwe amewahi kuonja...
Niliwahi kuandika humu kusiana na rafiki yangu mmoja ambaye ni mtendaji wa mlandege & mumewe alikuwa mwalimu wa Tagamenda sekondari. Kwa kweli rafiki yangu alikuwa anamnyanyasa sana mmewe na kila...
Nawasalimu nyote wana Jf.
Niende moja kwa moja kwenye maada, Ilikuwa mwaka furani nilipata demu mtaani kwetu aliyekuja kuishi kwa shangazi yake akitokea mkoa fulani hivi, Nilipomtongoza...
Ukiletewa taarifa ya kuwa mkeo yupo gesti au nyumba fulani, yupo na kidume wanajivinjari; kwa ushauri wangu, usifike kabisa eneo hilo la tukio kwa nia ya kuwafumania; lolote linaweza kutokea. Cha...
Wanawake wengi wanatabia ya kudanganya kuwa wamefika kileleni kumbe hata kileleni kwenyewe hajuwi ni wapi.
Mara nyingi wanatumia mbinu ya kudanganya kama wanafika kileleni kwa kupiga kelele za...
Kaomba kuja kunitembelea mageto… Nikamuenesha haya vyombo vile pale anza kupika. Binti kaanza kuulizia mchele uko wapi? Mimi… ule pale. Upawa uko wapi? Mimi…. Ule pale.
Mara akashika sufuria...
Hivi vitu nimekuja kutambuwa siku hizi
Mwanamke ukimuonga pesa kwa kufikiri pesa zako ndo zitafanya mtoto wakike akupende au akuvumilie my friend umepotea.
Ila ukimsaidia mwanamke pesa bila...
Katika pitapita huku na kule jamaa akajikuta amezaa na mchepuko, jamaa akamwambia mtu wake"nitamjengea nyumba mtoto tutapangisha ili pesa za matumizi na mambo mengine zitoke huko na pia huo...
Nilioa mnamo mwishoni mwa 2020 kwa ndoa ya kulazimisha.
Kifupi ndoa hii haikuidhinishwa kwa moyo mmoja na wazazi wake,
isipokuwa Babu yake na bibi yake ndio waliisimamia kidete, na kunisapoti...
HABARI wakuu.
Leo nakuja tena kwenu wana jamii najua siwezi kosa ushauri, maoni ya namna yeyote nayoweza maliza hili tatizo langu linalonisumbua kwa sasa. Iko hivi nina mpenzi wangu niliedumu nae...
Kwa ufupi sana.
Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo...
Hakika ananiingiza kwenye jaribio zito sana ndugu zangu[emoji24][emoji24] Tu majirani, kinachonifanya kusita ni yeye kuwa na mtoto wa kike ninayemzidi miaka minne tu[emoji26] ambaye naye yuko...
Habari wadau.
Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO.
Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba...
Uchaguzi wa Kenya umetupa funzo Zito sana watanzania sidhani 2025 ccm jiandaeni kuondoka.
Twende kwenye Mada husika, imepita miezi mitatu tangu ndugu yetu aoe mwanamke ambaye tulikuwa hatujui...
Kwenye mapenzi kuna vionjo vingi, na moja ya vionjo hivyo ni kuitana pet names mbalimbali. Majina hayo yanaweza yakawa yale honey, dear, sweety, bae au yale ambao mmetungiana nyie wenyewe.
So...
Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.
Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila...
Kujua kutasababisha kuokoa mda utakaosaidia katika kulijenga taifa.
Utakuta umewekeza zaidi ya miezi miwili kwa mtoto wa mtu, mwisho wa siku ni kutokujibiwa text, kublokiwa, na kadhalika. Unakuwa...
Wanaume huwa tunapenda sana, ndio maana kuna wengine wanaonga gari, nyumba, vyeo n.k kutokana na uwezo na nafasi aliyonayo.
Hii inatokea pale anapokutana na binti aliyeuteka moyo wake, na anakuwa...