Semina za kisasa za ndoa zinavyochangia kuharibu ndoa

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,645
Modern marriages. Zimejaa must knows nyiingi lakini migogoro ndio inazidi tu kila siku. Jibu la ndoa ni moja tu, nalo ni chungu kama mchunga: mpango wa Mungu ulikuwa mke asiwe amewahi kuonja dyudyu kabla ya ndoa. Mume amjue mke akiwa bikra, hili lina maana kubwa sana. Kufanywa hovyo kabla ya wakati kunampa ujuzi mwanamke wa mema na mabaya. Siku akipata mume kwenye ndoa atakumbuka dudu la anko Sam wa enzi zile, na la bwana Masoud, walivyokuwa wakimpa burudani tofauti na anayoipata sasa. Huu ndio mwanzo wa kozi na semina nyiingi za "ukitaka kumridhisha mwanamke..." Yaani inabidi kifunguliwe chuo cha jinsi ya kumridhisha mwanamke ambaye amepitia vyuo mbali mbali mtaani, akaonja saizi mbalimbali, akakunjwa kwenye mikao tofauti tofauti, halafu aje aridhishwe na kidude kimoja, chenye staili na ujuzi mmoja tu!!

Umewahi jiuliza, mwanamke aliyeolewa akiwa bikra atakijulia wapi kibamia? Ni lini ataijua staili ya kichwa chini miguu juu kama mumewe hajamfundisha na kumzoesha? Je, ni wakati gani atasema "mume wangu mvivu kitandani?" Yote haya yanapimwa kwa kutumia uzoefu wa nyuma, mtiti aliokuwa akipambana nao kabla ya kuolewa na huyu mume. Na ndivyo inavyokuwa pia kwa mke wa ndoa akiamua kuchepuka, akakutana na ujuzi mpya, hawezi kutulia kwenye wali nyama tu, wakati watoto wa kihuni wanamlisha pizza!! Ndoa itayumba tu, kwa sababu ya ujuzi wa mema na mabaya, hata kama mtahudhuria semina milioni. Hii ni sababu Mungu aliamuru hapo zamani mwanamke wa aina hii auawe kwa kupigwa mawe tu. Ni kama simba wa Serengeti, akishakula nyama ya binadamu tu, lazima atafutwe auawe, kwani nyama ya mtu ni tamu kuliko, atahamishia windo lake kwenye makazi ya binadamu. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke wa aina hii, hawezi kamwe kutulia, atajitahidi kujificha asijulikane uovu wake. Kama unabisha wasikilize wachungaji kina mgogo wanasema usimchunguze mke. Yaani hii mambo imehalalishwa mpaka makanisani, lol!! Na sasa tumepata wachungaji wafundaji, wakielezea staili nzuri za kumridhisha mke kitandani, disgusting!!

Ndio maana wazee wa zamani walisisitiza bikra kuwa kigezo cha msingi kabisa kabla ya kubariki ndoa. Wachumba wanaingia chemba, washuhudiaji wanakaa nje malangoni kusubiri kitambaa cheupe kinatoka kikiwa chekundu, sio chenye ute. Tena walikuwa na ujuzi wa kuijua damu ya bikra original na feki, kama zinavyotengenezwa na wachina siku hizi. Huu ni ukweli mchungu mno!! Achana na semina za kina Mitimingi, jinsi ya kumridhisha mke n.k. Zamani wanawake walikuwa hawalalamiki wala kukimbia waume zao kufuata dyudyu, lakini leo wanayasaka kwa nguvu ili kupata vionjo tofauti.

Unaniuliza kwa nini mwanamke tu na sio mwanamume? Ha haah, iko hivi. Sisi wanaume hata ukituwekea vishimo vya utelezi mia moja, ni ngumu kusema kipi ni kitamu kuliko kingine. Akili zetu ziko oriented kwenye uelekeo mmoja tu, kukojoa, basi, na ndipo tunafeel utamu wooote. Kama unabisha jiulize, mnufaika mkubwa wa romance ni nani? Ndio maana mwanamume ana uwezo wa kuchukua kahaba muuza mbunye akaingia naye gest na akazama directly na bado akafurahia mapenzi!! Akili zetu zinaamua utamu wa mke kwa mvuto wa nje, sio wa ndani. Ndio maana wanawake mnahangaika kuboresha muonekano wa nje ili kutuzuga kwa urembo feki, na sisi wanaume tunahangaika kuboresha dyudyu zetu na mifuko yetu ya mapesa, ndizo silaha zetu. Six pack peleka magetini ukawe baunsa.

Hudhuria semina zote, fanya yoooote uwezayo, lakini kama kweli unataka kuwa salama kwenye hili, tafuta bikra, ujichanie mwenyewe, afu hakikisha hana marafiki mashakunaku wasijemzibua masikio akaja kuwa mbaya kuliko waliozoea uchafu huo. Kwa hali ilivyo, dunia haiwezi tena kurejea kwenye mpango halisi wa uumbaji wa Mungu, masemina yamekuwa mengi mno, zikitolewa fomula mbalimbali jinsi ya kuwa na ndoa imara, basi WEWE chukua hatua. Fuata ndoa kwa mujibu wa muumba wako ukamfanye kuwa kiongozi wako. Ndoa ya kutoka kwa Mungu: Kiongozi ni Mungu - mume - mke. Kutokea juu, Mungu anampenda mume, mume anampenda mke na kutokea chini mke anamtii mume na mume ana mtii Mungu. Katika hilo hakuna vidumu, wala michepuko wala dawa za kuongeza saizi.

Msingi mkuu wa ndoa, kwanza mwanamke awe bikra, pili mwanamume na mwanamke wawakiane tamaa ya kupitiliza, sio tamaa ya kutiana tu, itoke moyoni kabisa, tamaa ya kuwa pamoja muda wote, kutokutaka mwenzio aumie, asononeke, ateseke n.k. ndipo wazazi wayapime mapenzi hayo na kama yametoka kwenye nafsi. Watu wa namna hii wakioana basi watazikana tu, iwe mvua iwe jua, hawa watakuwa wameunganishwa na Mungu. Zamani ilikuwa kawaida tu kusikia binti fulani amehamishiwa mbali na wazazi wake ili tu asiolewe na kijana fulani hapo kijijini. Afu tena mnasikia, huko aliko amegoma kula mpaka amuone huyo kijana, hata inabidi wazazi wamrejeshe tu. Siku hizi hakuna hayo, ukimpa mgongo tu washua wanakuchapia, binti wa aina hiyo angerudi na mimba!! Kwa sasa inatosha.

Nasubiri mapovu.
 
One thing you must know Mr author :

Utandawazi + Technology ndo vinasababisha ndoa zikose thamani na uaminifu kama zamani... Wewe unaongelea habari za miaka 20 nyuma Kwa kipindi hiki ni very irrelevant.

Hapa Hakuna cha bikira wala Non-bikira.. Kikubwa ni hulka ya mwanamke mwenyewe na Umuombe sana Mungu akulindie mkeo ili azishinde tamaa... Siamini kuwa wanawake woote walioolewa wakiwa Hawana bikira Huwa ni lazima watoke nje ya ndoa zao.... Wapo watulivu na wasio watulivu pia.. Hvyo hata ukioa Bikira, still kama mtu ni destined to cheat atacheat maana Mungu alishasema :

NAWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO, HATA KIZAZI CHA TATU NA CHA NNE CHA WANICHUKIAO.

Sasa ukioa mwanamke bikira ambae baba yake au Babu yake aliwah kuwa mzinzi, bac ujue mkeo ana dhambi ya kurithi, unless awe ni mcha Mungu kwelikweli...
Hvyo bac katika ndoa msipomshirikisha Mungu, hata muoane mabikira wote, bado mke atatoka nje.

NB :
Mungu akamfanyia msaidizi wa kufanana nae :

Ukae ukijua mkeo ndo msaidizi wako wa Kufanana nawe, na sifa za vitu vinavyofanana kila mtu anajua...mume CHEPUKA ,Mke ATACHEPUKA PIA... Simple.
 
Umeongea vizuri Sana ila umekuja kukosea sehemu moja.
Umebase upande mmoja.

Hakuna sehemu kwenye maandiko inahalalisha mwanaume achepuke...haipo hata moja.
Maandiko yanasisitiza kuwa ndoa ni ya mke na mume mmoja.. hao wawili huwa mwili mmoja.
Wote wawili wanapaswa kujitunza.

Kumbe tatizo la kukosa mabikra huanzia kwa wanaume...kwanini muwatoe mabinti bikra kabla ya ndoa!?
Mngeyasoma vizuri maandiko wala msingekaa na kufungua zipu hovyo na mabikra wangekuwepo wa kutosha.

Tegemea kuvuna ulichopanda.. Mungu humpa kila mmoja wa kufanana nae.
Km ulichezea wanawake wa watu,jua na wewe wako lazima yupo anachezewa..ama lah jua mwanao na Wewe atachezewa.
 
One thing you must know Mr author :

Utandawazi + Technology ndo vinasababisha ndoa zikose thamani na uaminifu kama zamani... Wewe unaongelea habari za

Siku hizi bikra zinatolewa kupitia tv na movies, uko sahihi. Sasa hiyo inaitwa mind programming, vijana wanakuzwa wakiwa exposed kwenye mazingira ya kingono. Akili zao zinatengenezwa kufanyana tu, ndio maana kuna matukio mengi ya vitoto kuingiliana. Sio kwamba wanasikia hamu no, ni copy and paste, sio utashi wa ndani bali ni mahitajio ya wakati huu.

Kusema naongelea miaka ishirini nyuma ni sahihi, ila sio sawa kusema ni irrelevant labda kama hujaelewa hoja. Mimi najaribu kuangalia asili ya ukengeufu huu na jinsi tulivyojikuta tumefika hapa tulipo. Hii ni hoja fikirishi tu, mambo ya utandawazi ni mfumo wa maisha tu ambao binadamu ameamua kuukumbatia, ubaya ni kwamba kizazi kinalelewa kuamini kuwa mfumo huu ndio sahihi. Ni sawa na miaka ijayo mtu mmoja ataandika kusrma zamani wazee walipinga ushoga, wakati huo mapenzi ya jinsia moja yataonekana kawaida na kizazi kile.

Kuhusu kuwapatiza wana maovu kizazi hadi cha nne, hii ni torati na ni irrelevant kwa kizazi hiki labda kama husomi biblia, kwani imeandikwa mwana hatouchukua uovu wa baba yake n.k. Ndoa yoyote iliyounganishwa na Mungu inapaswa kudumu. Lakini jua tu kuwa Mungu sio mbadala wa utashi wako kama hujamkaribisha afanye hivyo. Hilo ni somo jingine, ndio maana tunafunga ndoa makanisani halafu tunazini humo humo. Ili kudumu inabidi kumuomba Mungu awafanyie moyo mpya, usiojaa michakachuo.

Mke ni msaidizi ni kweli tupu. Kufanana naye ni kitu kingine kabisa, wewe hufanani na mkeo kwa sura wala tabia, mkeo na wewe ni nafsi hai. Kumbuja mke alitoka mwilini mwa mume, hivyo ni sehemu yako wewe mume. Mke yupo kukukamilisha ndipo muwe mwili mmoja. Anayekukamilisha hafanyi hivyo kwa kuiga ubaya, labda kama hujasoma biblia. Matendo mema ya mke yatamvuta mume pia, sio hilo unalosema wewe. Ndoa sio mashindano, ila kwa huu mtazamo wako wa mwaga mboga nimwage ugali, ndoa haiwezi kuwa salama. Na ndio ndoa za kisasa unazozisema, tofauti na kale ambapo mume angweza ku,pelekea mke mtoto na kusema ni damu yetu hii, nilipitiwa nikazaa nje. MUME CHEPUKA MKE ACHEPUKE ni ndoa makahaba wasioelewa ndoa ni nini.
 
Umeongea vizuri Sana ila umekuja kukosea sehemu moja.
Umebase upande mmoja.

Hakuna sehemu kwenye maandiko inahalalisha mwanaume achepuke...haipo hata moja.
Maandiko yanasisitiza kuwa ndoa ni ya mke na mume mmoja.. hao wawili huwa mwili mmoja.
Wote wawili wanapaswa kujitunza.

Kumbe tatizo la kukosa mabikra huanzia kwa wanaume...kwanini muwatoe mabinti bikra kabla ya ndoa!?
Mngeyasoma vizuri maandiko wala msingekaa na kufungua zipu hovyo na mabikra wangekuwepo wa kutosha.

Tegemea kuvuna ulichopanda.. Mungu humpa kila mmoja wa kufanana nae.
Km ulichezea wanawake wa watu,jua na wewe wako lazima yupo anachezewa..ama lah jua mwanao na Wewe atachezewa.
Uko sawa, lakini uelewe kuwa tangu zamani Mungu aliwaachia wanaume wawe na wake wengi, unajua kwa nini? Kutokana na ugumu wa mioyo yao, kwa sababu tabia ya mwanamume kutamani haikuanza leo, lakini pia mume ni kiumbe imara tofauti na mke ambaye kiasili ni dhaifu. Ndio maana akapewa uongozi wa familia. Lakini pia mwanamume ndiye apandaye ndani ya mke, unapotoa manii ukamwaga ndani ya mke, ndio nafsi yako hiyo, inakwenda kutengeneza uhai. Sasa mke akiwa mwenye kufanywa hovyo hovyo tu, atatembea na nafsi ngapi?

Moja itamzoesha chuma mboga, nyingine kifo cha mende, mara mbuzi kagoma kwenda n.k. Sasa mtu wa namna hii akiingia kwenye ndoa kama hajaumbika upya rohoni hawezi kutulia kamwe, zile nafsi zitamtumikisha tu. Lakini kwa upande wa mwanaume, Mungu ataikimbia nafsi hiyo na kumpa ibilisi nafasi. Vifungo vyake hata hivyo ni vyepesi kulinganisha na mke, ndio maana mke ATAMWACHA baba na mama yake, ataambatana na mumewe, hawa watakuwa mwili mmoja kwa mwanamume kumwingizia manii. Hapo mke anakuwa ni nafsi ya mume, amefungwa kwake. Akipata mwingine wa kumwagia, anafungwa kwake, n.k Ndio sababu pia hakuna kahaba wa kiume.

Lakini neno la Mungu limekataza katakata wote kufanya mapenzi kabla ya wakati, ni chukizo mbele za Mungu. Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu, naye Roho hukaa palipo safi. Paulo anasema dhambi zote hufanyika nje ya mwili, wizi, uongo n.k. lakini dhambi ya uzinzi pekee hufanyika ndani ya mwili, yaani kwenye nafsi, ndiko viliko vifungo. Nafsi zinaungana katika dhambi, hivyo mnatumikishwa na shetani, mkifunga ndoa nafsi zinaunganishwa na Mungu mnakuwa chini ya uongozi wake.

(Pia usisahau, zamani za Agano la Kale, mwanamume akimbaka mwanamke, kama hajaolewa, basi amekuwa mke wake. Sababu ni kuwa kishampandikiza nafsi yake na kuwa kitu kimoja. Pia mtu akizini na mke wa jirani wote wauawe kwa sababu hiyo hiyo, ili mume wa huyu mke awe huru katika ulimwengu wa mwili).
 
Mkuu hii zana ya Bikra naichukia sanaaaaaaaa, sababu najuwa Bikra wengi walioolewa na kutoa sana nje
Uliwapima? Ulijuaje, pia hao bikra waliishi mazingira gani. Maana zama hizi ni nadra sana kukuta bikra wengi wanaolewa kama unavyojaribu kutuaminisha. Hebu funguka kidogo mkuu.

Unanikumbusha dhana moja hivi, eti ni heri kuoa kahaba kwa kuwa amepitia mengi, hivyo atatulia na kuwa mke mwema. Ndugu zangu wapenzi, sumu haijaribiwi kwa kuionja!!
 
Umeongea vizuri Sana ila umekuja kukosea sehemu moja.
Umebase upande mmoja.

Hakuna sehemu kwenye maandiko inahalalisha mwanaume achepuke...haipo hata moja.
Maandiko yanasisitiza kuwa ndoa ni ya mke na mume mmoja.. hao wawili huwa mwili mmoja.
Wote wawili wanapaswa kujitunza.

Kumbe tatizo la kukosa mabikra huanzia kwa wanaume...kwanini muwatoe mabinti bikra kabla ya ndoa!?
Mngeyasoma vizuri maandiko wala msingekaa na kufungua zipu hovyo na mabikra wangekuwepo wa kutosha.

Tegemea kuvuna ulichopanda.. Mungu humpa kila mmoja wa kufanana nae.
Km ulichezea wanawake wa watu,jua na wewe wako lazima yupo anachezewa..ama lah jua mwanao na Wewe atachezewa.
Nilisahau kuhusu hoja yako kuwa tatizo la bikra linaanza kwa mwanamume. Kwa upande mmoja uko sawa, lakini tutazame upande mwingine.

1. Wazazi - hawa wamekuwa chanzo kikuu cha watoto wa kike kuingia kwenye mahusiano kabla ya ndoa. Wazazi wengi wake wamekuwa ni wasiri wa mabinti zao, tena wengine hupokea hata zawadi ndogo ndogo kutoka kwa wachumba watarajiwa. Maandika yanasema mlee mtoto katika njia impasayo naye hatoiacha

2. Mazingira - maisha ya utandawazi yamevuruga mfumo wa maisha, ndio maana serikali zimeamua kufundisha aya ya uzazi kuanzia primary schools. Haikuwa hivyo miaka michache tu iliyopita. Sasa mtoto anakuwa akijua yote, hata yale yampasayo mtu mzima mwenye kufanya maamuzi.

3. Programming ya akili - utandawazi haukuja hivi hivi tu, leo hii tayari kizazi kimefundishwa jinsi ya kuvitazama vitu, tofauti na uasili wake. Kumbuka miaka michache tu iliyopita tulikuwa na english figure, mabinti kwa wamama walihangaika kujikondesha, wengine wakawa wakishinda na njaa ili kuutafuta huo uliosemwa kuwa ndio "urembo." Leo hii bambataa ndio habari ya mjini, na mihips mikuubwa, wamama wamegeuka watumwa wa hili, kutwa kucha kujidunga misindano ya kuumua. Vipi kuhusu nywele bandia (na zinaitwa bandia lakini hakuna anayeshituka), kujichubua ngozi, vimini n.k. Nani katudanganya weupe na nywele ndefu ndio urembo? Sasa basi, kwa kuwa mwanamume huwaka tamaa kwa kuona tu, na mwanamke anajitengeneza hivi ili amteke mwanamume, kwa nini bikra zisibanduliwe?

4. Kuiga - wazungu wana utamaduni wa kuwa boy friend na girl friend. Tena hutambulishana kwa wazazi nao watakaa hivyo pasipo kulana. Usidanfanyike, afrika hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanamume. Urafiki utaanzia kwenye socual gathering mwishowe utaishia kitandani tu. Najua wapo watakaobishia hili, ila wewe ndugu, ili uwe salama, usiruhusu binti yako ama mkeo eti awe na marafiki wa opposite sex, utakuja kujuta.

Hayo ni kwa uchache tu, lakini niseme tu mimi huwa nashangaa nikiona wazazi wanavyohangaika kuvipamba vibinti vyao, viguo vifupi, minywele bandia mpaka inakuwa mzigo. Haya mazingira ndio atakuwa nayo mtoto kiasi kwamba akivunja ungo hawezi kumsikiliza mtu sababu wazazi wake ambao ndio waalimu wake wa tabia wanaona yuko sahihi. Binti kama huyo ukimkosoa atakuchukia tu, badala yake mwache atumike sawa sawa na makusudio ya wazazi wake. Kumbe watoto wetu ingetupasa tuwafunze kuwa nadhifu tu, bila kuwajengea kutojiamini kwamba si warembo mpaka watumie mikorogo na minywele ya bandia.
 
Fact
Umeongea vizuri Sana ila umekuja kukosea sehemu moja.
Umebase upande mmoja.

Hakuna sehemu kwenye maandiko inahalalisha mwanaume achepuke...haipo hata moja.
Maandiko yanasisitiza kuwa ndoa ni ya mke na mume mmoja.. hao wawili huwa mwili mmoja.
Wote wawili wanapaswa kujitunza.

Kumbe tatizo la kukosa mabikra huanzia kwa wanaume...kwanini muwatoe mabinti bikra kabla ya ndoa!?
Mngeyasoma vizuri maandiko wala msingekaa na kufungua zipu hovyo na mabikra wangekuwepo wa kutosha.

Tegemea kuvuna ulichopanda.. Mungu humpa kila mmoja wa kufanana nae.
Km ulichezea wanawake wa watu,jua na wewe wako lazima yupo anachezewa..ama lah jua mwanao na Wewe atachezewa.
 
Mwanamke hats akiolewa bikra.bado atachepuka tu.itafika muda hutoamini kama ndo yeye!
Kuwa na utulivu ndoani no maamuzi na misimamo ya mtu binafsi ndo itadertermine atulie au asitulie.vishawishi no Vinci sana.
Pia ndoa inahitaji maombi na kuwa karibu na Mungu kuepusha vishawishi..


Pili wanini unalenga wanawake tu na kuacha wanaume?
Wanaume ambao hawajawahi Fanya mapenzi na wanawake nao no mabikra pia
U mean wao wakikukuruka kabla ya ndoa sio tatizo,ila wanawake ndio tatizo?
Acha mfumo dume!
 
Back
Top Bottom