Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ilikuwa ni mwezi wa 6 mwaka huu mwanzoni, ndipo nilipoanza kumfuatilia. Huyu binti anafanya kazi bank. Kwa kweli ni mzuri, mweusi mrefu ila ana madharau sana[emoji23] Nikapiga moyo konde...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Ni huko kwa wanaijeria. Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding. Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Sijui nianzie wapi kuelezea kwa kisa kilichonipata . Ila nimeona leo ni share kisa kimoja kilichowahi nikuta 2019 nipo kwenye harakati za uchimbaji na usafirishaji wa madini Ilikuwa Mida flani...
14 Reactions
64 Replies
11K Views
Mara kwa mara nimekuwa nikitumia pesa kupata true love lakini sijafanikiwa mara nyingi nakutana na makanjanja matapeli na nimeisha kutana mpaka na maibilisi ni wezi mtupu. Sifa nyingi, zielekee...
25 Reactions
154 Replies
8K Views
Habari, Nahitaji rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo; Muislam Apatikane mkoa wa mtwara, wilaya masasi, nanyumbu au mtwara mjini Awe mfupi wakati(150-170cm) Akiwa mmakonde itapendeza zaidi Pesa...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Awe tayari kuanza familia. Umri kuanzia miaka 22 had 39, Mwenye kumpenda Mungu. Elimu yangu ni ya chuo na Nimeajiriwa Dar.
4 Reactions
4 Replies
740 Views
Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 34, muislam, natokea familia ya kawaida sana, elimu yangu ya kawaida sana, ninafanya kazi halali ya kumpendeza Allah. Nahitaji rafiki mwenye hitaji la kuwa...
1 Reactions
2 Replies
674 Views
Habari wakuu... Nimetimiza miaka 9 sasa bila mahusiano na demu.. nimekua napenda kupgwa vibuti, yaan demu asiponikataa cfeel good tena natamani anitemee na shit ndio moyo wang unasuzika. mademu...
6 Reactions
14 Replies
943 Views
Wadau, kutokana na kujiamini kwangu katika suala la mapenzi nimekuwa muumizi mzuri sana wa sera ya "No hongos". Yaani sihongi. Ndiyo sihongi pesa kwa mpenzi hata siku moja. Najiamini kuwa nami...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Alikwama katika harakati zake za hapa na pale, hivyo akaniomba nimpatie elfu thelathini asogezee siku kisha kuahidi kunirudishia siku iliyofuata. Cha ajabu siku iliyofuata akanilia buyu, kisha...
42 Reactions
142 Replies
8K Views
Habari za jumapili natumaini mpo wazima kabisa baada ya ibada sasa ni muda wa kumpa Kaisari yalio yake... Kwanza kabisa nitangulize samahani nikiwa kama mwanachama wa rank ya juu kabisa wa chama...
21 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakuu najua mko poa Kama mada isemavyo kwa hiyo nimekuja hapa ili tupeane maujuzi kidogo Kuna binti mmoja nilikutana nae mwezi uliopita nilimkubali sana nikaamua kumtegea mingo na kumtongoza...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Hili suala limetokea tu automatically sielewi shida nini. Najaribu kuvuta hisia za kimapenzi pamoja na kuangalia phonographic video lakini Hola. Nimeona nichukulie kawaida tu kwanza Sina ya...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakuu, kutokana na changamoto za hapa na pale za kimaisha, nimejikuta mtu wa mawazo sana kiasi kwamba ni wiki ya tatu nimekutwa na changamoto hizi: 1. Nimepoteza hisia za kimapenzi, sina hamu na...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wakuu? Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu bwana anasherekea miaka 20 ya ndoa yake. Hajawahi mpandishia sauti kumfokea mkewe,hajawahi mpiga na hawajawahi kugombana. Nimemaliza.
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Brethren, NB: Msiniombe reference kwa vile huu ni uchambuzi na maoni binafsi mimi babu yenu kwa kushirikiana na marafiki zangu wa karibu (Hawapo JF), kwa lengo la kupeana tahadhari. Ni hivi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Tuna siku ya 4 hatuonani na hatusemeshani na Mchepuko Wangu mamaJ kajinunisha. sijajihangaisha sana kumbembeleza wala kuyamaliza maana kisa chenyewe hakina KICHWA wala miguu (Kuna Uzi wake...
18 Reactions
113 Replies
14K Views
za usiku huu wakuu, leo tena natupa jiwe angani, naamini kuwa wahitaji kama mimi pia, kama kuna mdada au mmama ambaye yuko free japo tuchat au kuongea usiku huu sio mbaya kwangu namba yangu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hebu soma kisa hapa chini kwa utafiti wangu hayupo mwanamke ambae hawez danganyika mwanamke ni dhaifu hata awe pastor ndo walivoumbwa There is this man who began chatting with me around October...
12 Reactions
118 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…