Kuhusu ukatili wa kingono kwa mke au mume

TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
3,140
5,336
Habari wanajamvi, kila nikikutana na hizi agenda za ukatili wa kingono hasa kwa mke na mume nashindwa kuelewa vizuri, naomba ufanunuzi wa kina wa hoja.

1:- Nimeoa/umeolewa je inawezekana vipi mumueo/mkeo akakufanyia ukatili wa kingono (normal sex) (mmefanyia chumbani)

2:- Endapo mmoja wenu hatowajibika katika Tendo la (ngono) hiyo inatafsiriwaje?

3:-Na kama kila siku mmoja wenu hataki kufanya mapenzi hii itakuwaje?.!

Side B:
18+yrs amekuja geto au mahali penye faragha ukafanya nae mapenzi japo kimazoea huwa wanawake haonyeshaga utayari wa 100% napo utakuwa umemnyanyasa
 
Chakubanga wa kwanza ana sura ya know when you're ready to talk about the house for rent in okay shape for rent on Craigslist and was wondering if it would help me
Unaniandikia kiingereza nikuone umesoma sana au
 
Chakubanga wa kwanza ana sura ya know when you're ready to talk about the house for rent in okay shape for rent on Craigslist and was wondering if it would help me
Chakubanga nani?jiheshimu basi na nimeuliza kwasabbu kufos penetration sijaelewa
 
Back
Top Bottom