Wanawake wengi wenye vichwa vidogo kichwani ni sifuri, msiwaoe

vibesen xxx

JF-Expert Member
Jul 23, 2022
2,668
5,278
Kwa uzoefu wangu wanawake karibu wote wenye tuvichwa tudogo yaani ni sifuri kichwani, wanadanganyika kirahisi. Wepesi wakudanganyika na wepesi kuomba msamaha.

Ukimkalisha chini umkanye ni kama unapoteza muda kwani hakuna linalomkaa kichwani! Hata kwenye ndoa hawa watu ndiyo wanaongoza kwa kuharibu familia.

Ni tofauti kabisa na wenzao wenye ndonga kubwa, wengi wanajielewa. Akisaliti basi ni chaguo lake lakini siyo kudanganywa kurahisi.

Ni wasihi vijana wawe makini sana na wanawake wenye tufichwa tudogo, wengi wao ni debe tupu kichwani.
 
In my experience wanawake karibu wote wenye tuvichwa tudogo yaani ni sifuri kichwani
Wanadanganyika kirahisi. Wepesi wakudanganyika na wepesi kuomba msamaha

Ukimkalisha chini umkanye ni kama unapoteza muda kwani hakuna linalomkaa kichwani

Hata kwenye ndoa hawa watu ndio wanaongoza kwa kuharibu familia

Ni tofauti kabisa na wenzao wenye ndonga kubwa ,wengi wanajielewa akisaliti basi ni chaguo lake lkn sio kudanganywa kurahisi

Ni wadini vijana wawe makini sana na wanawake wenye tufichwa tudogo wengi wao ni debe tupu kichwani
Huu ni ukweli unaouma ila hatuna budi kuukubali.sasa ukute ana kichwa cha ndimu halafu ana mkia usijaribu kuoa labda uchovye tu na ukimbie mpaka upae
 
Tuvichwa tudogo ndiyo nini? Hovyo kabisa we
In my experience wanawake karibu wote wenye tuvichwa tudogo yaani ni sifuri kichwani
Wanadanganyika kirahisi. Wepesi wakudanganyika na wepesi kuomba msamaha

Ukimkalisha chini umkanye ni kama unapoteza muda kwani hakuna linalomkaa kichwani

Hata kwenye ndoa hawa watu ndio wanaongoza kwa kuharibu familia

Ni tofauti kabisa na wenzao wenye ndonga kubwa ,wengi wanajielewa akisaliti basi ni chaguo lake lkn sio kudanganywa kurahisi

Ni wadini vijana wawe makini sana na wanawake wenye tufichwa tudogo wengi wao ni debe tupu kichwani
 
In my experience wanawake karibu wote wenye tuvichwa tudogo yaani ni sifuri kichwani
Wanadanganyika kirahisi. Wepesi wakudanganyika na wepesi kuomba msamaha

Ukimkalisha chini umkanye ni kama unapoteza muda kwani hakuna linalomkaa kichwani

Hata kwenye ndoa hawa watu ndio wanaongoza kwa kuharibu familia

Ni tofauti kabisa na wenzao wenye ndonga kubwa ,wengi wanajielewa akisaliti basi ni chaguo lake lkn sio kudanganywa kurahisi

Ni wadini vijana wawe makini sana na wanawake wenye tufichwa tudogo wengi wao ni debe tupu kichwani
Popote ulipo Johari .Leo nimejua kwanini hukuwa na akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom