Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sipendi demu ambaye hazingatii usafi wa uchi wake. Kuna demu mmoja aliniomba ofa ya bia kiutani utani na mimi siku hiyo nilikuwa nipo vibaya mno nina vijisenti vyangu vya kunisogeza siku mbili...
8 Reactions
61 Replies
10K Views
Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Kuna mwanamke ambaye tulipendana naye toka 2018 kwa bahati mbaya tukaja kuachana 2021. Mwanamke huyo yeye ndiyo alinipenda mimi sikumtongoza. Mimi nilikuwa namfatilia rafiki yake lakini alikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dear Wives, Tungependa kuwatia ufahamu kwamba kombe la Dunia linaanza mnano tarehe 20 Mwezi Novemba 2022 nchini Qatar na litachezwa kwa takribani siku 28. Kutokana na hilo, tunaomba kuwakumbusha...
2 Reactions
6 Replies
820 Views
Wanaume tokea muumbwe kwanini Tako linawasisimua tuambieni na kwanini shanga za kiunoni zinawadatisha .?? Pamoja nakukata mauno??
0 Reactions
83 Replies
5K Views
Nyumba ya kupanga raha hasa [emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222] Leo Waha wamepigana wenyewe kwa wenyewe,inadaiwa mmoja kaiba elfu tano ndani.Sasa kuna wanaomtetea na wanaomuunga mkono...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Nauliza hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao? Kakuaacha na nyumba watoto wawili kaenda kutafuta, hufanyi kazi zaidi ya kulea watoto pesa anatuma ila unawapa utamu wapita njia...
11 Reactions
338 Replies
27K Views
Najua kusema ni uhuru wa kila mtu lakini wanaume wengine mmezidi kukejeli wanawake humu. Sijapata kuona kabisa hamjui kutuheshimu kabisa. Sasa kama mtu ana matwaka yake, nyinyi yanakujereni nini...
9 Reactions
106 Replies
4K Views
I hope you all doing good today, I noticed something in social platforms nowadays, most people (especially ladies), wanapoachana na mtu (Ex's) huwa wanasema wamepata watu bora zaidi ya yule...
1 Reactions
19 Replies
845 Views
Salaam, Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote. Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa...
2 Reactions
0 Replies
562 Views
Mjadala mkubwa kuhusu muda wa upigaji bao la kwanza kwenye 6X6 bado unaendelea miongoni mwa wanaume wengi. Ikija kwenye suala zima la mzunguko wa kwanza, mara nyingi kila mtu hutoa maoni yake...
4 Reactions
51 Replies
12K Views
1. Shower Sex 2. Kitchen Sex 3. Beach Sex 4. Parking lot Sex 5. Pagala Sex (kwenye jumba ambalo halijaisha) 6. Uchochoroni Sex 7. Makaburini Sex 8. Kabatini Sex 9. Mezani Sex 10. Kibarazani Sex...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Out thereeeee wakuuuu. "Criminal we hujui tu mi na-hustle kiasi gani ili maisha yangu yaweze kwenda" ananiambia mmoja wa friends of mine. "Ni hustle gani hizo unaziziongelea" namuuliza...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Natanguliza samahani mno ikiwa kuna watu nitawakwaza. Huyu ni msichana mzuri na nadhifu na tuna mazoea kidogo, nilichukua namba nikamwambia namuhitaji, hakuwa na hiyana. Muda wote huu nilijua...
13 Reactions
70 Replies
4K Views
INTERNAL MEMO To: Married Women of Tanzania From: Concerned husbands Subject: WOLRD CUP Dearest wives, We wish to bring to your attention that the 2022 World Cup Edition will be kicking off...
1 Reactions
1 Replies
663 Views
U hali gani? Napenda kufahamu kwamba umewahi kujiuliza kwanini unataka mtoto wa kumzaa? Kuachana na sababu tunayoitumia wengi ya kutaka kutimiza kusudi la Mungu. Na je, umewahi kutamani usiwe na...
8 Reactions
185 Replies
8K Views
Karibu asilimia 90 ya wanawake ambao nimekutana nao na wengine kuwaona mtandaoni wanapotoa sifa za wanaume ambao wangependa waolewe nao sifa inayopewa msisitizo ni ile ya mwanaume mwenye hofu ya...
2 Reactions
75 Replies
11K Views
Marehemu Mwivano Mwambashi Kupaza Polisi reconstruction ya uso wa marehemu Mwivano Peter Kupaza Shari Goss Eneo la tukio.... Ilikuwa ni Julai 30 1999, mwanamke mmoja aliyetajwa kwa...
21 Reactions
106 Replies
22K Views
SIFA ZA MWANAMKE WA KIUNGU. Wanawake wengi wanatamani ndoa takatifu bila kujiuliza itawezekanaje kuwa mwanamke wa kiungu bila kumcha Mungu. Karibu tujifunze tabia na sifa za MWANAMKE mcha MUNGU...
12 Reactions
108 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…