Namuonea huruma x wangu

Namuonea huruma x wangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Kuna mwanamke ambaye tulipendana naye toka 2018 kwa bahati mbaya tukaja kuachana 2021. Mwanamke huyo yeye ndiyo alinipenda mimi sikumtongoza. Mimi nilikuwa namfatilia rafiki yake lakini alikuwa anazingua kinoma, mara nyingi nilikuwa namtumia yeye kuwa adiling (yule mtu unaye mpa misheni akupelekee kwa mtu fulani).

Sasa huyo mwanamke wa kwanza akawa anazingua kinoma, kwa bahati nzuri ukaribu wangu na huyo x wangu kipindi icho ukawa zaidi. Siku moja tulikuwa tukicheza cheza nikashika sehemu mbaya kwake nikamletea nyegezi nikatafuna.

Baada ya hapo mimi nilichukulia kawaida tu kumbe mwenzangu hisia za mapenzi zikajaa akilini mwake, akashindwa kuvumilia akanipa ukweli wake. Nikaona siyo kesi acha niwe naye tu lakini hisia zangu zilikuwa hazipo kwake.

Nilifanya kila liwezekanalo ili ajue kuwa na mpenda sana kama kutoka naye out na kufanya mambo mengine kama vile wapenzi. Dada huyo akawa mwenye furaha sana kwangu na mimi nilijaribu kumpenda na kumfanya kuwa na furaha siku zote lakini nilikuwa najikuta hisia zina kataa licha ya yeye kujitoa kwangu kwa hali na mali lakini wapi, hisia zilikuwa kwa yule rafiki yake tu.

Tulizidi kuwa naye na huku nakazania kulipata penzi la rafiki yake. Kwa bahati nzuri yule rafiki yake alikuja kunipenda nikaona isiwe kesi nikampa tu ukweli wangu kuwa sina muda naye ajaribu kutafuta mwanaume mwingine.

Na toka tuachane nimeshasikia kuwa anatoka na wanaume kadhaa lakini namuona kabisa hana furaha maana amegonda kama vile mgonjwa mpaka nahisi labda atakuwa na matatizo ya saikolojia.

Kweli mwanamke akipenda ujue kapenda kweli kweli, kuna muda najaribu kufikiria kurudiana naye labda atakuwa mwenye furaha lakini hisia zangu zinakataa kabisa.
 
Kuna mwanamke ambaye tulipendana naye toka 2018 kwa bahati mbaya tukaja kuachana 2021
Mwanamke huyo yeye ndo alinipenda mimi Siku mtongoza
Mimi nilikuwa na mfatilia rafiki yake lakini alikuwa anazingua kinoma mara nyingi nilikuwa na mtumia yeye kuwa adiling ( yule mtu unaye mpa mission akupelekee kwa mtu fulani) sasa huyo demu wa kwanza akawa anazingua kinoma
Kwa bahati nzuri ukaribu wangu na huyo ex wangu kipindi icho ukawa zaidi
Siku moja tulikuwa tukicheza cheza nikashika sehemu mbaya kwake nikamletea nyegezi nikatafuna
Baada ya apo mimi nilichukulia kawaida tu kumbe mwenzangu hisia za mapenzi zikajaa akilini mwake
Akashindwa kuvumilia akanipa ukweli wake Nikaona sio case Acha niwe naye tu lakini hisia zangu zilikuwa hazipo kwake
Nilifanya kila liwezekanalo ili ajue kuwa na mpenda saana kama kutoka naye out na kufanya mambo mengine kama vile wapenzi
Dada huyo akawa mwenye furaha saana kwangu na mimi Nilijaribu kumpenda na kumfanya kuwa happy siku zote lakini nilikuwa Na jikuta hisia zina kataa licha ya yeye kujitowa kwangu kwa hali na mali lakini wapi hisia zilikuwa kwa yule rafiki yake tu
Tulizidi kuwa naye na uku na kazania kulipata penzi la rafiki yake
Kwa bahati nzuri yule rafiki yake alikuja kunipenda Nikaona isiwe case nikampa tu ukweli wangu kuwa sina time naye ajaribu kutafuta mwanaume mwingine

Na toka tuachane nimesha sikia kuwa anatoka na wanaume kadhaa lakini na muona kabisa hana furaha maana amegonda kama vile mgonjwa wa ukimwi
Mpaka nahisi labda atakuwa na matatizo ya saikolojia
Kweli mwanamke akipenda ujue napenda kweli kweli
Kuna mda najaribu kufikiria kurudiana naye labda atakuwa mwenye furaha lakini hisia zangu zunakataa kabisa
Umekutana wapi na mgonjwa wa UKIMWI aliyekonda!
 
Kuna mwanamke ambaye tulipendana naye toka 2018 kwa bahati mbaya tukaja kuachana 2021. Mwanamke huyo yeye ndiyo alinipenda mimi sikumtongoza. Mimi nilikuwa namfatilia rafiki yake lakini alikuwa anazingua kinoma, mara nyingi nilikuwa namtumia yeye kuwa adiling (yule mtu unaye mpa misheni akupelekee kwa mtu fulani).

Sasa huyo mwanamke wa kwanza akawa anazingua kinoma, kwa bahati nzuri ukaribu wangu na huyo x wangu kipindi icho ukawa zaidi. Siku moja tulikuwa tukicheza cheza nikashika sehemu mbaya kwake nikamletea nyegezi nikatafuna.

Baada ya hapo mimi nilichukulia kawaida tu kumbe mwenzangu hisia za mapenzi zikajaa akilini mwake, akashindwa kuvumilia akanipa ukweli wake. Nikaona siyo kesi acha niwe naye tu lakini hisia zangu zilikuwa hazipo kwake.

Nilifanya kila liwezekanalo ili ajue kuwa na mpenda sana kama kutoka naye out na kufanya mambo mengine kama vile wapenzi. Dada huyo akawa mwenye furaha sana kwangu na mimi nilijaribu kumpenda na kumfanya kuwa na furaha siku zote lakini nilikuwa najikuta hisia zina kataa licha ya yeye kujitoa kwangu kwa hali na mali lakini wapi, hisia zilikuwa kwa yule rafiki yake tu.

Tulizidi kuwa naye na huku nakazania kulipata penzi la rafiki yake. Kwa bahati nzuri yule rafiki yake alikuja kunipenda nikaona isiwe kesi nikampa tu ukweli wangu kuwa sina muda naye ajaribu kutafuta mwanaume mwingine.

Na toka tuachane nimeshasikia kuwa anatoka na wanaume kadhaa lakini namuona kabisa hana furaha maana amegonda kama vile mgonjwa mpaka nahisi labda atakuwa na matatizo ya saikolojia.

Kweli mwanamke akipenda ujue kapenda kweli kweli, kuna muda najaribu kufikiria kurudiana naye labda atakuwa mwenye furaha lakini hisia zangu zinakataa kabisa.
Kwa huu uandishi inaonekana wewe ndie uliekonda mpaka unaonewa huruma na huyo Eksi wako ambae ana furaha huko alipo
 
Back
Top Bottom