Wanawake wanauchukulia umalaya kama "HUSTLING"

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,270
Out thereeeee wakuuuu.

"Criminal we hujui tu mi na-hustle kiasi gani ili maisha yangu yaweze kwenda" ananiambia mmoja wa friends of mine.

"Ni hustle gani hizo unaziziongelea" namuuliza nikimuangalia machoni ili hata mdomo wake ukinidanganya macho yake yatasema ukweli.

Anajibu "We hujui nimejitabasamisha mbele ya wanaume wangapi nnaowachukia, ninejibebisha mbele ya wanaume wengi nisiowapenda hata kidogo" anaendelea kunimabia uku macho ni makavu Kwa maana kwambaa hadanganyi.

"Kuna wanaume nimewavulia pichu sikuwahi hata kuwawaza maishani mwangu" anaendelea kusema "hayo na mengine mengi ndo yamenisimamisha mimi mwanamke jasiri aliyesimama mbele yako" sura yake ni kama anayoivaa mtu usoni baada ya kusumilia story ya ushujaa wake na mimi ikabidi nivae uhusika kulingana na mada na nature ya muhusika maana hakapendagi kuambiwa ukweli.

Tuliendelea kupiga story nyingine lakini lile swala la yeye kuchukulia umalaya kama ushujaa lilinikwaza sana, nikamwangalia yeye na maisha yake Kwa ujumla nikaja kupata jibu Wenda wanawake wengi sana wanauchukulia umalaya ni kama hustle.

Achana na wale wanaouza wale, wale imeshajulikana na ukienda pale hamna mambo mengi ni hela yako tu, lakini hawa wanajifanya innocent wengi waliotuzunguka na wenyewe ni wale wale wanahesabu tobo ni mtaji.

Ndo maana unaweza mfukuzia dem Kwa njia official (Yani ukawa unamfukuzia ile umeomba namba, unachati nae kidogo, vizawadi, outing baadae uje umtongoze) ukakuta mizungusho inakuwa mingi mpaka ukaona ujikatae alafu akaja tu mwana akaweka mkwanja akagusa akalamba mbunye, wewe ulimuheshimu kwa jinsi alivojiweka na hamna kitu uliambulia wamekuja wazee wakupanda day wamepita nae.

Najua Kuna mazingira huwa yanabana Kwa mfano umeomba ajira alafu mkubwa anataka mali, hapo itategemea vitu vingi imani yako, mzigo ulioko nyuma yako, mda uliosota bila kazi, mshaara unaenda kulipwa unaona aah isiwe kesi kuliwa mara moja tu raha tunapata wote na haondoki nayo baada ya hapo unakazi permanent it's up to you.

But Kuna ile mtu kuanzia Kodi, chakula, kusuka, kuvaa ni lazima a-hustle na ku-hustle kwenyewe ni kuliwa, hivi husipovijua unaweza kuvielewa ukaviheshim na kuvipenda mazimaaa, aisee ukivipenda hivi utapata tabu sanaa.

Kawhiyo wanawake mmakwama wapi? kauze mgahawa, muombe jamaa ako akufungulie duka, waambie hata nyumbani wakufungulie restaurant, fanya mishe yeyote zipo nyingi sana husiuze utu wako please.

#OneDayYouWillBeGone
Dr Criminal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jinsi unavyozipenda wewe na wao ni hivo..
kwa bahati mbaya wao huitwa malaya!
na hzo afta tatu wengne hatuombwi (kule kujifanya kidume) unatoa tu mkwanja.
si unajua tena sisi kama tupendavyo;
mara tako, pis kali, mara anaejishughulisha ktandani, mapochopocho nk

na wao wanataka mchanganyiko hvyohvyo..

ila sitetei, mleta mada uko sahihi
 
Out thereeeee wakuuuu.

"Criminal we hujui tu mi na-hustle kiasi gani ili maisha yangu yaweze kwenda" ananiambia mmoja wa friends of mine.

"Ni hustle gani hizo unaziziongelea" namuuliza nikimuangalia machoni ili hata mdomo wake ukinidanganya macho yake yatasema ukweli.

Anajibu "We hujui nimejitabasamisha mbele ya wanaume wangapi nnaowachukia, ninejibebisha mbele ya wanaume wengi nisiowapenda hata kidogo" anaendelea kunimabia uku macho ni makavu Kwa maana kwambaa hadanganyi.

"Kuna wanaume nimewavulia pichu sikuwahi hata kuwawaza maishani mwangu" anaendelea kusema "hayo na mengine mengi ndo yamenisimamisha mimi mwanamke jasiri aliyesimama mbele yako" sura yake ni kama anayoivaa mtu usoni baada ya kusumilia story ya ushujaa wake na mimi ikabidi nivae uhusika kulingana na mada na nature ya muhusika maana hakapendagi kuambiwa ukweli.

Tuliendelea kupiga story nyingine lakini lile swala la yeye kuchukulia umalaya kama ushujaa lilinikwaza sana, nikamwangalia yeye na maisha yake Kwa ujumla nikaja kupata jibu Wenda wanawake wengi sana wanauchukulia umalaya ni kama hustle.

Achana na wale wanaouza wale, wale imeshajulikana na ukienda pale hamna mambo mengi ni hela yako tu, lakini hawa wanajifanya innocent wengi waliotuzunguka na wenyewe ni wale wale wanahesabu tobo ni mtaji.

Ndo maana unaweza mfukuzia dem Kwa njia official (Yani ukawa unamfukuzia ile umeomba namba, unachati nae kidogo, vizawadi, outing baadae uje umtongoze) ukakuta mizungusho inakuwa mingi mpaka ukaona ujikatae alafu akaja tu mwana akaweka mkwanja akagusa akalamba mbunye, wewe ulimuheshimu kwa jinsi alivojiweka na hamna kitu uliambulia wamekuja wazee wakupanda day wamepita nae.

Najua Kuna mazingira huwa yanabana Kwa mfano umeomba ajira alafu mkubwa anataka mali, hapo itategemea vitu vingi imani yako, mzigo ulioko nyuma yako, mda uliosota bila kazi, mshaara unaenda kulipwa unaona aah isiwe kesi kuliwa mara moja tu raha tunapata wote na haondoki nayo baada ya hapo unakazi permanent it's up to you.

But Kuna ile mtu kuanzia Kodi, chakula, kusuka, kuvaa ni lazima a-hustle na ku-hustle kwenyewe ni kuliwa, hivi husipovijua unaweza kuvielewa ukaviheshim na kuvipenda mazimaaa, aisee ukivipenda hivi utapata tabu sanaa.

Kawhiyo wanawake mmakwama wapi? kauze mgahawa, muombe jamaa ako akufungulie duka, waambie hata nyumbani wakufungulie restaurant, fanya mishe yeyote zipo nyingi sana husiuze utu wako please.

#OneDayYouWillBeGone
Dr Criminal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jeshi lipo humu ukiwagusa kidogo "tafuta hela wewe.......",kwao wengine mapenzi kama kibarua.
 
Back
Top Bottom