Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mwanamke wa Uganda nilitokea kumpenda sana kazini kwetu, na kwa bahati nzuri nikampa ukweli wangu lakini maskini ya Mungu akanipotezea. Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Napigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza HIV. Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume, mwanaume akaoa kabisa huko, baadae mdada nae kaolewa. Akiwa na Mimba miezi...
25 Reactions
84 Replies
6K Views
Hii ni stori ya Monica wa Maganzo Shinyanga namna gani alijiingiza katika biashara ile. Alizaliwa katika hospital ya Kolandoto mnamo mwaka 1983. Wazazi wake walikuwa ni wakulima. Baba yake mzee...
1 Reactions
82 Replies
19K Views
Marriage is a Promise of Love Marriage is a commitment to life, to the best that the two people can find and bring out of each other. It offers opportunities for sharing and growth no other human...
0 Reactions
2 Replies
797 Views
Ni watu wengi walio katika mahusiano uachana na kutaka kurudiana. Neno Ex limekuwa ni neno maarufu sana na lenye kuonyeshwa uadui, visasi, uchafu, sumu, mkomoeni, kukosa uaminifu, tamaa, mapungufu...
1 Reactions
22 Replies
17K Views
Wakuu habarini, Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe. Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga...
5 Reactions
82 Replies
5K Views
Niko katika level ya juu kabisa ya kufurahia mapenzi, kama penzi letu litapimwa kwenda chini basi litakuwa limezidi kina cha Mariana Trench, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili...
18 Reactions
207 Replies
10K Views
Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Natafuta mchumba wa kike, awe mweupe wa saizi, asiwe mnene sana wala asiwe kajichubua. Awe mrefu, elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo, umri asipungue miaka 20 wala asizidi miaka 25, asiwe...
1 Reactions
5 Replies
910 Views
Bandugu kwema? Poleni na majukumu wazee wenzangu, hayo ndiyo maisha! Leo nimekumbuka sana maisha niliyoishi nikiwa chuoni. Yalikuwa ni 'low key life', wengi darasani hawakunijua, maisha yangu...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
Unakutana na mtu, wewe tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda. Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke...
12 Reactions
51 Replies
3K Views
Wakuu amani kwenu. Kumekuwa na maswali mengi sana kutaka kujua kama kweli mwanamie/mwanamume fulani anafaa kufunga ndoa naye ama la. Wengi hutaka kujua ni sifa zipi hasa mwenza anapaswa kuwa nazo...
19 Reactions
45 Replies
14K Views
Moja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye daladala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo Chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto...
27 Reactions
844 Replies
187K Views
Leo nimefurahia sana, mambo zenyu, Mzabzab wewe ni male au female ?😁😁😁😁😀😃😄 Miye male. Sasa kulikuwa na interview mahali, tuli interview baadhi ya waalimu watakaofanya kazi 2023 maana ndiyo shule...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimekorofishana na mke mwezi uliyopita kaninunia hadi leo, ingawa nimehitaji suluhu toka kwake lakini hataki, naishi mbali naye. Mwezi huu nimekuwa napiga sana nyeto, mwezi huu mke anadai anaenda...
17 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwapa, kama msichana ana ukungu kwenye kwapa au tunywele ata kidogo mwanamke huyu ni mchafu tena mchafu sana, uchafu wa kwenye mwili ni mpaka anapoishi. Ulimi, huu huwa una majibu ya kwamba mtu...
30 Reactions
115 Replies
20K Views
Hello wana JF, twende kwenyee mada husika. Naitwa Bk, nilikuwa kwenye mahusiano na mwanachuo wa chuo fulan, tulianza mahusiano toka mwezi wa 4, tulidumu kama miezi miwil halafu akaenda field...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu,napenda nikushukuru kwa kutenga muda kusoma ujumbe huu ambao nimeona una muhimu kuuleta hapa Kwenye nyuzi mbalimbali humu za watu kuoa au kuolewa tumeona watu wengi sana wakibeza...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Mwanaume mmoja mwenye miaka sabini na nane(78), akiwa na miaka (24) akilibahatika kuwa na mchumba na baada ya mwaka akafunga naye ndoa. Baada ya miaka mitano alibahatika kuwa na mtoto mmoja wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ugomvi wa baba na mama umekuwa ukiongezeka siku hadi siku. Nipo kijijini kwa mapumziko ya likizo ya siku 28. Hali hii imekuwa ikinikera sana hivyo nikaona kwasababu mimi ni mtu mzima nikae chini...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…