Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu JF, Matumaini yangu nyie ni wazima hapa, Yaani ninawamiss na ninawapenda wadau wa ukweli, Kwanza mnanisadia nikipata tatizo binafsi, hata marafiki zangu wanaonieleza shida zao, nikiona...
7 Reactions
124 Replies
14K Views
Kuna kamchepuko kamekuja kunitembelea hapa home, leo ana siku ya pili; na lengo lake la kuja ni ili niweze kurutubisha kijusi kilichopo ndani. Kweli nimejitahidi kutumia nguvu zangu zote, za...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanza nifafanue kased life ni ipi. Kwa kizungu .. inaitwa cursed life. Ni Hali ya kuwa na bahati mbaya maishani mwako. Wengi hawaijui hii. Nitoe uzoefu kidogo. Kwa wale wagumu kuunganisha dot...
0 Reactions
6 Replies
742 Views
Wakuuuuuuu Kupitia amiri jeshi wake serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania leo imetangaza idadi ya watu nchini baada ya zoezi la sensa kufanyika mnamo August mwaka huu 2022. Takwimu hizo...
17 Reactions
70 Replies
4K Views
Trust me. Hili kama huamini pitia threads za humu ndani. Utagundua wenye akili ni wachache sana. Wengi ni vilaza. Sisi Vilaza ni Jeshi Kubwa. Mwenyewe akangalia threads zenye vichwa vya habari...
20 Reactions
30 Replies
3K Views
Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF! Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate...
19 Reactions
171 Replies
13K Views
Nimechukuliwa demu na kijana wa Kimexico. Huyu demu wangu na huyu kijana wanafanya wote kazi sehemu moja, wana mazoea sana. Mwanzo alinidanganya kuwa huyu kijana ni rafiki yake mimi nikachukulia...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Upole, busara na hekima ya kimaongezi na kujali yataka kuwa shubiri iliotamu. Ipo hivi kuna pisi inapitia nyakati tata ako na boy wake yuko TASAF mahali, jamaa hapati fursa ya kula mbususu, sasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
By darasa la Mapenzi Tumshauri huyu kijana tafadhali Marafiki habari za kuhaingaika Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa...
2 Reactions
99 Replies
28K Views
Inasikitisha sana, Basi bhana, mida ya saa kumi siku ya jana, nabahatika kumuona mtoto mzuri i.e mama Africa kutokana na rangi yake ya super black beauty akitimiza ahadi yake aliyonipatia asubuhi...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Nina kawaida ya kunywa chai mara 2. Saa kumbi na mbili alfajiri na saa 4 asubuhi. Muda huu nina maumivu bado ya kuungua na chai. Ndugu zangu, kama mjuavyo binti ni mjamzito na nimeshindwa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha...
8 Reactions
188 Replies
14K Views
Nipo kwenye wakati mgumu wa kuchagua mtu sahii wa kufanya naye maisha Nina wanawake wawili ambao nina pendana nao na wote na wapenda ila kwa mujibu wa imani yangu ni lazima ni mchague mmoja tu...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Kijana unasikitisha sana, Hakuna mechi unaanza na kumaliza Ni aibu waomba sabu mechi haijaisha Dakk 90 kwako zimekua Changamoto Umekua wa akiba badala ya tegemezi Umefikia hatua unahisi umerogwa...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Unatongoza mwanamke anakuja kukubalika anakua mpenzi wake mkiwa fargha unajiachia hata zana hutumii kumbe mwanamke ni malaya wa kisirisiri mwisho unashangaa una gono unashangaa umepataje kumbe...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Mimi natafuta marafiki wakubadilishana mawazo. Sifa awe anajielewa mtaratibu na mwenye heshima . Sichagui jinsia hata wote tu .
7 Reactions
60 Replies
4K Views
Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe. Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
Wakuu habar za muda huu, Mwenzenu Nina majanga, niende kwenye points Kuna demu nilimpata nikaomba namba akanipa katika harakati za kuomba papuchi akasema mke wako tunafamiana pia tunaheshimiana...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Kusema ukweli hakuna jambo linaloninyima furaha kama hili la kuhukumu mwanamke kutokana na asili ya mahali alipotoka Utawasikia wakisema, "Usijaribu kuoa mwanamke kutoka ukanda fulani, wale ni...
4 Reactions
100 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…