Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Single mother ni zao la Uzinzi. Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Jana shule zimefunguliwa dogo uniform hazimtoshi, mekua guafla anazidi kurefuka mno. Likizo hii vibinti vya umri wake vilikuwa havikatiki nyumbani, tubinti tuzuri kweli, siku hizi inakuwaje...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
1.kupitia ndoa ndugu wa mwanamke hutumia mwanya wa kusaidiwa aka mashemeji 2.kupitia ndoa ndugu wa mwanamke nyumbani kwako ndo itakuwa sehemu ya kufikia na kuishi watakavyo 3.kupitia ndoa...
10 Reactions
66 Replies
4K Views
Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Desturi ya kuoana kwao. Wazaramu wakitaka mke, kwanza huenda kwa mjomba wa yule mwanamke, akampa khabari—ya kama: "Mimi namtaka mpwa wako kumwoa." Na yule mjomba humjibu: "Vema, lakini nataka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi toto ya ki Latin American ipo vizuri hili toto lilosherehesha faina ya Uefa jana lipo vizur aseee mda wote Ronaldo de Lima udenda ulikua unmatoka kama mtoto Ukilitazama Kwa kujiibia...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kiuhalisia ni mtu muongeaji Sana Mimi mia saba. Ila ni mtu mkimya Sana na nikikuzoea hutoamini. Maana na jua kutengeneza story za kufurahisha nikiakikisha huboreki tukiwa pamoja. Shida inakuja...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii hali mnadeal nayo vipi malegendi. Kashakula, kashakunywa, shopping, n.k. lakini umeomba game ndio anakupa taarifa kwamba yupo siku zake... Mbaya zaidi time frame mliyonayo ni siku hizo...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Unakua na mtu kwenye mahusiano, Siku Anakuletea habari inayomhusu mtu wako wa karibu kukujuza kwamba kapatwa na matatizo. Ila katikati ya habari, unagundua kwamba lengo la mtu huyu sio...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Yani unaishi na mtu, ukimuangalia unasikia hasira, kila anachofikifanya kinakukera, did you? Waeza omba dunia iyeyuke
1 Reactions
11 Replies
835 Views
Salaam wanaJF, Katika kutafuta kupata taarifa za kweli na uhakika naomba kuuliza je, ni kweli mwanaume akikaa muda mrefu bila kufanya ngono anakuwa kwenye hatari ya kupata saratani ya tezi dume...
3 Reactions
74 Replies
4K Views
Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume? Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka...
20 Reactions
228 Replies
13K Views
Habari, Wakuu Nna mpenz wangu mmoja (Ni Mchepuko Wangu) ni mwanachuo Hapa dsm, Yuko kwenye miaka 20-22 .Kipind tunaanza mahusiano, Changamoto yake Kubwa ilikua Ni aibu. Alikua na aibu sana Kias...
3 Reactions
72 Replies
7K Views
Binafs huu upepo uko kwa mwanamke wangu mmoja ambae sio mchumba Wala MKE wangu wa ndoa, bali Ni Mchepuko wangu wa MDA mrefu mamaJ. Kuna wanaosema zinaa na Mchepuko huleta mikosi,gundu,mifarakano...
17 Reactions
83 Replies
7K Views
Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Hivi siku ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi sijui? Mfano kwa mwanamke, wengi huingia hawajampenda mwanaume ila sababu zake ni...
26 Reactions
150 Replies
8K Views
Sasa hivi Haji anashikwa na wake zake vizuri tu Halafu kuna mimi mida hii nashikwa na funza miguuni tu Dah hii dunia kuna watu tumeletwa ili tuje kuona taabu tu Na wasubiri wazee watafuta pesa...
1 Reactions
5 Replies
840 Views
Kuna wanawake sijui ilitakiwa wamrubuni Adamu mwanzoni sio sisi tupo hapa tunakula kwa jasho tulilopewa na mungu. Nilikuwa na mahusiano na dada jambazi. Mwanamke mwanzo mwisho ni matumizi...
10 Reactions
48 Replies
3K Views
1. Kwanza Baba ndiye kiongozi wa familia si babamkwe wala mamamkwe. Familia bora baba ndiye mwenye kauli ya mwisho si mama wala watoto. Kwenye familia bora baba anaheshimika na akiwa na heshima...
13 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem...
23 Reactions
101 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…