Nilikuwa na mahusiano na dada jambazi

Nilikuwa na mahusiano na dada jambazi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,419
Kuna wanawake sijui ilitakiwa wamrubuni Adamu mwanzoni sio sisi tupo hapa tunakula kwa jasho tulilopewa na mungu.

Nilikuwa na mahusiano na dada jambazi.

Mwanamke mwanzo mwisho ni matumizi utazani anajua kutafuta.

Mwisho wa siku msingi ulikuwa unakata nikapiga chini basi utasikia kauli zao "tafute pesa"

Leo naona ananipigia kuniomba elfu kumi.

wewe dada jambazi ubora umekwisha maana kipindi cha awamu ya Jakaya ulikuwa unasema ujazoea ugali wakati unatoka TMK mwembe kahawa sio chai tena.

Kila siku kinashinda kino kikijifanya fighter girl.

Aisee Maisha yana kwenda kasi
 
Elfu 10,000 tu unamwita dada jambazi 🤣🤣 wale walioibiwa mamillioni itakuwaje🤣
 
Back
Top Bottom