Kuna Wanawake Wana upepo wa mafaniko, ukiwa nao unafanikiwa

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,495
99,292
Binafs huu upepo uko kwa mwanamke wangu mmoja ambae sio mchumba Wala MKE wangu wa ndoa, bali Ni Mchepuko wangu wa MDA mrefu mamaJ.

Kuna wanaosema zinaa na Mchepuko huleta mikosi,gundu,mifarakano kwenye familia,biashara, jamii n.k

Kiukweli,
Kwangu Mimi hali Ni kinyume kabisa.
Nikijitizama Mwanamke huyu amekua chachu kubwa ya mafanikio yangu tofaut na Hapo kabla.

Kila nikitembea na mamaJ hamna gundu wala mkosi wowote napata, Kama Ni pesa napata Kama kawaida na za ziada.

Hakuna Cha mifarakano Wala nn,
Ndoa yangu Ina furaha na mafanikio kila kukicha.

Ndani ya Miaka 3 kwenye mahusiano na Mchepuko wangu mamaj tumepata mafanikio yafuatayo:-

1. Na mke wangu, Tumefanikiwa kujenga na kukamilisha nyumba mbili za kiBiashara pamoja na pagale moja tunalimalizia kidg kidg inshallah mwakan tutalimalizia.
(yaan ni wastani wa nyumba Moja kila mwaka tangu niwe na mwanamke huyu)

2. Nimefanikiwa kukua sana kibiashara (mtaji wangu umekua Mara mbili) pamoja na kuongeza duka jingine la ziada ambalo kwasasa anauza shemej yangu (mdogo wake na MKE wangu)

3. Nmefanikiwa kuwakarabatia wazazi wake MKE wangu (wakwe zangu) nyumba Yao from the scratch pamoja na kumfungulia mradi mdogo mama mkwe wangu wa kumuingizia Ela kiasi ya kujikimu kila siku uko mkoani.

4. Nimefanikiwa kumsomesha shemej yangu (mdogo wake mke wangu) degree ya Miaka 3 chuo Cha private hapa Hapa dar tangu 2019 mpaka anamaliza bila ya mkopo wa serikali Wala mchago wa wazazi wake au ndugu yyt wa uko ukweni.

5. Nmefanikiwa kumfungulia MKE wangu mradi wa kumuizingizia pesa akiwa pale pale nyumbani, kabla ya Hapa alikua mama wa nyumbani jobless.

6. Nmefanikiwa kumudu kumpangishia mamaJ na kumlipia Kodi (80 per month mwaka wa 2019-2020, 120 per month mwaka 2020 mpk Sasa) kwa Miaka 3 mfulurizo bila usumbufu wowote

7. Nmefanikiwa kumudu kumnunulia asset muhimu za ndani mamaJ uko nilikompangishia na mpk Sasa mwaka wa 3 ana vitu muhimu kuishi ndani ya nyumba.

8. Nmefanikiwa kumudu posho yake ya kila siku nyumban kwake, Ela ya bia na starehe nyingine ndogo ndogo na mamaJ kila wikendi au tunapopata wasaa.

Kiukweli,
Ndani ya Miaka 3 na mamaJ Sina chochote Cha kujutia Zaid ya mafaniko tele niliyoorodhesha hapo juu.

Long live my love,
Happy birthday to you mamaJ

KAMA KUNA MTU uliwahi kua nae kwny mahusiano ukafanikiwa, RUKSA KUTIRIRIKA......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu huyu mama J aliyekuletea waganga majuz juz
 
Yaani Kama katika watu wamekutana na kimavi ya hatari kutoka kwa michepuko, Basi Ni Mimi na huyu mwanamke ngoja tumuite h
Yaani nikimchakata Basi nakutana na mikosi ya hatari.
Katika mahusiano yangu na h Hakuna kitu tumefanya zaidi ya kuspend pesa tu. Kuna siku nimetoka Kula mbususu lodge yake asubuhi yake nikamuachia 50k nilikua na laki 6 ambazo nilitaka kuziweka bank nikazipoteza Apo ndo niliamini H Ana kimavi ya hatari
Sijammiss ata kidogo nilimpotezea kimya kimya mwisho nikamkacha
🙂
 
Back
Top Bottom