Poleni na changamoto za hapa na pale za hawa wake zetu au mademu zetu
Kiukweli demu wangu siku ya birthday yake alitarajia labda ningemfanyia suprise au ningempa mahela na zawadi kede kede ila...
Nina jirani yangu kaoa, yeye na mkewe hawana shida ila mama yake mshkaji akija tu kuwatembelea anaanza kumpa stori mke wa jamaa kuhusu ma x wa mshikaji.
Jamaa akipata safari tu mama mzazi akiwepo...
Makamanda nipo unguja muda huu,,,
Ushauri kwa vijana.
Kabla haujaoa jaribu kuzunguka kipande hiki utanishukuru though maflat screen ila wapenda sura nzuri kama mimi panatufaa
Najua mna pilika pilika zenu hata mimi nina za kwangu pambaneni tu
Moya kwa moya kwenye mada.
Ndugu zangu watukufu wanachama wa MMU nianze kuwaambia kuwa nyuzi na maoni yenu hutumika ku kuinspire...
Morning guys,
Lengo la kuandika hii nimepitia uzi mmoja jamaa anasema wanawake hata kazi wakifanya hela yao huioni, sasa maana ya 50/50 wanaidai vipi hawa wanawake?
Ili 50/50 iwe applicable...
Jamaa yetu tunayefanya naye kazi katupa stori tumecheka balaa.jamaa ni dereva alikuwa anasafiri semina Morogoro kwenda arusha na boss wake mwanamama coordinator wa UNESCO ,Sasa kumbe muda mrefu...
Ni miaka minne sasa imepita tangu nipotelewa na pete yangu ya ndoa, na wala siwezi kusema ilipoteaje maana hata sijui. ilikuwa weekend nipo na mwenzangu wa ndoa tunaenda site, mara tu tukiwa...
Habari wana jf.
Kiukweli changamoto ya maisha imekuwa kubwa kwa kila mtu ila ugumu wa maisha hautufanyi tuache kusaidia watu pale inapobidi.
Jitahidi ujijenge katika misingi ya kusaidia jamii...
KMtu mmoja alikwaruzana na mkewe kwa sababu alikuwa anahitajika akitoka ofisini kwake ampitie mkewe ofisini pia, kisha waondoke kwenda nyumbani, na hii ndiyo ratiba yao ya kila siku.
Sasa siku...
....Kwangu binafsi moyo wangu unakuwa na amani/ furaha sana pale ninapomsaidia mtu mpaka kufanikiwa kwake.
Karibuni tushirikishane ndugu, vitu/ kitu vinavyokupa amani/ furaha ya moyo......
Ni hivi palikuwa na mwanaume mmoja alikuwa anaishi na mke na watoto watatu wamekuza mpaka mmoja kaoa .
Huyo baba alipenda kuvaa nguo nzuri sana na alikuwa anajulikana Kwa kujipenda . Mno Sasa Kuna...
Nawasalimi kwa jina la Muumba..,hiki ni kisa cha Kweli kimetokea miezi kadhaa hapa kwetu mtaani..
Jamaa mmoja tumpe jina k,alitoka kijijini na mke wake na kuamua kuja mjini kwa ajili ya kufanya...
Tunakaa geto Moja lakini najua ananicheat.
Namuomba game lakini ananinyima lakini Hela zangu anataka kuzila. Nimeshapata habari zake kuwa ananicheat na Mbaya zaidi nilishakutana na CONDOM kwenye...
Nasikitika Sana yaani ninavyosikitika ni zaidi ya masikitiko ya bei ya maharage kuwa SAWA na nyama .
Wanaume Hawa wanawake ni pambo ndani ya nyumba. Akikosa kuwa mkali kwake na kumuadabisha...
a. HAUPO PEKEAKO
Haijalishi utakuwa unaamini hauna muonekano mzuri kwa sababu kila mtu anakutoa dosari bado haupo pekeako.Kila mtu unaemjua hajaridhika na muonekano wake.
Celebrity unaemuona yupo...
Je ile dhana ya ukipenda boga penda na ua lake. Je mke/mume ataweza kuishi na mtoto wake nyumbani kwenu ili hali mzazi mweziye aliyezaa naye yupo hai.
Je kama anaamua kumuacha mtoto kwa mzazi...
Habari za muda huu
Kuna demu moja hivi nilikutana nae tukafahamiana akawa mteja wangu,nikamtongoza akakubali .Ila kutoa mzigo akawa anaringa na kuzungusha nikamuuliza au unataka uniuzie...