2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 519
- 1,553
Habari wana jf.
Kiukweli changamoto ya maisha imekuwa kubwa kwa kila mtu ila ugumu wa maisha hautufanyi tuache kusaidia watu pale inapobidi.
Jitahidi ujijenge katika misingi ya kusaidia jamii yako.
Rafiki yako anapokwama jitahidi umsaidie pale inapobidi,usiache rafiki yako apate shida ilhali uwezo wa kumsaidia unao.
Saidia Ndugu na wazazi wako katika kipato hiko hiko kinachoonekana kigumu maana kuna baraka kubwa sana katika utoaji.
Saidia Mtu yoyote anayeitaji msaada pale inapobidi itakuja kukusaidia sana.
Saidia pasipo kutarajia kupata malipo ,ila kwa mipaka(kiasi)
Tuambie kisa gani ulikipata katika kusaidia mtu au ndugu?