Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukiwa na mwanamke asiyejiamini atataka umpigie na kumtext kila muda ili ajisikie kupendwa na aone unamjali. Mara nyingi wanawake ambao hawakupata upendo mzuri wakiwa wadogo hufanya hivo, kila muda...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwambie :- 1. Umepata kansa au kisukari au ukimwi.....ukiona anaanza kukukwepa vunja uchumba haraka sana. 2. Mwambie umepoteza kazi au biashara yako imekufa. Hata Kama anaijua biashara yako...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu Leo nina kisa ambacho huwa kinanisumbua mpaka huwa natamani ningepata nafasi ya kumueleza mke wangu mtarajiwa wa mambo niliyowahi kupitia hapo awali. Unajua bwana niliwahi kupata...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Rafiki yangu ana changamoto kidogo ya kazi. Ni muda. Nami nimekuwa kwenye changamoto hiyo kwa muda ila nikajiajiri na maisha yanaendelea. Kwa wale ambao tunajiajiri kuandika andika projects au...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Mambo vipi Watanzania bara wenzangu? Hebu tupeane mbinu, maana hapa Town sasa hivi wanawake unakuta keshazalishwa watoto 10 huko anakudanganya hana mtoto ili umuoe tu. Utamjuaje mwanamke ambaye...
12 Reactions
90 Replies
6K Views
Sijui ni Mungu ndo alivyowaumba yaani akiwa mrembo nywele nzuri,shape nzuri, figure matata lazima tu agongwe na wanaume zaidi ya watano tofauti tofauti kwa vipindi tofauti tofauti,ila akiwa na...
11 Reactions
42 Replies
3K Views
Kuna ile kwamba mwanamke akiolewa anajiona yeye ndo anapendwa zaidi kwakuwa kaolewa. Je, kuna ukweli katika hili? Hii mada haichagui jinsi, yoyote anaweza kuchangia.
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Anafunguka mama Ashura kwa kusema...... "Kwa miaka 10 sasa, mume wangu amekuwa akinidanganya. Ananipiga wakati wowote nikimuuliza kuhusu mchepuko wake, maana huwa analala kwa mchepuko kila...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
I am going to let you and everyone else reading into a secret that only those who have been married for 50+ years know. Sit down as it is a blinder. Love is a choice. Fidelity is a choice...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini ndugu jamaa na marafiki wa JF. Nasikitika sana kuandika thread hii japo Sina budi kuandika maana ukweli inabidi usemwe hata kama ni mchungu kiasi gani na Wadini wamesema pia mkiijua kweli...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Video
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua kwamba kuna karma na ubaya lazima utarudi ila siyo kesi. Huyu mke wa rafiki yangu ni wale wanaosemaga Shem darling, tumekua karibu kwa miaka sasa na ni marafiki na mama watoto. Maana...
5 Reactions
114 Replies
10K Views
Kama hukupata chanzo cha uzi huu fatilia Msaada wa haraka: Mkewangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utalatibu wa talaka tugawane mali Wakuu kwanza mimi sio mwana kiswahili mzuri kwaio...
13 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa ujumla… Wanaume huwa na tabia ya kuzungumza kwa kulenga katika pointi moja kwa moja. Wanawake huwa na tabia ya kuzungumza kwa maelezo marefu. Wanaume wengi wanalenga pointi papo kwa hapo...
1 Reactions
5 Replies
676 Views
Humu ukiongea umalaya watu wazima mnoo wanashadadia ila ukiwa unataka vitu vya maendeleo huaambiwi Leo umetolewa machimbo ya waganga makonki walipo ila mtu alipokuwa nauhitaji mliona ni ngumu...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
1. Msimamo Kuonyesha upo naye kwenye wakati wote iwe kwenye shida na raha, kwenye changamoto zake na zako. Kuacha ile tabia ya pale unapokuwa unahitaji kitu toka kwake unakuwa mpole ila...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nisiwachoshe na masalamu.....ilikua ni siku ya jumanne ambayo ilitakiwa tusafili kifamilia kwenda huko kukutana na wanafamilia wengine(ukoo). Basi hapa nyumba naishi na ant wa mke wangu huyu ni...
11 Reactions
39 Replies
5K Views
Wanawake ni viumbe wanaopenda kufanya udadisi hasa linapokuja suala la mahusiano. Hii ni kwasasabu wanawake hawaridhiki mpaka wapate kile wanachokitaka, kabla hawajakipata hicho kitu mawazo yao na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kiutafuti changu ktk mazingira yaliyo ni zunguka na story za kitaa. Nimegundua nyumba ndogo nyingi sana zinatamani maisha ya ndoa. Kuna mademu kama wanne nawajua. Kuna mmoja alikuwaga...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…