Mtu akifanikiwa inawauma?

Mtu akifanikiwa inawauma?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,840
Reaction score
25,367
Humu ukiongea umalaya watu wazima mnoo wanashadadia ila ukiwa unataka vitu vya maendeleo huaambiwi Leo umetolewa machimbo ya waganga makonki walipo ila mtu alipokuwa nauhitaji mliona ni ngumu kumuelekeza ila humu hawakai wanadamu wema humu ni wabaya tu.

Miroho yenu ni mieusi mnarohi za Kwa Nini hamna haya kabisaa . Sijui mtu akifanikiwa inawauma ??😰 Mnachosha mnapenda watu waonekane Malaya, maskini nakadhalika na unajua kabisa unaweza mtatulia mtu shida yake .

Mnakera ila kufika mtakako hata nyie mtangoja sana Kwa roho zenu .

Hata Mungu aliposema mpende jirani Yako kama nafsi Yako ila hamfai kabisa
 
Humu ukiongea umalaya watu wazima mnoo wanashadadia ila ukiwa unataka vitu vya maendeleo huaambiwi Leo umetolewa machimbo ya waganga makonki walipo ila mtu alipokuwa nauhitaji mliona ni ngumu kumuelekeza ila humu hawakai wanadamu wema humu ni wabaya tu.

Miroho yenu ni mieusi mnarohi za Kwa Nini hamna haya kabisaa . Sijui mtu akifanikiwa inawauma ??[emoji27] Mnachosha mnapenda watu waonekane Malaya, maskini nakadhalika na unajua kabisa unaweza mtatulia mtu shida yake .

Mnakera ila kufika mtakako hata nyie mtangoja sana Kwa roho zenu .

Hata Mungu aliposema mpende jirani Yako kama nafsi Yako ila hamfai kabisa
Namba yako mbona haipo WhatsApp ile [emoji1787]

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Unataka connection ya mganga ukafanye Nini Nani awajui wabongo mlivo mna roho za kimaskini Leo ukipewa connection ya mganga konki jirani Ako akipika nyama tu utaka ukamloge pambana na Hali yak
 
The war is about to start
..
Let me come and be going before air is polluted...abeg
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeifanya Jamii forums kuwa kijiwe chako cha soga,muda wowote unawaza kuandika tu..hivi utakua lini wewe?
Mnaroho mbaya mtu akitaka hata kununua kisehemu. Tu kumuelekeza akipate mnakaa kimya sio roho mbaya hiyo Leo nimetoa post ya kuelekezwa jinsi yakupata connection tu ya mtu wa morogoro anisaidie mkagoma nyie ndio hamkui
 
Unataka connection ya mganga ukafanye Nini Nani awajui wabongo mlivo mna roho za kimaskini Leo ukipewa connection ya mganga konki jirani Ako akipika nyama tu utaka ukamloge pambana na Hali yak
Unazani kila mtu anaangalia maisha ya jirani yake au kila mtu anaangalia shida aliyonayo nayo ajitoe kwenye hali hiyo unadhani wengine wamekuzwa kama wewe hutaki jirani Yako hata amke salama asubuhi sio siye tumefunzwa kurekebisha yetu nakupigania vyetu sio vya watu
 
Write your reply...Hivi Ni Nani huyo aliyekunyima msaada dadangu?
Kama una uhitaji wa kitu ama Jambo lolote njoo PM nitakusaidia
Hujaona post ya Leo niliyoitoa nahitaji msaada wakujua viwanja na heka za morogoro ni sh. Ngapi
 
Yaani mijitu Kama hii ipo humu sana halafu inasura mbaya kama Nini , unategemea kwamba wao ni msaada kumbe ni makitu makenge tu yaani mnaboa mnazani hizi MB. Ni baba Ako ananiwekea mnakeraga
 
Msaada wa haraka unapatikana jukwaa husika. Kama ulikuwa unaulizia mashamba ungeweka andiko lako kwenye jukwa la biashara na ungepata mrejesho wa uhakika kuliko kung'ang'ana na MMU.
 
Wapi hapo siungesoma post unielekeze
 
Back
Top Bottom