Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wazee hakuna binadamu amezaliwa na roho mbaya tunafundishana nimeamini. Leo ndoa haikaliki kisa tu msaada na huruma yangu iliniponza, kiukweli nilimla siku 1 ila sasa anaharibu nyumbani. Hela...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Aidha ulikua unamchukulia poa tu au kazi zimekulemea kiasi kwamba mahusiano yakaterereka. Kipindi chote iko mwanamke huvumilia lakini akishachoka kuvumilia basi. Mwanamke hupenda taratibu vilevile...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii hali imenitokea mara kadhaa nashindwa kuelewa kwanini? Ilikuwa 2018 nilimtongoza binti mmoja alikuwa jirani yangu, ukweli alikuwa muwazi akaniita akanambia kweli sina hisia na wewe na sipendi...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forums baina ya team mbili 1) KATAA NDOA 2)KUBALI NDOA Kwa upande kataa ndoa muwakilishi ROBERT HERIEL aliandika uzi huu "Hakuna umuhimu wa...
27 Reactions
363 Replies
17K Views
Wakuu, Kabla sijampata miss right one, kuna wanawake nimekuwa nao lakini kila tukivurugana walikuwa wana tendency ya kuniambia kuwa siko romantic, lakini nikijicheck me nilikua nawatimizia...
4 Reactions
107 Replies
19K Views
Hii ni kitu ambayo babu zetu na baba zetu walisumbuka sana kukipata na ili wakipate ili bidi wafanye mambo makubwa kwa baadhi ya makabila. Wengine hadi kuua simba. Lakini kizazi hiki kitu...
2 Reactions
6 Replies
631 Views
Amani iwe nanyi wana MMU. Long live JF. Ebwaana eeeeh twende kwenye mada sasa kumezuka tabia moja ya kimalaya na kiwaki sana sikuhizi sijui ni upande wangu au na wengine pia mtaleta shuhuda...
17 Reactions
167 Replies
6K Views
Habari wakuu. Tatizo gani kiufundi limetokea mbona penzi limekuwa linapatikana kwa urahisi sana tofauti na miaka hiyo. Principal zimekuwa chache sana leo hii yaani ukichukua namba tu Tayari...
2 Reactions
3 Replies
459 Views
Hi, Katika maisha unakuta kuna mtu anampenda mmoja kufa, yaani moyo wake hapo unadondokea na kutuama kabisa, hauendi tena kokote, hauoni njia nyingine, yaani ndo mwisho wa...
19 Reactions
291 Replies
10K Views
Je, wewe ni mwanamke mrembo na siyo msichana. Umri wako unaanzia Miaka 31+, unatokea familia ya wacha Mungu? Una elimu ya wastani? Unajishughulisha kujiingizia kipato? Upo tayari kuishi nje ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mlikuwa katika mahusiano na hamkuwahi kukubaliana kuzaa mtoto, bahati mbaya au mzuri mkatiana mimba mtoto akazaliwa, Je, huyo mama wa mtoto ana haki yoyote ya kumchukulia hatua baba wa mtoto...
4 Reactions
85 Replies
8K Views
Wasalamu wanajamvi Kadada kamoja ka mtaani kwetu,sikukashobokea tangu kamekuwa hapa mtaani. Kameolewa ndoa ya kanisani mkoa jirani miezi minne iliyopita,mume anafedha na anakapenda sana. Sasa...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanawake mchawi wenu Ni wanawake wenzenu Mnalalamika hamuolewi wakati wenzenu wanagawa Bei sawa na bure Kiufupi Maisha yamekuwa Magumu Sana kwa kila Mtu so watu wanatafta unafuu ulipo Mnabidi...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za mwezi mtukufu wa ramadani! Mimi ni mgeni humu jamii forums lakini nahisi nyinyi ni watu wenye upendo na ushauri mzuri basi naombeni ushauri wenu. Sijui nina kasoro gani maana kila...
15 Reactions
237 Replies
26K Views
Habari wakuu, Ni mwaka na ushee sasa toka niachane na huyu dada, Huyu dada tulianza mahusiano ya kawaida nikiwa bado sina uwezo wa kujitegemea hadi nikawa nao. Yeye alinitangulia kiumri na...
16 Reactions
71 Replies
5K Views
Nimejaribu kutafakari hili jambo ila nimeona nikilileta humu naweza kupata michango ya ziada yenye afya, Kwa maoni yangu nimeona ipo hivi, ningependa nisahishwe nilipokosea, kuongezewa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mapenzi ni yale ya kweli tuwe wa kweli umewahi kuwa mwaminifu kwenye penzi ulilopo au ndoa yako? Umewahi kukataa vishawishi Kisa unampenzi wako au mke? Sema tu ukweli.
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Jumatatu njema. Kama ilivyo ada na leo nawapa hints za kuuchapa Ulegeaji wa misuli unaosababishwa na nyeto. Ukipiga nyeto baada ya dk 20 au ukiweza chini ya hapo, kunywa maji kuanzia lita 1.5...
17 Reactions
97 Replies
6K Views
Jumanne njema, ni usiku mzito wa kuamkia Jumatano! Huruma ni nzuri na ni jambo la hekma kuhurumia. Imagine mtu anatoka na mkeo na unamuonya anakutusi na kukuvimbia kwa sababu ya pesa. Yaani...
12 Reactions
12 Replies
1K Views
Tulipokubali kuoana, mimi na Naomi wangu tuliandika malengo yetu ya uhusiano. Tulikubaliana kukua pamoja kitaaluma na kusaidia malengo ya kazi ya kila mmoja. Tulikubaliana kusaidiana katika...
3 Reactions
7 Replies
814 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…