Kitu rahisi kupatikana chini ya jua.

Kitu rahisi kupatikana chini ya jua.

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Hii ni kitu ambayo babu zetu na baba zetu walisumbuka sana kukipata na ili wakipate ili bidi wafanye mambo makubwa kwa baadhi ya makabila. Wengine hadi kuua simba.

Lakini kizazi hiki kitu kukipata imekua rahisi sana yaani ukitaka hata kufuga mbwa au paka utateseka sana kuwapata na kuwaandalia mazingira ya kuishi lkn sio mwanamke.


Yaani mwanamke amekuwa mrahisi mno kumpata hajilishi upoje yaani hata ukijipaka mavi mwili mzima ukitangaza unataka kuoa tu aisee watakuaja tu.

Ila kinacho nishangaza ni hawa wanaume wanao lilia wanawake si wamekuwaje yaani unalilia kitu ambacho ukifungua tu mlango wa nje wa nyumba yako unakiona.

Yaani utakuta mwanaume anateseka na kunyanyaswa na mwanamke eti. Yaani mtu ambaye wenzio wanamchezea hadi wengine wanamnyea na kumtemea mate eti ndio anakutesa bro utakua na matatizo mahali.


Yaani unapangiwa nini cha kufanya na wapi kwa kwenda na saa ngapi uwe ndani [emoji23][emoji23][emoji23]na mshahara wako uutumiaje na mtu ambaye hana thamani yoyote kwako yaani mtu alie kusubiri hadi uwe na hela ndio ajifanye anakupenda ukitoa hela na yeye anachanja mbuga [emoji23][emoji23][emoji23] bro amka.

Mwanaume ukisha kuwa na hela jukumu lako sio kukimbizana na wanawake. Jukumu lako ni kukaa chini ya mti wenye kimvuli kizuri na kuanza kula matunda ya jasho lako sio kusikiliza kelele za watu wenye matatizo ya nafsi zao kwa kuteswa na mizimu ya wanaume walio mlala.


Men wake up this people are more kwa markets na bado wanakuja wengi kwa lombesa wakiwa wamebebwa na tandam na matipa.

Jipigie kadri uwezavyo ila wasikutawale.
 
Oshey mr [emoji383]
Screenshot_20221114-232227.jpg
 
Back
Top Bottom