Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hawa wanawake suicidal ni wale warembo kukitokea ugomvi wowote tu anatishia kujiua. Binafsi nilipitia hii changamoto kwa muda mrefu na ilinitesa saana. Kimoja ni insecurities na kuwa suicidal...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama wewe binafsi umeona CHANGAMOTO ZA NDOA zinakwepwa kwa kutokuoa...basi BAKI HIVYO HIVYO NA UFUSKA WAKO USIOE... Sio kutwa kushinda kusambaza kampeni ya KISHETANI usioe...eti kisa ndoa ina...
8 Reactions
13 Replies
854 Views
Popote ulipo ikiwa uliweza au umeweza kuoa mwanamke ambaye ulimkuta na mtoto au watoto tayari, basi una roho ya nzuri sana na Mungu akubariki sana. Binafsi mwanamke nispomkuta na usichana wake tu...
10 Reactions
70 Replies
8K Views
Bwana yesu asifiwe! Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja. Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina Bachelor Degree ya...
30 Reactions
150 Replies
10K Views
baada ya mimi kutoa manung'uniko yangu kuhusiana na suala ambalo nililiona gumu sana la kutoa bikra kwa msichana mmoja mrembo aliyejawa na woga. mwishowe nilipata mtu ambaye alinipa ushauri namna...
7 Reactions
66 Replies
8K Views
Basi bwana, nimetaka kidogo tupozane hapa wakereketwa wenzangu, maana kuna nyakati zinapita kila mbinu unayofanya uzamie kwenye mahusiano zinafeli, Unahisi kama umetupiwa kibao cha mungu. Binafsi...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Wasalaam JF Ndoa nyingi za huko mahekaluni ni feki. Sababu hizi 1. Kama hujaoa bikra na mwanamke hajatubia hio dhambi 2. Alievunjwa bikra na asiye mumewe hafai kuolewa. 3. Kama mshazini na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mambo ambayo yanamfanya mtu aheshimike kipekee kabisa mahali popote ni uwezo wake wa kujizuia(Self-control). Kuzuia tamaa za mwili wake na kuchuja fikra zake kabla hajatamka kwa kinywa...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye anatambua nafasi yake vizuri, yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa, kama...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Hawa vijana wa Sasa hivi sijui shida huwa nini lakini unakutana vijana anakwambia anataka kuoa lakini still Hana kazi yeyote inayompa kipato , bado yupo nyumbani anategemea wazazi ivi ni wapi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa siku kadhaa hapa JF pametokea na wimbi la vijana wakija na mtazamo wa kwamba ndoa si muhimu na haina umuhimu hivyo hawaoni haja ya kuoa. Nimekuja hapa kuwaambia neno moja tu kwamba...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Wewe ni wakala wa shetani,mlitajwa hata kwenye maandiko matakatifu. Vijakazi wa yule mwovu katika kumrasishia kuvuna watu zaidi kupitia zinaa na uzinzi + uasherati. Zama hizi za mwisho. Wakati...
15 Reactions
102 Replies
4K Views
Bado tuko kwenye majonzi ya kumpoteza mwana JF mwenzetu aliyefariki Riverside kwa ajali ya pikipiki siku chache kabla ya ndoa yake. Matukio ya namna hii ni mengi na si haba kila mmoja wetu hapa...
43 Reactions
76 Replies
10K Views
Hello! Good morning everyone, my name is Dorcass, age 30 years, single, I don't have kids. I am looking for serious man later to be my husband. I need a person who loves himself and fear of God...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Heri ya X Mas na mwaka mpya. Kutokana na hali hii inayoendelea sasa huko Ukraine iliyosababishwa na Rais wa Urusi V Putin, hivi kwa nini Wamarekani na teknolojia yao yote wasimu assassinate Putin...
5 Reactions
96 Replies
6K Views
Ujumbe kwenye picha unahusika sana.... Wanaume mmekuwa mkilaani sana kuombwa mahitaji baada ya muda mfupi baada ya kumuelewa mwanamke wa kitanzania. Sasa wewe tumekutana leo leo halafu...
12 Reactions
121 Replies
5K Views
Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango. Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa...
14 Reactions
74 Replies
3K Views
Malaya, ni mwanamke, anafanya na nani huo umalaya? Mwanaume, sasa kwanini hatajwi? Usiache mwanamke mchawi aishi. Heeee, yaani wachawi ni wanawake tu, wachawi wananaume kwanini wanapewa haki ya...
9 Reactions
84 Replies
3K Views
Wanaume je kati ya Hawa mnapenda Kwa moyo nani. Mrefu mwembamba , Mrefu mweupe mwembamba Mweusi mrefu mwembamba Au saizi ya kati mweupe mwembamba Saizi ya kati mnene mwenye shepu mweupe Au...
8 Reactions
117 Replies
5K Views
Tunaomba mrejesho Kuna vijana humu tuliwatoa muhanga kuingia kwenye ndoa, hamjaleta mrejesho kama hali ni mbaya au inatisha. Ila kusema hali ni shwari huo ni uongo maana wengi mnazidi kupauka na...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…