Mlioko ndani ya ndoa vipi tuingie?

Mlioko ndani ya ndoa vipi tuingie?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,590
Reaction score
31,138
Tunaomba mrejesho Kuna vijana humu tuliwatoa muhanga kuingia kwenye ndoa, hamjaleta mrejesho kama hali ni mbaya au inatisha. Ila kusema hali ni shwari huo ni uongo maana wengi mnazidi kupauka na kunuka maziwa kama mama mjamzito anaenyonyesha Kwa wakati mmoja

Kwanza mimi mwanamke nikishaona tu uchi wake nakuuchezea huwa naona kinyaa kumrudia tena, sijui wengine mnawezaje mbona mm huwa nashindwa tena namlima tofali hata kwenye mobile hanipati. Kataa ndoa, yani siwezi kula chakula kimoja wakati wote lazima nionje kavu, mbichi, iliyobana na legelege ya ushuzi zote ni valuable kwangu ila sio single term all my life, hiyo never ahsee

Kataaa ndoa, ndoa ni shetani, ndoa ni ukatili Kwa wanaume, ndoa ni laana, ndoa ni kujitesa. Ishi maisha ya peke ako kula bata za kutosha ukipata million moja inakuwa yako sio tena mnagawana na watoto na mama watoto.
 
Kumbe kuna shirika mmeanzisha na hamsemi? Ofisi zenu zipo wapi?
Screenshot_20230210_153425_Twitter.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom