Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu, Nina shemeji yangu kaachwa na mume wake huko Arusha yeye ni mchaga wa kawawa rd na ni wa kike na mumewe anaitwa Iddy yaani hadi najuta kwanini sikusuluhisha hiyo ndoa japo nakiri...
17 Reactions
51 Replies
5K Views
Naandika hili hapa kwa moyo mkujufu, sina kinyongo na wala sijutii ila namhurumia sana. Mwaka 2015 ilikuwa ni first appoitment yangu as mwalimu, nilimkuta huyu binti akiwa kidato cha tatu, baada...
25 Reactions
74 Replies
5K Views
Ndugu habari Katika maisha tunapitia nyakati za furaha na huzuni, nyakati za furaha huwa hazidumu sana ila nyakati za huzuni zina dumu na kujiludia mara kwa mara, na wakati mwingine zina fanya...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Ukiwa ni msimu mwengine, episode ingine ya wapendanao ambayo itaadhimishwa kesho na tukiwa tumebakiza masaa tu ni vyema kukumbushana vijana kwa wazee kuwa karibu sana na wapendwa wetu ili...
1 Reactions
5 Replies
476 Views
Wanaume tumejaliwa vitu vingi unique kwa upande wetu ila hatuvioni. Sisi pia ni Cake. Wanaume wengi tunateseka sababu ya kujirahisisha kwa wanawake na kuwaona wao ni Cake kumbe ni ushenzi wa...
17 Reactions
76 Replies
4K Views
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰ ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Changamoto hii vipi? Majambazi yamevamia nyumba usiku, yakataka wenye nyumba watoe hela na vitu vyote vya thamani. Baada ya kukabidhiwa kila walichokitaka, wakampa mume wa nyumba bunduki...
1 Reactions
8 Replies
628 Views
Mke wangu alichukua simu yangu na kufuta namba ya mpenzi wangu Naomi kisha akahifadhi namba yake kama Naomi. Sikujua kuwa kuna mtu alimwambia mke wangu kuhusu Naomi. Nilipokea SMS kutoka kwa...
42 Reactions
134 Replies
7K Views
Siwezi kuficha furaha yangu kabisa ama hakika nimekomaa lakini daah hapana siwezi kuificha lazima niwachane na kuwaambia ukweli jamani nimepata watoto wawili mapacha mmoja ni wa kiume na mwingine...
4 Reactions
14 Replies
662 Views
Salamu kwenu wapwa, Nadhani hata wewe imewahi kutokea hii sometimes, kuna muda inatokea unaambiwa β€œI miss you” na mtu ambae kiuhalisia hata hujammiss; yawezekana akawa mpenzi, Ex, rafiki au...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Kuna tatizo sana la wanawake wazuri ujikuta wakiangukia sehemu wasizo zitaka kama ilivokuwa mwanzoni. Mwanamke mzuri anapojijua kuwa mzuri uweka vigezo vingi kama kupata mtu mwenye uzuri kama...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera. Nilikuja...
2 Reactions
7 Replies
759 Views
BINTI 1 Nikimwona napata wazimu, Siniwate nitenda kuzimu Nataka nimchonge sanamu, Dunia yote naifahamu Ilahi aniwekee wewe 2 Nilimuona huko awali, Yakanijaa mengi maswali Mrembo atakosa rijali...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Binafsi nakumbuka siku moja hivi tuko kijijini na mzee tumepanga kesho yake tukamtembelee babu, baba yake mdogo baba ambaye alikuwa anaishi kilometa kadhaa kutoka tulipo (KM 7). Wakati huo...
91 Reactions
270 Replies
29K Views
Katika maisha hakuna usawa baina ya mwanamke na mwanaume , na ijulikane wazi pia hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke.. Unapo taka kuoa na ukampata mwanamwali unaetarajia kumuoa jitahidi...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Natamani nikiwa mkubwa niwe moderator wa JF. nitafurahi. Nitawachakata sana wadada wa humu. Sana. Ukinikataa basi nakutafutia ban anytime. Nikiona tu umeangalia vibaya thread ya mtu nakupiga ban...
0 Reactions
10 Replies
780 Views
Hali ni mbaya sana, Naombeni mnisaidie kwa kweli, nimetoka zangu kwenye mizunguko nikajisemea leo ni weekend acha ni wahi home nikapumzike kwasababu wiki nzima nilikua nimechoka sana na majukumu...
6 Reactions
88 Replies
6K Views
Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi. Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake. Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa...
4 Reactions
24 Replies
993 Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume...
1 Reactions
5 Replies
667 Views
Ningependa kuwakaribisha members wote [wa kike kwa wa kiume] katika hili swali; SWALI Je, wanawake wana uwezo wa kiakili sawa na wanaume? Karibuni wadau wote kwa majibu yenu na maelezo yenu.
4 Reactions
151 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…