Mapenzi ya Dar es salaam yapo kama Demokrasia

Silivian

Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
90
Reaction score
218
Hii ni sauti kwa niaba ya wanaume wa mikoani, ukiachana na Dodoma na Arusha ambao nao ndio walewale tu..[emoji3]

Tumesikitika sana, na tutaliweka kwenye ajenda kuu, ya bunge la bajeti..

Sasa kuna haja gani ya kuwa na mahusiano wakati Mpenzi wako ni for the people, by the people to the people kama demokrasia[emoji3]

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Oshey mr 💰

dronedrake tumekubaliana tunatafuta pesa tusaidie masikini na yatima sio

#chaputa# for life mwangu 😂🤣
 
Dar hamna mapenzi kuna biashara ya papuchi mapenzi yamebaki huku mikoani, rejea utafiti uliofanywa siku za karibuni kwamba kwa kawaida mwanamke wa Dar anamiliki vidume kuanzia 12 ukiachana na wanaokula kimasihara na kusepa .
 
Mikoani nenda kanda ya ziwa utabadilisha hichi unachoongea[emoji1787]

Yaani huwezi ukatongoza ukakataliwa hata kama ana mtu wake
 
Back
Top Bottom