Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam wakuu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, Ipo hivi..![emoji116][emoji116][emoji116] 1. Nikimuona demu akiwa anaongea mdomoni kwake kukiwa na utengenzwaji wa ule ute ute mweupe ambao...
8 Reactions
279 Replies
22K Views
Wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unakaribia vijana wanavuta jiko na wengine wanaongeza mke wa pili,tatu mpaka wa nne kama dini inavyoruhusu. Kuna tukio limetokea juzi mama wa binti ni muislam...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Advantages of sex. SEX:- (a) removes stress (b) prolongs life (c) softens skin (aspecialy to women) (d) inhibits formation of wrinkles and furrows on facial skin (e) delays ageing. Sex is life...
1 Reactions
6 Replies
471 Views
Bhna ehee miaka kama mitano ishapita nilijikuta mm ni mteule wa kutumikia elimu ya juu Ikiwa ni mwaka wa kwanza...dooo,,mademu wa kali wapo aisee nilikutana na pisi moja kali sna skuli,ilipendelea...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Unaweza kumpongeza mpenzi wako, ndiyo ni wajibu wako kumpongeza. Mpongeze mpenzi wako kila siku kwa maneno matamu matamu zaidi iwezekanavyo lakini usitumie kamwe maneno ya ibada yaliyohifadhiwa...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31, mkazi wa Dar es Saalam, Mkristo, nnaejishughulisha. Elimu niliyonayo ni kubwa, urefu wangu ni 6'1 mrefu fulani hivi, maji ya kunde, sina mtoto wala sijawai kuoa...
4 Reactions
5 Replies
965 Views
Wana,JF Naomba ushauri wenu. Nilikuwa nimeoa na huyo mke nilikuwa nimezaa nae watoto wawili,nikapata nafasi ya kwenda kusoma hapahapa Tanzania,Mke wangu ni mwalimu wa shule ya Msingi,nilipokuwa...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu. Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu. Tatizo kubwa linaweza...
7 Reactions
159 Replies
5K Views
Wakuu pasipokujua niliazisha uhusiano na mke wa mtu tukiwa chuoni,mpaka kupelekea kumpa mimba ndipo nilijua kuwa ni mke wa mtu kwani aliamua kuniweka wazi, sasa jana nimekutana nae akiwa na mtoto...
1 Reactions
57 Replies
9K Views
Salaam waungwana! Nina kamchepuko kangu ambako tunapendana vizuri tu (kwa hali zetu, ananivumilia, namvumilia). Huu mchepuko ni mmoja kati ya wale wa kina dada wa kileo wanaoamini katika ufinyiaji...
21 Reactions
139 Replies
18K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 ... natafuta rafiki wa kike mwenye kujua umuhimu wa urafiki lakini lengo langu kubwa ni kuwa na mpnz wa kudumu nae milele .. katika safari yangu ya maisha sikuwah...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Ni siku chache zimepita baada ya kutoka Dubai matembezi ya kufurahisha macho kidogo. Huku nyumbani nimekutana na Binti mmoja wa kingoni ambaye nilimpenda tokea Moyo ulipomwona Kwa mara ya...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Hamjambo? Mimi nimeshuhudia mengi humu, hasa ya wanaume wanaolia wakati wa tendo na kulia wakisalitiwa kwa namna moja ama nyingine, binafsi tabia zangu kwenye mahusiano ni mbingu na ardhi na...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla vitunguu saumu Kulla...
3 Reactions
60 Replies
4K Views
Baada ya kufanya utafiti wa Maika 07. Nimebaini kuwa miongoni mwa mambo yanayorudisha vijana nyuma kimaendeleo ni mahusiano. Mahusiano ambayo hayana mbele wala nyuma ni tatizo kubwa sana kwa...
40 Reactions
156 Replies
7K Views
Asalaam aleykhum ndugu zangu wapendwa, Nina mtoto mdogo wa kiume ambaye tangu alipozaliwa uume ''mashine'' yake haijawahi onekana inasimama hata wakati akiwa anakojoa. Hali ile tulivyoigundua...
59 Reactions
735 Replies
108K Views
Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
18 Reactions
72 Replies
3K Views
Kuna huyu mchumba wangu tuna miaka kama nane kwenye uhusiano, kipindi chote nikiwa nasoma almost miaka 5 ya udaktari yaan sijawahi kuwa na pesa kabisa zaidi mimi ndio nilikuwa namtegemea yeye...
14 Reactions
75 Replies
4K Views
Yes ni muhimu sana kushirikiana kwenye tendo la ndoa ili kuongeza furaha,amani kwenye ndoa au mahusiano. Tuwe tunaongea kujua kila mtu apendacho kuanzia romance staili za na mbinu za na kila mtu...
7 Reactions
3 Replies
705 Views
Habarini Wana JF.. Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA. Sasa story iko hivi.. Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi...
10 Reactions
154 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…