4pm. Nikiwa nimetoka kuoga baada ya mchoko wa mizunguko ya hapa na pale. Wakati narejea kutoka mizungukoni nimepitia gengeni nikachukua zabibu za buku mbili. Nikiwa chumbani nimejifunga taulo...
Sio busara kumkabili mchepuko wa mume wako. Usithubutu kufanya hili kosa. Nasisitiza kwa ukali kabisa sio busara kumkabili mchepuko wa mumeo.
Nina sababu zangu mbili za kukushauri hivyo;
1...
Habari wana jf, natumai wote ni wazima, acha niende kwenye uzi moja kwa moja.
Jana niliongea na wife usiku akaniambia anahitaji kwenda hospital kupiga ultrasound sababu ni mjamzito. Kweli...
Bila kupoteza muda wadau naomba tupeane update hapa. Imagine unaishi na mwanamke kwa miaka mitatu na mnadinyana haswa. Kumbe mwenzio ni HIV+ anakuficha hakuambii. Mwisho wa siku unakuja kumshtukia...
Hivi inawezekana mwanaume kubakwa na mwanamke? Kwa njia gani?
Na mpaka mwanaume ana simamisha, si ina maana yeye ameridhia mwenyewe?
Hili swali limekuwa gumu sana kwangu naomba majibu yenu.
Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar...
__________________________________________
Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na...
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni...
Habari ya wakati huu watu wangu wa nguvu..ninatumia kila mmoja wetu yuko salama kabisa..Kwa mlio hospitali basi ninaachilia roho ya uponyaji mkapate kupona mapema(ukiamini utaokolewa)
Haya twende...
Habari wakuu, nahitaji la kuwa mpenzi, hivyo binti alie tayar anaweza Kuni pm tukayajenga.
Sifa zangu
Age 23
Elimu: bado nipo chuo
Rangi: black,
Dini: mkristo
Vigezo,
Age 20-25
Elimu, sio issue...
Bila kupepesa macho ningependa niende kwenye point yangu ya msingi.. mapenzi yataniua ndugu yenu.
Niliachana na mke wangu wa ndoa kwa hasira baada ya kugundua kuwa kwa muda mrefu amekuwa...
Kazi yangu inanikutanisha na wanawake wengi sana, umri umekwenda, mwaka jana nikasema nioe ila mpaka leo imeshindikana, nimekaa nikatafakari sababu kwa nini sijaoa ni sababu za kijinga.
1. Madam...
Mimi sio mgeni hapa JF,
Kuna wakati apo nyuma nilikuja kuomba ushauri juu ya binti ambae nilikuwa nimempenda Kwa mara ya kwanza kwenye maisha Yangu, binti ambae bila ya sababu yoyote aliniaacha...
Leo nimeamka na mood za kutosha kwakweli.....then nikapita kwenye app ya mdada mmoja maarufu aliyekuwa ameelezea namna ya kufanya kwenye mahusiano unapokuwa na mwanaume ili aone upendo wako na...
Habari zenu wakuu
Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu...
Hello ,
Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar...
Salaam.
October last year niliachwa na mwanaume niliyetokea kumpenda sana.
Alionyesha kunipenda na kuahidi ndoa ila mpaka anafikia kusema ITS OVER sikushangaa tokana na mapicha picha nlokua...
Kama unataka kuwa na mwanamke zingatia ratio ifuatayo;
1. Mwanamke nayependa outing hotels, pamba kali, lavish apartment, simu nzuri na Usafiri.
Rafiki yangu hapo lazima uwe highly paid, waleti...
Wana JF
Nina rafiki yangu ni mchanganyiko wa kihindi na mwafrka yupo Dar ameajiriwa na kampuni flan kubwa sana ameniomba nimsaidie kupata mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au kizungu au...
Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana...