Shida ya kuishi na mwanamke ndo huanzia hapa.
Shida ya kumpata mwanamke ndo huanzia hapa.
Hupelekea mtu kusema mwanamke haeleweki. Hupelekea kutoelewana. Sababu anakua hana jibu kamili kutoka...
Miaka fulani hivi nyuma mimi na jamaa zangu watatu tulijijengea akili ya kuogopa sana ngoma, yaani ilikua tukipiga story za mapenzi tunaongelea ngoma tu all the time hiyo ikafanya kila mwanamke...
Tangu nimuoe nilisha gundua kwamba mke wangu alikua na tabia ya uchoya hakutaka kusaidia majirani wake tukiwa na kitu cha ziada ndugu au marafiki wakija hawapikii chakula kizuri kwenye firiji kama...
Moja ya kitu ambacho wanaume wakifanyiwa watapata amani tukiondoa mapenzi ya kitandani ni kumuheshimu na kufuata kauli yake.
Nashangaa wanawake wa sasahivi Wana ujasiri wa kumwambia mume kuwa...
Salam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa!
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko...
Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka, mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala.
Dada...
Watu wengi sana huchunguza kigezo cha uchepukaji tu kwa mchumba wake kabla ya kuamua kufunga naye pingu za maisha.
Mimi Sexless kama kungwi mzoefu naomba niwaase ya kwamba kuchepuka hakuepukiki...
Mimi ni kijana mwenye miaka 28 Nina kil0 97. Sijivunii kuwa na kil0 nyingi hivi ila napamba kuzipunguza ila na0na kama zinazidi.
Kwenye Uandishi wangu Badala ya O naweka 0 hiv0 mnivumilie...
Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa.
Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya...
Kunakipindi tuliachana na mpenz wang hvyo nkawa mpweke yaan sina dem tena, akajitokeza dem mwingne ambaye tunapendana sijakaa sana ee bwana wee et dem mwingne kajitokeza ananipenda m@m@eee.
Hivi wazee wetu wanapo sema mapenzi ya leo sio kama ya zamani, najiuliza wanazungumzia zamani ipi?
Maana tukisikia music ya zamani pia na wao walikuwa wanaimba mapenzi ya leo sio kama ya zamani...
Habarini Wadau na wapenzi wangu
Leo mama mfundaji nimekuja na haya machache kuwasomesha WANAUME ambao ni Wavivu
hawajitumi kwa wenzi wao, Wengine hawawajali wala kuwatunza wake wao wanaona kama...
WARNING:Ukijiona una roho/mambo/tabia ya kike hata kwa asilimia moja, plz usioe. Twende sasa..
Hakuna kiumbe chenye akili kama mwanamke lakin amenyimwa nguvu na uvumilivu, kwa wanaume tuna 'upeo'...
Maumivu ya mwanamke anaposalitiwa yanaweza kuwa na athari kubwa sana kihisia. Hali hii inaweza kusababisha machungu na kuumiza moyo. Kila mwanamke anaweza kuhisi maumivu tofauti na kuonesha hisia...
Anaandika, Robert Heriel.
Baba.
Zamani Mwanamke hakuwa na Haki ya kupenda, hakuwa na Haki ya kuchagua mwanaume WA moyo wake, Mwanaume anayempenda. Mwanamke alikuwa kama kikaragosi tuu kisicho na...
Kuna mwanamke ambaye nilikuja kupewa baada ya kudai kuwa ana ujamzito wangu. Baada ya miezi kadhaa mimba ile iliaribika. Tukaendelea kuishi kama mume na mke.
Ila kwa kipindi ambacho tulikaa...
Hasa kwa wale vinganganizi kutwa nzima kufatilia kama mwanaume ana mtoto nje, ukiupata ukweli ujipange kisaikolojia!! ni heri ukae kimya umwache mme wako kama alivyo wewe kaa kimya tu maisha...
Kila mtu anamkatisha mwengine tamaa kwa namna moja au nyingine. Lakini ni juu yetu kupunguza hizo tabia, na kuruhusu wengine wawe bora zaidi. Unapoona mtu anajitahidi, usimshushe chini. Angalia...