Huwa mnafanyaje katika hali kama hii.
Uwezo wa kuhudumia mke na mtoto mmoja upo lakini ukisema usubiri ujichange hadi uwe na mahari inayotakiwa ni parefu. (1,000,000)
Je ni sahihi kuomba...
Wanawake mumemsikia Pastor?
=====
Mchungaji Anthony Lusekelo almaarufu Mzee wa Upako anasema ni ngumu kukuta mwanaume hana mchepuko na kueleza kuwa kati ya wanaume 100, basi 90 wanayo...
Kuna watu huwa wanapendwa na mapepo (roho chafu) hadi wanafikia hatua ya kuungana kimwili na roho hizo.
Hakuna kitu duniani chenye wivu mbaya zaidi ya mume au mke wa kiroho, ukifanya mapenzi...
Nakumbuka nikiwa mgeni ndani ya mji wa morogoro/mji kasoro bahari nilipata mchumba(mwanamke) mtaani nilipokuwa naishi, panaitwa Mafiga. Yule manzi alikuwa anakuja geto, sometimes analala lakini...
Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu.
Nakumbuka nilikuwa na demu...
Habari, naleta uzi kwenu kupata mawazo ya wengi baada ya rafiki yangu kuniomba ushauri.
Iko hivi, huyu jamaa alitongoza dada flan kipindi cha nyuma yule dada akamjibu kuwa ana mpenzi na...
Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu.
Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo...
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 30-40
2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea.
3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake.
4. Awe na hofu ya Mungu.
5.Awe Mkristo
Mimi...
Habari Mkuu!
Ilikuwa ndoto yangu kubwa kuwa mwekezaji mkubwa katika taifa langu. Ndoto hiyo ya muda mrefu sasa inaenda kutimia.
Miaka miwili iliyopita nilikuwa kwenye Project moja ambayo...
Ni kastori ya kabinti kamooja.....
Leo nimeamini..,. Ni ngumu saana kwa baadhi ya mabinti kuonesha hisia zao wazi kwa mwanaume wa Ndoto zake....
Nilikutana na huyu binti humu humu Jf...
Salaaam!
Nimekaa muda mrefu nikitafakari namna ya kufanya ila kabla sijachukua maamuzi yoyote ikiwa ni pamoja na kumuweka hadharani muhusika kwa ajili ya manufaa ya wengi naomba nielezee kidogo...
"Unapo oa au kuolewa unaapa upendo na kutarajia maisha ya furaha kwa wakati ule na ujao, ingawaje mambo yamekuwa tofauti kwa siku za hivi karibuni".
Anasema Rodney Simmons, mwandishi wa masuala ya...
Ushauri wadau, eti wanasema wadogo zangu wote wameoa mimi mbona sitaki?! Mpaka baba yangu naye anasema mwaka huu usiishe niwe nimeoa, vinginevyo ataona jogoo hapandi mtungi.
naombeni ushauri...
Hiko hivi kuna rafiki yangu mmoja amekuja kuomba ushauri.
Kampenda mwanamke wako kwenye mahusiano ya mda sasa, alipo fanya maamuzi ya kuoa wazazi wakamwambia "huyo binti kwao ni wachawi" kwamba...
Habari .
Wanawake wamekua na tabia ya kutulaumu sana sisi wanaume na wakati mwingine wanasema kuwa sisi ni mbwau,
Unakuta kijana wa watu yupo single anaangaza huku na huku kujitafutia mrembo wa...
Habarini wadau,
Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.
Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa...
Habari za humu.
Mi navichora tu, vikifika 35+ ndo vinaanza kutia tia huruma, maana vitakuwa vinatafuta mume bila mafanikio.
Kitoto unakitongoza hakitaki, kila ukikapigia simu, kanalalamika...