✅When a Lady Loves U, She Act Like A Lovely Sister. She Want The Best 4 U, She is Not Desperate for Your Money, Many Times She is Even Afraid 2 Bill U

JITU BANDIA

JF-Expert Member
Feb 5, 2023
2,680
6,026
Ni kastori ya kabinti kamooja.....

Leo nimeamini..,. Ni ngumu saana kwa baadhi ya mabinti kuonesha hisia zao wazi kwa mwanaume wa Ndoto zake....

Nilikutana na huyu binti humu humu Jf....

Tulijuana kidogo...kuna bidhaa alikuwa anauza (men's clothes)...

Mawasiliano yakatoka DM....to physical meeting kuonana(kibiashara)..kununua bidhaa ...nguo..

Baada ya kumaliza hayo... Akanipa mualiko....kaka yake alikuwa akifunga ndoa...baadae itafatiwa na tafrija fupi.....

hivyo kama itapendeza....nihudhurie..anahitaji company yangu tu.

Baada ya mishemishe zangu za mjini mitaa ya Samora....

Nikapitia dukani akanipe kadi.....

Kesho yake nilikua nasafiri hivyo sikujua kama naweza kuchelewa kurudi kabla ya harusi ama lah...

Hivyo nilikuwa na pesa nimeiandaa kwa ajili ya kumchangia kama rafiki mpya tulieunganishwa kupitia jf kwa ununuzi wa nguo tu....

Nilipofika tu nilikuta ameandaa nguo dizaini ya zile nilizochukua mwanzo na perfume..ya Creed Aventus....

Akaniambia hii ni zawadi yangu kwako....kwa kuniungisha siku ile...

Nilishukuru...nilikosa la kuongea...kuficha aibu nisionekane mnyonge....

Kwa kuwa nimetenga kumpa 50k kama mchango...

Nikamuomba Samahani kidogo nataka niingie short call kwenye baa jirani na maeneo hayo....

Anasema hakuna shida....

Nikapepesa macho huku na huku... Nikaona M-Pesa ya karibu..... nikatoa 50k Ili niongezee iwe 100k nimpe kama mchango.

Nikarudi dukani akawa ameshanifungia vile vitu... Nikatoa pesa ikatimia 100k ili nimpe kama mchango wangu...

Cha ajabu aliikataa kabisa mchango wangu....

Akasema " Noo! Mm Nahitaji company Yako tu kaka Jo....."

Tumejuana siku si nyingi na maandalizi yote yalishakamilika....

Dah nilijisikia mnyonge saana yeye kukataa kupokea mchango wangu..tukaagana kihivyo...

Nikamueleza kuhusu safari yangu nikamueleza sitachelewa kurudi......

Nimemaliza kilichonipeleka Moro....

....SASA ndio nimerudi nimemtaarifu...na harusi ni next week....

Amenitumia Sms hii...

" Kaka jo...pole na safari...ulikuwa umesafiri na moyo wangu ..naomba uje nikuone tu hata mara Moja kakaangu"!!!!

Nilishaumizwa, Sitaki kuumiza....Coz natambua maumivu...

hasa maumivu ya kuonyesha hisia zako kwa mtu umpendaye .. ....na yeye asithamini hisia zako...Sitaki nimuumize hisia zake.....
 
8cb9304c-25b7-4a53-afb3-4bfc3ae29add.jpg
 
Aisee
 
Back
Top Bottom