Natafuta rafiki wa kike wa kuchat na kubadilishana mawazo, kushare ideas etc...
Umri wangu ni miaka 27 na elimu yangu ni shahada ya kwanza...
kama upo tayari ni Pm...
sio lazima kuchangia hapa...
Mm ni kijana wa kiume wa miaka 27 ni mfanya biashara katika mikoa ya dodoma na morogoro. Nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta mwanamke ambaye mwisho wa siku nifungenae pingu za maisha. Umri usiozidi...
Kiukweli nina miaka thelathini na wiki kadhaa,sijawah kuingia kwenye mahusiano hata siku moja, NI KWELI! Mimi nililazimika kuwa katika hali hii sababu ya mazingira, ukinielewa nitashukuru...
halo. natafuta demu awe anaishi mwanza... umri over 30 mnene au mwembamba safi.
nayeye awe anijiweza. sio kwa ajili ya kunitunza bali nimechoka na under 30 wananyonya hela hao kama anopheles...
My name is Sarah living in Nairobi.
I am 26 years and as a person I like to think of myself as confident but not overly. I'm a very good girl. I understand that there's a time to love and I also...
Natafuta mwanaume atakayekuwa mume baadae endapo tutaelewana na kupitia hatua zinazohusika. mume anapatikana popote na Mungu akiamua apatikane JF hakuna wa kupinga. hivyo linawezekana pia.
About...
Nyinyi akina dada mnaotaka wanaume au kuolewa ni maana kwamba hamna wanume huko muliko au vp maana nashindwa kujua naomba majibu kama unaushauri zaid nitafute waplo.honnail.com
I am Michael Odero,twenty two years old.Am a luo tribe ,Tanzanian,currently staying at Lamadi.I am ateacher by proffesion and working in a private school.Am looking for a girl who is between...
Mimi ni kijana wa kitanzania nina umri sawa na wote.Nimzaliwa wa Kilimanjaro natafuta marafiki tofauti tofauti wa kuchati nao.nitafute kwa namba:0763775496.kwa mawasliano zaidi karibuni tu jumuike.
nafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu siku za usoni mwenye umri kuanzia 22 mpaka 40 sichagui kabila wala rangi umri wangu ni miaka 30 lakini sina kazi wala kipato elimu yangu ni secondary
Natafuta mke wa ndoa mwenye tabia nzuri mcheshi na mwaminifu asiyekuwa na majivuno wala kuweka pesa mbele matumizi ya kawaida ntafute kwa 0765979932 au ntumie ujumbe
Kwa mara nyingne najitokeza hapa.... Natafuta rafiki wa kike... Umri wangu ni 27yrs.... Elimu yangu ni ya chuo kikuu... Rangi yangu ni maji ya kunde... I am tall 182cm high, sio mwembamba wala sio...
Habari wana JF!
Mimi ni binti wa miaka 29, makazi yangu ni Geita, kabila langu ni Mkerewe, dini yangu ni Mkristo, nina elimu ya chuo kikuu, ni muajiriwa wa kampuni moja hapa Geita. Kwa muonekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.