Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
May the Lord connect you to a right woman,.A woman who will not waste your money, time or energy,.A woman who will influence you positively,.A woman who will love and respect you even when your...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Natafuta Mke wa kuoa. Mimi sichagui umri wala umbo wala sura. Natafuta mke wa kuoa. Ukitaka kujua Wasifu wangu ni PM ntakutumia hadi picha. Nipo serious sana kwa hili. Naimani mke wangu wa kufa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari za usiku huu wewe unayesoma hapa, kama huna usingizi nipm tuchat
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Maisha haya! Ila upweke mbaya saaana! Ila kuna siku moja utaisha tu! Na hiyo siku imekaribia!
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!! Natafuta aliye tayari kunipa company yani kunishika...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke ambaye ni HIV+ ili tuweze kuishi pamoja kwa muda ambao Mungu atatujalia. Sifa zake: Awe ameajiriwa au kujiajiri, mweupe/maji ya kunde, mrefu...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Mimi huyu hapa
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jina na picha ndo hivo vinadisplay kwa my profile ... Ni mvulana Umri wangu miaka 25 Elimu yangu ni ya wastani, Najishughulisha na ufundi wa sofa, Naish dar Ni mkristo.. Mwenye kuvutiwa nami na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Helo,naitwa Colins nipo dar, umri 28 nipo ktk mahusiano. Nimehitimu chuo (ifm 2011) na kwa sasa ninafanya kazi. Napenda kuogelea(sana) kwenda beach,kusafiri,kutembea,kusaidia na kuona watu wakiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi sijambo kabisa na natumai hata wewe unayesoma haujambo. Najua unajishangaa kusoma bandiko kama hili maana halina kitu chochote cha msingi isipokuwa kukupotezea muda tu. Kwakuwa sitaki uzidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwema?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Assalam aleikum,, mimi ni mtu mzima nina umri wa miaka 45 , ninawatoto wakubwa tulozaa na marehemu mkee wangu, nahitaji mke wenye umri wa 35 mpaka 40 hata kama ana mtoto, kigezo ni dini tu mimi ni...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwanza kabisa binafsi nashindwa kuelewa, mwanzo nilipenda sana kuwa na uhusiano na mwanamke mwenye umbo dogo.ilitokea hata kutumia muda mwingi sana kumtafuta binti mmoja mwenye sifa ambazo mimi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Umri wangu ni miaka 35,ninajua kupenda na kuthamini mapenzi,ni mrefu futi 6,ni mhanga wa mapenzi baada ya kusalitiwa.Ni mstaarabu sana,mpole na mchangamfu,na nina watoto 2,ni muelewa.Kwa sasa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
sifa zangu: mrefu, mweupe, mkatoliki, miaka 28, mwajiriwa. sifa zake: mrefu kiasi, mkatoliki, miaka 18 mpaka 23, msukuma/mchagga na mweupe
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Habari wadau wote jukwani: Hivi Madada zetu wanapenda nn haswa! Unapomtongoza ukiwa huna kitu tegemea mambo mawili: Akukatae kigezo sio type yake ama akikukubali jua nilizima utashare na mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
girls, picha hapo juu yajieleza! ningependa kupata mdada mrembo from jf, awe mrefu, mnene kiasi, mpenda mazoezi na asiwe na kitumbo cha chipsi! niko tayari kuanza mahusiano ya kimapenzi na yeye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni kijana handsome niko Dar ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi nahitaji mpenzi wa kike ambaye anaye taka mapenzi matamu ya kweli na mwenye mapenzi ya kweli mwenye umri kuanzia miaka 18-32...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
jdjfhhsnvhbdfkljb jggijgugjerg guferfugj9ugrigjirug ghgigur9gorgru ugerugu9rugrg urigjggkojf ugrugrigjorhjifjgir
0 Reactions
0 Replies
12K Views
Back
Top Bottom