Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
natafuta mwanamke wa kuoa kwa ndoa nikipendana nae nikiamini kuwa Mungu atanisaidia. Sifa zake: awe mweupe, miaka 18 hadi 23, mwenye elimu kuanzia O-level, au aliyeajiriwa, mkatoliki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuelekea kwa show kubwa inayokuja ya p-squre, ninatoa kama zawad, kama wewe ni a lady na unapenda kujirusha na burudan na ku-have fun , na mostly hauko kwenye serious relationship ama single, siku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta mwanamke wa kuoa kwa ndoa nikipendana nae nikiamini kuwa Mungu atanisaidia. Sifa zake: awe mweupe, miaka 18 hadi 23, mwenye elimu kuanzia O-level, au aliyeajiriwa, mkatoliki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf! Mimi ni mwanaume rijali na nina miaka 26: ninatafuta rafiki wa kike mwenye umri wa kuanzia miaka 20-35! Awe mwenye uwezo wa kuchat love-sms kwa muda wowote unaotakiwa, pia...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
nina umri wa 25yrs ila natafuta mpenzi wa kike umri kuanzia 30 na kuendelea coz hawa huwa na mapenzi ya dhati siyo visister duu vyetu am tired of them. Aliye tayari anicheki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafta girfriend badaye aje kuwa mke wangu,sifa... Awe, Umri; 19-27, Umbo; mwembamba/ mweupe asili, Eimu; yoyote, Dini; yoyote,ampende MUNGU, SIFA ZANGU, Jinsi; male, umri;31, rangi; maji ya...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile...
14 Reactions
102 Replies
15K Views
just a friend, wakubadilishana mawazo hasa yakimaisha na changamoto tulizo nazo vijana, Jinsia yeyote Umri wowote. 0757157725 sms, calls na whatsApp. juma.magombe@yahoo.com Email...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Jamani akinadada wa jf hamjambo? how good itz to share diffent ideaz? girlz ov all agez let us talk to exchange viewz!29
0 Reactions
3 Replies
890 Views
habari wadau, mimi ni msichana mwenye sura mbaya kadiri ya maoni ya wengi, umbo baya, lakini roho ya ukatili sina na ni mcheshi, kugombana na mtu sijui. nataka rafiki wa kiume awe na umri miaka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sorry message deleted
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Swl kwnu wdau wa LC.Hivi inkuwje wpenzi wanaishi kw 'tension' then waktosana tu unakuta kila mtu anmwingine immedeately?
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Natafuta rafiki wa kiume mwenye umri kuanzia miaka 36, hadi 45, mwanamume aliye mseja atafaa zaidi au mjane, awe msomi mwenye kazi yoyote yenye kipato cha halali, awe anaishi dar, mie ni mkazi wa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
mimi ni kijana natamani sana niwe na mpenzi lakini kila ninae mpata anaishia kunichuna nikiwaomba mambo wananipa sababu zisizo na msingi mfano mmoja nilimpata tukaingia mpaka gest jamaa akadai...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari wadau, naomba kuuliza, hivi wote mmeishapata wachumba (wenzi)? kama bado mnasubiri nini?
0 Reactions
7 Replies
925 Views
Mambo zenu Wadau mlio jukwaani Nahitaji Marafiki tunaoweza kuchat,kufahamina,nakubadilishana mawazo mbali mbali ya michakato ya maisha ikiwezekana hata kupeana namba za mawasiliano. Alie tayari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta garlfriend naejiheshim sifa zake km ifuatavyo 1, hawe anajiheshim sana 2, hawe mpole asiwe mwingi wa mambo. 3, hawe mwelewa 4, hawe na heshima kwa watu 5, hawe na akili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta girl wa kuchat nae na kuwa marafiki 0786237866
0 Reactions
1 Replies
761 Views
cna mengi zaidi ila we kama uko poa niambie kupitia aleinerick@gmail.com umri wangu miaka 30 yeyote mwenye mapenzi ya kweli.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naitwa Rajj nipo nipo Chuga, nina umri wa miaka 25. Natafuta binti wa kiarabu umri kati ya miaka 18-24 kwa ajili mya kumuandaa kuwa mke wangu. Nitumie meseji no 0766341701 au email...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom