Alipokuwa akihojiwa jana tarehe 30/6 na waandishi wa habari, Rais Ruto alisema japo amekubali kuondoa na kutokusaini Finance bill hiyo lakini anasikitika sana kwani bill hiyo ilikuwa na manufaa...
Wanajamvi, bado natafakari hotuba ya Ruto ambaye ameitoa hivi punde. Ninatizama live hivyo nitaweka hapa text ya hotuba.
Hatahivyo ni hotuba ya hovyo sana na anaonekana ku panic. Ameongea kama...
Waandamanaji Kenya wamechoma mahakama ya ya Rufaa.
Yaani wameamua kushambulia mihimili yote kuanzia Serikali, Bunge na sasa mahakama
Inatisha.
Pia soma===> News Alert: - Rais Ruto (kuhusu...
Habari za usiku huu kama kichwa Cha habari kinavyosema Kwa mnaofuatilia hotuba ya William ruto raisi wa Kenya yaani kiufupi ametonesha vidonda vya gen z anaulizwa maswali mengine anajibu kingine...
Wabunge kutoka Mashariki ya Kenya kwenye Wasomali wengi wamemtaka Naibu Rais Gachagua ajiuzulu
Wabunge hao wamesema Gachagua hakupaswa kumshutumu hadharani Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa taifa...
Siyo rahisi kuyafikia malengo na mahitaji yenu ya msingi mengi na yote kwa pamoja. Inahitaji muda na nafasi.
Inafahamika na Imebainika Africa na duniani nzima, mnatamani mahitaji yenu yote ya...
Mbunge wa Zamani wa Nandi Hills Alfred Keter atekwa mbele ya familia yake. Leo asubuhi.
https://m.youtube.com/watch?v=Dwj-ZXjRQY8&pp=ygUdYWxmcmVkIGtldGVyIGFiZHVjdGlvbiBsYXRlc3Q%3D
Zakayo hivi...
The number of Kenyan youths killed by police during the anti-finance bill protests continues to rise, as families of missing loved ones find their bodies in morgues.
In Mombasa County, one family...
Wabunge kadhaa waliopigia kura ya Ndio Finance Bill wamerudi Majimboni na kutubu Kwa wapiga kura Wao
Wengi Wao wamedai Shetani aliwapitia wakajikuta wamefanya Uamuzi usio sahihi
Source: Citizen...
Kama kichwa cha habari kinavyosema jumba la kifahari la mbunge aliyekubali ule muswada wa kuwafanya wakenya kuwa watumwa katika ardhi yao, limeunguzwa, mifugo, magari ya gharama yote vimechomwa...
Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing...
1. Huko Kwa jirani pamoja na finance bill kupingwa Kwa maandamano kila kona Wabunge wameipitisha Kwa kishindo.
2. Muswada (finance bill 2024) unapelekwa kwenye Kamati, kisha uende Kwa Mhe. Dr...
Rais William Ruto Jumanne usiku alielezea uvunjaji wa bunge kama kitendo cha uhaini, na akaahidi kuchukua hatua kali dhidi ya waandaaji na wafadhili wa maandamano, ambayo yalikuwa yameingia siku...
Kuna matukio mengi sana yanayohusu maandamano wanayofanya wananchi wa Kenya kwa ajili ya ugumu wa maisha unaotegemewa kuletwa na ongezeko la kodi katika bidhaa kadhaa nchini humo.
Ila sasa, tukio...
Sasa wale Vijana wa Gen Z wamemwandikia mh Rais Ruto Waraka mrefu sana kuhusu Matatizo yanayoiikabili Nchi yao kwa sasa
Mwisho wa Waraka huo Gen Z wamesema Ruto hana Uwezo wala Uhalali wa...
Hii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia
Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill
Aidha Ofisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.