Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia barua ya kumtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa maelezo kamili ya kuzuiliwa kwake na sababu za kuorodheshwa kwake kama mtu...
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho...
Hili ni bandiko la WITO
Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika...
Well, I thought it was just here on Jamii Forums where we throw banters at each other but I noticed you guys use this statement too much.
Here in Kenya 'una roho mbaya' is one of those very deep...
Well, I thought it was just here on Jamii Forums where we throw banters at each other but I noticed you guys use this statement too much.
Here in Kenya 'una roho mbaya' is one of those very deep...
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kufanyika kwa mkutano na viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kuhusiana na mgogoro katika eneo la Mashariki mwa DRC, ambao utafanyika...
Afrika bhana matatizo yake yanafanana sana hawa shilika la umeme la Kenya michongo yao kama TANESCO tu.
Wapelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamemkamata mfanyakazi wa...
Sasa Wapemba waishio Kenya wametambuliwa kama kabila rasmi nchini humo
Kiongozi wa Wapemba Pwani ya Kenya amesema wamekuwepo Kenya kwa miaka Mingi na waliamua kufanya sensa na kuomba kusajiliwa...
Swali: Hivi Kenya Wanaweza Kuteleza Mradi gani Kwa mafanikio?
-LAPSSET ❌
-Nairobi-Mombasa Expressway ❌
-Nairobi BRT ❌
-Nairobi-Mau Forest Expressway ❌
My Take
Tanzania ni tajiri sana aisee...
Wakuu,
Jaji Mkuu Martha Koome ameituhumu serikali, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kuondoa walinzi wake, hatua ambayo ameielezea kama shambulio dhidi ya Mahakama na ofisi ya Jaji Mkuu...
Polisi nchini Kenya wamemkamata John Kiama Wambua, mwanaume mwenye umri wa miaka 29, aliyekutwa akiwa amebeba mwili wa mke wake aliyekatwa vipande kwenye mkoba wa nyuma. Mke wake, Joy Fridah...
Mwanamke mmoja nchini Kenya Grace Njoki Mulei, mwenye umri wa miaka 61, ameripotiwa kutekwa nyara Alhamisi mchana akiwa katika Hospitali ya Ladnan, Eastleigh, alipokuwa akiendelea na mchakato wa...
Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama.
Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani...
https://www.youtube.com/watch?v=J8egAFLzxsA
Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto...
Wakazi wenye hasira walivamia chumba cha kuhifadhi maiti na kuchukua mwili wa mwanaharakati Richard Otieno, aliyeuawa Jumamosi usiku, kabla ya kuvamia Kituo cha Polisi cha Elburgon. Otieno...
Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR).
Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa...
KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia...
Familia moja katika eneo la Saika, Nairobi, iko katika majonzi kufuatia mauaji ya kikatili ya mtoto wao, Conrad Nyabuto, mikononi mwa mpenzi wake aliyeachana naye mwezi uliopita.
Zaidi ya maumivu...