Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Siwaelewi NASA na kiongozi wao jamani,walipettion ushindi wa Rais na supreme court ikawasikiliza nakushinda,baadaye wakapinga tarehe 17october yamarudio iliyopangwa awali na IEBC,tarehe...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Kenya itaanza kuvuna figo za watu waliokufa na kuzipandikiza kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na matatizo ya figo kwa makubaliano ya wanafamilia wa marehemu Mwenyekiti wa kamati ya kisanyansi ya Chama...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni kauli ambayo Makamu Rais wa Kenya Mheshimiwa William Rutto aliyoitoa muda si mrefu ambayo imeonekana kuwakera Wakenya wengi huku wengine sasa wakisikika kwamba wako tayari kwa Vita muda wowote...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Matumaini ya kufanyika uchaguzi wa marudio kwa kura ya urais Oktoba 26 yamefifia baada ya jana wawakilishi wa vyama vya Jubilee na muungano wa Nasa kushindwa kukubaliana kuhusu masuala muhimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kenya Airways stop flights to Hong Kong, Hanoi Thursday September 28 2017 KQ is reeling from poaching of staff, mainly pilots and engineers, by the Gulf carriers who dangle huge pay...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
KENYA: Watoto wanne wamefariki dunia baada ya Lori kuacha njia kisha kugonga nyumba waliyokuwemo. Mtoto mmoja alazwa kwa matibabu. Majruhi huyo amelazwa katika Hospitali ya Akidiva,Lori hilo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Alikwenda kule Tanzania kuhudhuria kongomano la majaji na pindi alipoingia eneo husika, wote waliokuwemo wakamshangilia na kumpa pongezi nyingi kwa uthubutu wake Kenya. Chief Justice David...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Today, we are launching our Ksh 20 bn iconic mixed-use development in Kilimani, #CytonnTowers , a fusion of creativity & innovation. The development is expected to be Nairobi’s premier Business...
2 Reactions
68 Replies
14K Views
Aisei urais ni uvumilivu, yaani binafsi hata nikibembelezwa siwezi kuthubutu kuusaka maana nitaishia kuua raia wangu. Mtu unitukane 'mtoto wa mbwa' halafu uendelee kupumua wakati nina mamlaka ya...
2 Reactions
70 Replies
8K Views
Askari Polisi Stephen Mungai Kinuthia wa jimbo la Nakuru nchini Kenya, amemuuwa mkewe kwa kumpiga risasi kichwani na kisha kujiua mwenyewe mbele ya mtoto wao ambaye alishuhudia tukio zima...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Raila kiongozi wa chama cha upinzani NASA amedai serikali ya Kenya imewapiga marufuku yeye na mgombea mwenzake Kalonzo Kusafiri Kwenda nje ya Kenya. Ulinzi wa viongozi hao uliondolewa wiki iliyopita.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Public Works Principal Secretary Mariam El Maawy is dead. Ms El Maawy died in South Africa, where she was undergoing treatment following an Al-Shabaab attack on July 13. NEPHEW Statehouse...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku tatu au nne zilizopita niliandika juu ya hulka isiyosawa ya Rais Kenyatta hasa baada ya kutenguliwa kwa uchaguzi wa wiki iliyopita. Kenyatta si Mwanademokrasia ila Katiba ya Kenya ni ya...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
September 2017 Nairobi, Kenya David Opati Etale azungumzia uanajeshi wake Uingereza : Dira ya wiki Mchezaji mpira wa kandanda nchini Kenya kwa jina David Opati Etale baada ya kuona mpira wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uhuru naona ana sera kumzidi odinga na odinga anajiona msomi kumzidi uhuru. Ila kwa mimi siwezi mchagua odinga na muona msaliti na hafai uraisi labda uwaziri mkuu unamfaa maana ni mtu...
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi ya Kenya, Maria El Maawy aliyeshambuliwa na Al-Shabaab amefariki dunia Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu. ===== Public Works Principal Secretary Mariam El...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchi ya Kenya ambayo ni majirani zetu wako katika vuta nikuvute ya uchaguzi baada ya uchaguzi wao kuingia dosari na kufutiliwa mbali na mahakama kuna maandamano yanayo endelea sehemu mbali mbali...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ingawaje wengi hawaelewi lkn kama siyo uwepo wa D.Trump kama Raisi wa USA leo hii Kenya kungekuwa na fujo kama 2007, kinachomzuia Raila Odinga kulianzisha ni Support ya international Community...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Jubelee ni kweli Kila Kiashiri Kinaonyesha Waliingiza Fomula kwenye Server za IEBC ili kushinda uchaguzi wa Nane nane, Uliofutwa. Ila pia ni ukweli walifanya ujinga kwa kuongozwa na hofu kwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
PLO LUMUMBA RESIGNS AS KENYA SCHOOL OF LAW DIRECTOR PLO Lumumba has resigned from his position as Director of the Kenya School of Law (KSL) to pursue other interests. The renowned lawyer...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom