Kenya-based coal and commodities trader Riftcot has signed a distribution agreement with Edenville Energy, a coal producer based in southwest Tanzania.
Under the agreement Riftcot will purchase...
Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Roselyn Akombe ajiuzulu, asema tume imegawanyika na inafanya kazi bila kuzingatia utaratibu
Dr. Akombe alituma taarifa kutoka New York alipokuwa akifanya kazi Umoja...
Nairobi’s proposed smart traffic control system will go live in just over two years, officials said of the plan that seeks to ease congestion on key city roads at an estimated cost of Sh1.88...
Rose Akombe ambaye alikuwa mmoja wa watumishi wa tume ya uchaguzi Kenya amejiuzulu rasmi na amekimbilia Marekani na kudai kunauwezekano uchaguzi wa marudio kutofanyika Kenya tarehe 26th October...
Daily Nation
IN SUMMARY
Police ransacked a villa in Malindi and confiscated five AK-47 rifles and 93 rounds of ammunition.
The raid came on a day Nasa leaders announced that they would start a...
Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.
Ukiachilia mbali...
Rais ameamua kutosaza chochote au maeneo yoyote, anakatiza nchi yote akifanya kampeni iwe kwa mvua au jua kali ilmradi ameeleza sera zake. Japo nawahurumia walinzi wake maana duh...
President...
Wale walionengua na kuishinikiza TZ iige mfano mzuri wa "Baba wa Demokrasia" wa Afrika kutoka nchi jirani waje hapa wajieleze.
Nyie mlipaswa kuhudhuria kongamano la #MezaYaWazalendo lililofanywa...
Mahakama Kuu leo imeondoa kwa muda zuio la serikali kwa wafuasi wa NASA kufanya maandamano kwenye miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu mpaka kesi iliyofunguliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NASA Norman...
Mlienda kucopy almost kila kitu kwenye katiba ya South Africa (Bila kuangalia mazingira ya nchini kwenu) mpaka titles za viongoz (eg. Deputy President etc.)
2. Msururu wa viongozi (kaunti 47 na...
Coffee farmers are set to benefit from Sh103 billion ($1 billion) partnership deal between Dutch Rabobank and Unep aimed at raising production, processing, volumes and quality of produce.
The...
A supporter of the National Super Alliance carries a banner depicting Opposition leader Raila Odinga during a protest along a street in Nairobi.
NASA chief Raila Odinga has warned IEBC...
Vyombo vya habari vya Kenya viko vizuri Sana, taarifa zao zinavutia, hawaogopi na hawana hofu kuandika habari yoyote, mareporter wao wamechangamka na wanaripoti Kwa ujasiri, wanavaa vizuri na Hata...
Siasa za kiafrika ni za kipekee sana. Hazifanani na siasa za mabara mengine. Zimejaa mambo mengi ya chini kwa chini.
Raila Amolo Odinga anahamasisha maandamano miongoni mwa wafuasi wake halafu...
Raila Odinga ajiondoa kugombea urais wa Kenya, kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 26, 2017
Miongoni mwa sababu kubwa za kujitoa ni;
Wamehisi kuwa IEBC haina nia ya kuhakikisha yale...
Muuungano wa Upinzani (NASA) umeahirisha maandamano yao leo kuwafariji ndugu wa waliouawa wakati wa maandamano
Kwenye taarifa waliyoitoa Jumatatu. msemaji wa Raila Odinga amesema maandamano...
Aisee Don Coleon movie hii hapa...Can a Kenyan explain who this dude is? What is role his in Nasa? Never heard of him...Why would his homes be raided?.Seems he is a Nasa financier? Njoo mutuelezee...
Kenya: Police killed, beat post-election protesters
Kama ni kweli hii report ya Amnesty International km inavyosema. Basi ni wazi kuwa kwa jirani hakuko vyema.
Najiuliza kuwa Bunge letu la...